Kama wajijua your a gentlemen comment hapa

Ujue Bora hata wanaume mwaweza kujinasua ila SI wanawake...
Wanaume wengi wanajua kuigiza jmn[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]bongo movie nyuma..Happ kawapanga wadada km wote,,,
Kumgundua dada aliyetulia Ni rahisi
Balaa liko hapo sasa, sijui tunajinasuaje na huu mtihani maana ukitulia unapata kisebengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo unagundua the world is not fair

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu huwa mnaacha wanawake mnaenda kwa wadangaji

Wazurulaji,waomba hela Kila muda as if una kiwanda Cha pesa,wanaovaa kuacha miili Yao,mtu muda wote yupo insta sijui snap kupost picha zisizo na maadili ,Mara pua za ng'ombe zimehamishiwa puani kwao(snap iyo)[emoji23][emoji23]

Wanawake watulivu mmewaacha mnaenda kwa hawa ambao maisha yao yote yamehamia kwenye status za WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue Bora hata wanaume mwaweza kujinasua ila SI wanawake...
Wanaume wengi wanajua kuigiza jmn[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]bongo movie nyuma..Happ kawapanga wadada km wote,,,
Kumdungua dada aliyetulia Ni rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hii ipo sana mamii, sema nilichoona ni vile tabia zenu hazielewekagi pia. Unakuta uko na mtu freshi ila behind ur back anadanga, ukishapita kwa wawili watatu wa aina hii unajikuta nawewe ume switch tu kuendana na beats.
Ndio shida ya kupangwa msururu inapoanzia hapo.

Kingine mwanamke sijui anakuwaga na virus akipendwa na kuoneshwa real love kwa roho safi. Unakuta unampeti peti mpenzi wako yeye ndio anakuwa bingwa wa kuanzisha vimbwanga. Sometimes i think women weren't meant to be loved but just pranked.

Ni kama vile haridhiki yani! Give her time and money still atakuona poyoyo badala ya kuwa grateful na hapo anawaambia mashosti zake ila yule kaka ananipenda jamani!
 
Wanawake tunapenda kupendwa Sana,unipende Sana na usiwe mpole saana

Ukiwa mpole Sana tunaanza kukuona Kama mjinga..kuwa mpole kiasi
Na ushike nafasi yako kma mwanaume

Huwa tunatest km kweli mwanaume una sauti au unayumbishwa na Kila kitu
Huwa tunaanzisha vijiugomvi si kwa lengo la kugombana kweli
Bali kukuchangamsha ushtuke uwe na sauti km mwanaume,uweze kunicontrol
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah sounds interesting kama una courage kiasi hiko basi utakuwa one in a million
Mm mwanaume akionesha kweli Nia ya kunioa(hapa naongelea wanaume na si vikaka vya chuo vinavyokua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12])

Kama atashindwa kuniamini kwa heshima hii niliyomuwekea Basi ntamruhusu ahack mawasiliano yangu ila tu asije thubutu kunisaliti au kunipanga[emoji2] hapo hatutaewana kabisaa

Maana wanasemaga hakuna mwanaume was pekeyako[emoji23][emoji23][emoji23],,huu msemo bado napingana nao vikali...hivi ni kweli!??

Kuwa mwanaume wa pekeako inategemea na package unayo offer. Mi pamoja na sifa zote muhimu napenda pia mwanamke awe independent while she still respects & loves me dearly. Wanawake wengi hapa ndipo panapowashinda haswa. Ile dhana ya kuwa mwanaume akipenda "Lazima akuhudumie" soma kwa makini hapo "Lazima" i don't buy that.

You must be able to run your life bila kunitegemea mimi kwa kila kitu. Im just gonna add up kama bonus kwa jinsi unavyoubariki moyo wangu kwa upendo na naweza kufanyia vikubwa kuliko unavyodhani kwa mapenzi tu ila mwanamke omba omba hell no! Unakuwa na mpenzi anakufanya chuma ulete aisee we ni kulimbikiziwa invoice tu gauni, saluni, outings, kodi....list goes on. Hii ndio tabia common kwa vidada vya mjini, instead of getting something to do anapanga msururu wa madanga.

But kwa mimi mwanamke kuwa independent huwa naliheshimu sana hilo. So you stand a great chance kuwa mpenzi wangu wa kudumu ukiwa independent given that namimi niko independent maisha yanakuwa ya furaha sana kuliko stress. Gap linabaki la personality yako tu kama huna matabia ya ajabu ajabu na una respect na hekima basi mambo yanakuwa freshi tu.
 
kiingereza sikijui,nashawai kumsikia MC akisema "ladies and gentlemen kwa sasaaaa.........",hv hyo gentlemen na ladies ni jinsia au sifa,napita tu naenda kupiga mswaki
 
Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
You are vs your

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm mwanaume akionesha kweli Nia ya kunioa(hapa naongelea wanaume na si vikaka vya chuo vinavyokua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12])

Kama atashindwa kuniamini kwa heshima hii niliyomuwekea Basi ntamruhusu ahack mawasiliano yangu ila tu asije thubutu kunisaliti au kunipanga[emoji2] hapo hatutaewana kabisaa

Maana wanasemaga hakuna mwanaume was pekeyako[emoji23][emoji23][emoji23],,huu msemo bado napingana nao vikali...hivi ni kweli!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Personality yako ina ku define sana ingawa pia appearance inahusika kiasi flani. Wanawake wenye mvuto sana (warefu, sura,shape,tako,rangi) ndio wengi huwa na mapozi ya ajabu ajabu na nyodo na wanajiamini maana wanapokea maombi sana. Kama wewe ni wa kundi hili lazima uchunguzi yakinifu ufanyike aisee ikienda sanjari na kufuatilia kwa karibu mawasiliano yako na jinsi unavyojimix na jamii. Ni wachache sana wanakuwaga watulivu kwenye uhusiano, wengi wasaliti.

Wanawake ambao hawajapata zile neema za urembo na shepu wengi ndio wahanga wa mitoso japo wengi wanakuwaga lenient sana. Ashakum si matusi, kama unajijua hauna vile ambavyo vinavutia wanaume wengi (sura, rangi,shepu, taco) mahusiano yatakuwa mwiba sana kwako ingawa utampata wa kufanana nae at the end ila wale ma baharia wa kuonja onja watakuwa wengi washapita.

Ila ukimpata ataeridhika na wewe basi ujue ndio anakuwa wako mazima.
 
Kuwa mwanaume wa pekeako inategemea na package unayo offer. Mi pamoja na sifa zote muhimu napenda pia mwanamke awe independent while she still respects & loves me dearly. Wanawake wengi hapa ndipo panapowashinda haswa. Ile dhana ya kuwa mwanaume akipenda "Lazima akuhudumie" soma kwa makini hapo "Lazima" i don't buy that.

You must be able to run your life bila kunitegemea mimi kwa kila kitu. Im just gonna add up kama bonus kwa jinsi unavyoubariki moyo wangu kwa upendo na naweza kufanyia vikubwa kuliko unavyodhani kwa mapenzi tu ila mwanamke omba omba hell no! Unakuwa na mpenzi anakufanya chuma ulete aisee we ni kulimbikiziwa invoice tu gauni, saluni, outings, kodi....list goes on. Hii ndio tabia common kwa vidada vya mjini, instead of getting something to do anapanga msururu wa madanga.

But kwa mimi mwanamke kuwa independent huwa naliheshimu sana hilo. So you stand a great chance kuwa mpenzi wangu wa kudumu ukiwa independent given that namimi niko independent maisha yanakuwa ya furaha sana kuliko stress. Gap linabaki la personality yako tu kama huna matabia ya ajabu ajabu na una respect na hekima basi mambo yanakuwa freshi tu.
Ety chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kujitegemea Ni muhimu Sana
Tatizo warembo wengi hapa hujiona malaika,yaani hataki kujihangaisha kwa chochote ...mwanaume ukimpata huyu mbona utasimulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitu linaomba pesa ad kizunguzungu kinakukamata...

Hatupaswi kuomba pesa,ila ukijisikia kutoa kunipa Basi utafanya hivyo

Pia kuwa idependent kunasaidia..si tu kupunguza mzigo kwa mwanaume ,Bali hata kuleta maendeleo.
In case mwanaume akakwama pahala,ghafla ameacha kazi(si Mara zote maisha yatakua mteremko),mwanamke atakua na uwezo wa kusimama kidete kubeba family

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom