Kama wajijua your a gentlemen comment hapa

Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.

Kujua wapi utumie your na wapi utumie you’re ni u gentleman tosha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ungemuuliza huyo dada je baba yake ni jentlomen?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes my father was a gentlemen sana .
Alimtreat my mom and us bettest .
Sijawahi kusikia my mom akilia kapigwa.
Kama nyie mnavyowapiga wenzenu kama sponchbugs zenu .
Mnawatusi mnawaomba tigo na hamwatofautishi na malaya au michepuko.
Baba yangu alitofautisha mke na michepuko yake.
Alimuheshimu alimpenda mama yangu na kumjali.
Macho hayaoni tofauti.
Sisi ndio tulikuwa tunaona.
Mama yetu alipata a gentlemen.
Unasaidiwa hadi kupika hii ishu ikoje.
Mingine iko tu inakaa kusubiri chakula ikoshiba maneno ambao haijengi unakuta hafa haijatolea hela .
 
Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
Huyo mwanamke mwenye stahiki za kufanyiwa huo u gentleman anapatikana nchini kweli?
 
Yes my father was a gentlemen sana .
Alimtreat my mom and us bettest .
Sijawahi kusikia my mom akilia kapigwa.
Kama nyie mnavyowapiga wenzenu kama sponchbugs zenu .
Mnawatusi mnawaomba tigo na hamwatofautishi na malaya au michepuko.
Baba yangu alitofautisha mke na michepuko yake.
Alimuheshimu alimpenda mama yangu na kumjali.
Macho hayaoni tofauti.
Sisi ndio tulikuwa tunaona.
Mama yetu alipata a gentlemen.
Unasaidiwa hadi kupika hii ishu ikoje.
Mingine iko tu inakaa kusubiri chakula ikoshiba maneno ambao haijengi unakuta hafa haijatolea hela .
Kumbe huyo dada ni wewe mamii, kama upo tayari kuwa lenient lady basi na hakika utampata jentromen for sure! Mamaako alipendwa kwa sababu alikuwa lenient woman ndio maana akawazaa hadi nyinyi!
 
I’m a gentleman is simply a dude who isn’t an ass and will always treat his woman with respect, mfano gentleman anaweza kua sehemu yenye watu halafu mwanamke wake akafanya kitu kibaya hawezi kumcheck pale mbele ya watu atasubiria wakiwa wawili sababu he will embarrass her lakini an asshole will go in mbele za watu, another mfano umeita mtoto kaja ghetto umeshafanya maandilizi mtoto kaja mmeanza maandilizi mara ghafla ana ghairi maybe she is nervous and the anxiety kicks in anasema she can’t do it but ilibidi umpe nauli and all that a gentleman atafanya kila alichotakiwa kufanya as if kama kala mzigo but an asshole will change mood and anaweza sema utajijua mwenyewe utarudije. I’m a gentleman i have my standards i will treat a woman the same way akinifurahisha or kanikera if i was to hold a door for her i will hold it regardless if I’m mad at her.
I bet that woman cheats on your ass, then you gonna consider raising your game up! Wanawake wa kibongo wana tafsiri yao juu ya huo ujentromeni!
 
Wanawake bwana kila demu anataka jentomeni wakati baba ake nyumbani ni mkoloni harsh hatari..
 
Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
tinapungua b'coz wadada mmezid kufukunyuliwa sana, so kwa ufukunyuliwaji huu. Mimi siwezi kuwaza kuhusu maisha arafu tena zianze kesi za kusuhulishana daily..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes my father was a gentlemen sana .
Alimtreat my mom and us bettest .
Sijawahi kusikia my mom akilia kapigwa.
Kama nyie mnavyowapiga wenzenu kama sponchbugs zenu .
Mnawatusi mnawaomba tigo na hamwatofautishi na malaya au michepuko.
Baba yangu alitofautisha mke na michepuko yake.
Alimuheshimu alimpenda mama yangu na kumjali.
Macho hayaoni tofauti.
Sisi ndio tulikuwa tunaona.
Mama yetu alipata a gentlemen.
Unasaidiwa hadi kupika hii ishu ikoje.
Mingine iko tu inakaa kusubiri chakula ikoshiba maneno ambao haijengi unakuta hafa haijatolea hela .
kumbe kuna wanaomba tiGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom