Kama USSR isingesambaratika dunia ingekuwaje leo?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,484
Fikiria mabingwa wa riadha wawili wanaaokaribia kwelikweli wanakimbia,mmoja akapata ajali akadondoka,akavunjika mguu,akaanza kujitibu akapona lakini hakuwa kama alivyokuwa mwanzo.Kuvunjika ni kuvunjika tu.

Huwezi kuwa sawa kama ulivyokuwa kabla hujavujinka.Yule mwingine akashinda mbio na sasa ndio bingwa pekee wa riadha.

Napenda kufahamu usalama wa dunia ungekuwaje leo hii kama USSR ingekuwepo leo hii kama vile ilivokuwa kabla ya kusambaratika.

Weapons race ingekuwaje,cold war ingekuwaje.Je ni sawa kuwa nasole superpower au kuwa na balance of power.?
 
I believe it could have been a much better place than it is today. During the cold war period there was always a balance of power/terror which helped to quarantee peace because it acted as a deterrence. Cases of terrorism as seen today were non existent. These days they are common place because a section of the international community feels oppressed by the world's sole super power. The arms race between the USA and the USSR also meant that non was really a head of the other and therefore none of these countries would go a head and bully other nation without fear of a reprisal from the other.
 
sidhani kama huo mfano ni sahihi ulioutumia.
Russia ni strong kama zamani. kilichobadilika ni kuwa km/eneo la himaya yake ndo imepungua. Lakini kiuchumi iko safi sana. Wale matapeli wa benki ya dunia-IMF walitaka kumpa msaada lakini alikataa akawaambia hawana sera ya kukopa pesa nje ya russia. Mpaka sasa ana siraha nzito na za maana hata kuliko USA. Najua watakuja watu hapa watapinga bila ushahidi.
Bado ana control stations zake za kwenda anga za mbali, ana zana za kivita na security huko mwezini.
Jeshi lake linajitoshereza kwa wanajeshi na vifaa, yaani mkusanyiko wa vinchi vyote vya ulaya bado unakuwa hujafikia uimara na vifaa vya russians box headed!
Ki technologia mfumo wake ni mzuri ukilinganisha na USA. USA wananunua wataalam/scientists lakini russia wana create scientists.
 
Pole sana Russia wana create scientist lakin US wananunua haaaaaaaa

Sent from Iphone
 
warusi ni wachezaji wazuri sana wa chess na wanaojua chess ni mchezo wa kijasusi inasemekana warusi waliisambaratisha nchi yao makusudi kwani waliona kwa kipindi kile wangepigana na marekani wangeshindwa baada ya kusambaratika walitumia muda huo kujijenga huo warusi siku zote hawawaamini marekani wametumia muda huo kuiba teknologia na kujenga uchumi wao upya sasa ni taifa lenye nguvu kubwa sana kiuchumi na kiulinzi hata eneo lao ni kubwa kuliko ulaya yote
 
Yes, unaona sasa hivi wanavyoichezea Ukraine kama kinda la ndege. Hata Obama na ujanja wake anashindwa aanzie wapi. Security yao iko juu sana........
 
I think it collapsed because the system was built on lies...power was given to the few who abused it. Leo hii dunia ingekuwa si salama kabisa kama watu wangeendelea kutunishiana misuli kwa kutumia silaha za nyuklia. Let Lenin and Karl Max rest were they deserve. The system they devised was not realistic
 
That is your imagination man......
Lenin, Karl max, Stalin those are brave people ever ever. Their product is the russia today. Their system was reliable that is why the russians are strong todate.
The system was very very realistic in term of army, economic and political wise.
Ulishasikia mrusi analia njaa hata siku moja? au kuomba msaada? ni sababu ya misingi mizuri ya Ujamaa na kujitegemia walioiacha hao wakina lenin mkono wa chuma.
 
If the system was incorrupt and hunger was not a problem in USSR, then why did it go down with smoke? Why people protected Yetsin from attack planned by KGB during last days of USSR? That signaled the end of communism...people's power!!! From that moment everything was changed!!
 
warusi ni wachezaji wazuri sana wa chess na wanaojua chess ni mchezo wa kijasusi inasemekana warusi waliisambaratisha nchi yao makusudi kwani waliona kwa kipindi kile wangepigana na marekani wangeshindwa baada ya kusambaratika walitumia muda huo kujijenga huo warusi siku zote hawawaamini marekani wametumia muda huo kuiba teknologia na kujenga uchumi wao upya sasa ni taifa lenye nguvu kubwa sana kiuchumi na kiulinzi hata eneo lao ni kubwa kuliko ulaya yote

Mkuu umenena haswaa.KGB officers walikuwa highly trained in chess.They always thought of two to four moves ahead

Kipindi cha vita baridi kulikuwa na defector mmoja kwa jina la Anatoliy Golitsyn.Jamaa alivyofika West aliclaim kuwa KGB imeandaa mpango mahususi wa kuisambaratisha USSR kwa maksudi

M not sure kama handlers wake walim take seriously ila kuna uwezekano wa alichosema jamaa ni kweli na kuvunjika kwa USSR ni changa la macho tu

Anatoliy Golitsyn - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Huo ndo ukweli. Tangu USSR iliposambalatika, ndo mwanzo wa russia kuimarika na kuwa na security kali sana uki compare na USA.
What will happen now, is the corruption of USA instead.
Yaani kule georgia, chechya na sasa Ukraine hakuna nchi. ni mapandikizi ya pro-russians tupu. hakuna siri itakayofanyika ukraine bila russians kujua. Hata huyo rais wa sasa wa ukraine anajua kinachoendelea.
 
Yet reality is stranger than facts,the world is one big puppet show.there are the puppeteers,the puppets and those who watch the show and believe it to be true.
 
Dunia ingelikua sehemu salama sana kwasasa, najua kabisa kuna vifo vya watu wengi visingetokea, Libya ,Iraq wala hata hawa Syria wasingekua wanauana kama USSR INGALIKUEPO,,US ameharibu sana hii Dunia,ni hatari kubwa maana wale wanaoshindwa kupambana nae moja kwa moja wanageuka kuwa Magaidi..imekua ni shida kubwa sana sasa..
 
Huo ndo ukweli. Tangu USSR iliposambalatika, ndo mwanzo wa russia kuimarika na kuwa na security kali sana uki compare na USA.
What will happen now, is the corruption of USA instead.
Yaani kule georgia, chechya na sasa Ukraine hakuna nchi. ni mapandikizi ya pro-russians tupu. hakuna siri itakayofanyika ukraine bila russians kujua. Hata huyo rais wa sasa wa ukraine anajua kinachoendelea.

Hizo ni ndoto za mchana kweupe hivi unajua taifa la Marekani lilianza lini?Ipi plan B ya Urusi Puttin akiondoka leo ghafla? Jimbo la Alaska mrusi alimuuzia mmarekani wananchi wa urusi wanaishi kwa hofu ya watawala uzalendo wa kweli haupo tofauti na USA
 
Mkuu marekani kuna uzalendo gani? vizazi vya ma cow boys ndo wenye nchi na jamii za kiyahudi. hawa wengine ni jina tu. Yaani kwa jina jingine ni wapangaji kwenye hiyo nchi.
Tunaomba ushahidi kama mrusi kamuuzia amerika.
 
I believe it could have been a much better place than it is today. During the cold war period there was always a balance of power/terror which helped to quarantee peace because it acted as a deterrence. Cases of terrorism as seen today were non existent. These days they are common place because a section of the international community feels oppressed by the world's sole super power. The arms race between the USA and the USSR also meant that non was really a head of the other and therefore none of these countries would go a head and bully other nation without fear of a reprisal from the other.

i like this
 
Back
Top Bottom