katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #61
Ila umeshacomment
Ila umeshacomment
Naomba urudieGentleman ni jemba anayeweza kutoa kichapo na aka embeleza yakaisha kama ulikuwa unaandika hujui maana jua kuanzia leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwambia nani kantwe au mimi??
Wewe... Sema unazingua sana yaniUnamwambia nani kantwe au mimi??
Kwema kabisa, za jumapili?
Huku salama
Okay, take care babeNjema asee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mtu
KIFUPI WANAWAKE WA SIKU HIZI HAWAJITAMBUI, wanapenda maisha a tv na sio ya uhalisiaZa usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
OkeyKIFUPI WANAWAKE WA SIKU HIZI HAWAJITAMBUI, wanapenda maisha a tv na sio ya uhalisia
oky
Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.