Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,835
Shukran, Heri ya mwaka mpya kwako pia Sakie...
Sent using Jamii Forums mobile app
We mtu
Heri ya mwaka mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
We mtu
Heri ya mwaka mpya
Shukran sana
Kujua kupenda hadi kudekeza mke,
Sio sifa ya Gentleman
Muhimu kufanya kama ilivo andika bible
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhali gani babe? Nimekumiss
Niko poa love za kwako?Uhali gani babe? Nimekumiss
Umeamka saa hii babe unarudi kulala au ndio kumekucha?Niko poa love za kwako?
Nimekumiss pia hun
Ngastuka[emoji23] tu babe usingizi umekataUmeamka saa hii babe unarudi kulala au ndio kumekucha?
Mimi sijambo my dear
😂😂😂 machale kundesa. Kwahiyo hulali tena?Ngastuka[emoji23] tu babe usingizi umekata
Im glad[emoji4]
[emoji23][emoji23]nitalala usingizi ukija usipokuja basi ngoma hadi asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji852][emoji23][emoji23][emoji23] machale kundesa. Kwahiyo hulali tena?
Hapo umetutega kwa kweli...Za usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.