Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
na usipochagua ccm, basi ccm watachukua madaraka kwa nguvu ya dola!
Na Usipochagua CCM, basi CCM watachukua madaraka kwa nguvu ya dola!
Na Usipochagua CCM, basi CCM watachukua madaraka kwa nguvu ya dola!
Aaaaah mkuu wangu nipakazie vipi na inaeleweka wazi kwamba CCM hawatakubali kushindwa. Chadema wameshindwa mara ngapi na hapakuwepo na vurugu, sasa leo CCM wakishindwa kwa mara ya kwanza sijui kama patatosha...Au Umesahau mwaka 2000 huko Pemba, Zanzibar?...mtu mzima kupakazia na majungu!!! Mabomu 20 ya slaa na chadema yameishia wapi!!!!
Dude I love your graFIX.