Bado kuna mawazo ya Nyerere na ya Kambona kuhusu Muungano miongoni mwa viongozi wengi na watu wengine pamoja na securocrats.
Nyerere mpaka mwisho wa maisha yake hakutaka kabisa kuvunja Muungano. Kambona, mara tu baada ya muungano kuundwa, alisema Wazanzibari hawataruhusiwa kuvunja muungano...
Mkuu Robert Heriel Mtibeli na Wana-JamiiForums Wote,
Umeleta hoja nzito na yenye ukomavu mkubwa wa kiuchambuzi. Uchambuzi wako upo sahihi kwa asilimia 100: vuguvugu hili halisukumwi na wananchi wa kawaida, bali na makundi yenye ushawishi yanayotaka kubomoa au kubadili mfumo uliopo ili kulinda...
Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.
Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI .
Zanzibar ni Alama...
Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo...
Wapo wanaotazama ukubwa wa Goliati kwa sababu ana mwili mkubwa, mashamba mapana, madini tele, mito, misitu na hazina nyingi.
Lakini historia hufundisha kwamba si kila mamlaka hutegemea ukubwa wa mwili. Wakati mwingine jiwe moja tu likitupwa kwa ustadi huweza kubadili mwelekeo wa simulizi zima...
Tangu mzanzibari aongoze Tanganyika akaiiibia na kupelekwa kwao, hakuna maana tena ya muugano.
Nashangaa kuona nchi zinazodai kuungana zina uraia pacha upande mmoja wakati upande wa pili ukipigwa changa la macho.
Upande wa Tanganyika una uraia feki wa utanzania ambao hauna maana wa...
Mnamo Novemba 12, 2025 Wakili Mwandamizi Mpale Kaba Mpoki alipokea wito kutoka kwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kipolisi Kawe. Wito huo ulimtaka afike leo asubuhi Novemba 13, 2025 katika kituo cha Polisi Mbweni.
Wakili Mpoki aliongozana na mawakili wake ambao ni Raisi wa TLS Boniface...
Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala
Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA
Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
Ukweli kwamba mitaala ya elimu sio sehemu ya mambo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unayo madhara makubwa sana kwa Watanganyika pale kunapokuwepo na viongozi wa siasa ambao ni Wazanzibari.
Mitaala ya elimu ya Zanzibar haisemi kitu kuhusu tofauti kati ya dola ambayo ni jamhuri ya kiliberali...
Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi lilithibitisha Mkataba huo
Muundo wa Muungano
Muundo wa Muungano wa Tanzania kama ulivyoelezwa katika...
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.