Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
3,772
Reaction score
4,913
Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala

Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA

Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa madaraka

Tutaigawanya Zanzibar Kwa mikoa au majimbo ya Tanzania
Tutakuwa na Jimbo la Pemba na unguja

Kwa sasa serikali ya mapinduzi inawalemea TU wananchi wake kuendesha serikali ambayo ungeweza kuongozwa na viongozi wachache TU

Wakuu wawili wa mikoa au magavana wawili TU

Tumeona baadhi ya choko choko zao kwenye huu uchaguzi kuchochoea chuki Ili Muungano uvunjike

Ila hao viongozi wajiandae kupoteza hizo nafasi zote za kinyonyaji Kwa wanzabar

wabunge kibao madiwani Marais watatu wa Zanzibar mawaziri kibao
Hizi zote ni unyonyaji TU Kwa raia maskini wa Zanzibar.

Hizi zote sio nafasi za kuwatumikia wananchi wa kizanzbar bali ni unyonyaji TU

Mbunge unalipwaje mamilion kwenye Jimbo la watu elfu tatu , hata huoni aibu
 
Back
Top Bottom