Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    22.5 MB
Hamna aliloongea hapo, Israel na Palestine wote wehu, na ninyi supporters ndo wehu pro max, wafia dini kama mleta uzi ndio wehu pro over pro max.
 
Wewe wasema na umetuonyesha ni jinsi gani ulivyo zwazwa kwa kushindwa kujibiwa kwenye hoja na kuanza kubwabwaja ovyo tu!!
 
Weka hoja alizoweka hapo, walau kwa ufupi tu.

Hamna hoja hapo ndgu, hajatoa sababu ya kwanini hataki Palestine iwe taifa huru, kwake kinachofanywa Gaza ni sahihi..

Na kweli kawachota wakristo wapumbavu, sijui Yesu gani wanamuamini anaehubiri jino kwa jino au msamaha.
 
Umenionyesha wazi tena ulivyo mjinga hata tu kiingereza hujui huyo mama kaeleza kila kitu tatizo ni wewe tu Uzwazwa unakusumbua.

Kingine umetuonyesha wazi wewe ni mjinga na mpumbavu kabisa kwa kuanza kuuongelea Ukristo mara Yesu sijui hayo yote yanahusikaje hapo??

Aksante kwa kutuonyesha ujinga na Upumbavu wako siku nyingine tusipate shida kukutambua!!
 
Nyote nimewajumuisha, humo kwenye wehu.
Eidha ni shabiki wa vita, juha wa kidini, psychopath mpenda kuua watu nk.

Na kwa wakristo majuha nikawapa hilo, kwahiyo sijatoka nje ya mada, ni mulemule ila tu nina mtazamo ambao majuha wengi hawaupendi kwakua wameoshwa akili zao.
 
Onyo Muhimu hao watu wanajifanya wema kwasabau hawana Nguvu na endapo wakipata nguvu wanaua non mslims wote duniani
 
Back
Top Bottom