in ha
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 1,729
- 3,898
Wamepungua mwishowe wataisha kabisaZa usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
Mmoja huyu kapatikanaI’m a gentleman is simply a dude who isn’t an ass and will always treat his woman with respect, mfano gentleman anaweza kua sehemu yenye watu halafu mwanamke wake akafanya kitu kibaya hawezi kumcheck pale mbele ya watu atasubiria wakiwa wawili sababu he will embarrass her lakini an asshole will go in mbele za watu, another mfano umeita mtoto kaja ghetto umeshafanya maandilizi mtoto kaja mmeanza maandilizi mara ghafla ana ghairi maybe she is nervous and the anxiety kicks in anasema she can’t do it but ilibidi umpe nauli and all that a gentleman atafanya kila alichotakiwa kufanya as if kama kala mzigo but an asshole will change mood and anaweza sema utajijua mwenyewe utarudije[emoji23][emoji23]. I’m a gentleman i have my standards i will treat a woman the same way akinifurahisha or kanikera if i was to hold a door for her i will hold it regardless if I’m mad at her.
Mwngine huyu kapatikana.
Tunapatikana mkuu[emoji3526][emoji2960]Huyo mwanamke mwenye stahiki za kufanyiwa huo u gentleman anapatikana nchini kweli?
Kwa comment hii am I gentlemen kumbeI’m a gentleman is simply a dude who isn’t an ass and will always treat his woman with respect, mfano gentleman anaweza kua sehemu yenye watu halafu mwanamke wake akafanya kitu kibaya hawezi kumcheck pale mbele ya watu atasubiria wakiwa wawili sababu he will embarrass her lakini an asshole will go in mbele za watu, another mfano umeita mtoto kaja ghetto umeshafanya maandilizi mtoto kaja mmeanza maandilizi mara ghafla ana ghairi maybe she is nervous and the anxiety kicks in anasema she can’t do it but ilibidi umpe nauli and all that a gentleman atafanya kila alichotakiwa kufanya as if kama kala mzigo but an asshole will change mood and anaweza sema utajijua mwenyewe utarudije[emoji23][emoji23]. I’m a gentleman i have my standards i will treat a woman the same way akinifurahisha or kanikera if i was to hold a door for her i will hold it regardless if I’m mad at her.
You are....You're....
Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
Asee ni heri tusije kosa wake wa kuoa age yenyewe inakimbia kama Rocket
Kumbe Hadi wanaume huwa mnakimbizana na age!??Asee ni heri tusije kosa wake wa kuoa age yenyewe inakimbia kama Rocket
Hahahah sio ishu hata, but binafsi napenda kuoa mapema tu ila huyo mke sahihi sasa.
Hahahah sio ishu hata, but binafsi napenda kuoa mapema tu ila huyo mke sahihi sasa.
Shida hujaHahahah sio ishu hata, but binafsi napenda kuoa mapema tu ila huyo mke sahihi sasa.
Mwngine huyu kapatikana.
Mtakuwa wawili tu
Wengne wachache waliokua wamebaki walisombwa juz na kivuko mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida huja
Wanawake watulivu wanapata wanaume wa hovyo na wanaume watulivu wanapata midada midangaji[emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app