Ety chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujitegemea Ni muhimu Sana
Tatizo warembo wengi hapa hujiona malaika,yaani hataki kujihangaisha kwa chochote ...mwanaume ukimpata huyu mbona utasimulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitu linaomba pesa ad kizunguzungu kinakukamata...
Hatupaswi kuomba pesa,ila ukijisikia kutoa kunipa Basi utafanya hivyo
Pia kuwa idependent kunasaidia..si tu kupunguza mzigo kwa mwanaume ,Bali hata kuleta maendeleo.
In case mwanaume akakwama pahala,ghafla ameacha kazi(si Mara zote maisha yatakua mteremko),mwanamke atakua na uwezo wa kusimama kidete kubeba family
Sent using
Jamii Forums mobile app