Kama unapenda amani chagua CCM

chaema.jpg
 

Life span ya mtanzania ni chini ya miaka hamsini, watu ni wachafu na wamekondeana kwa kukosa lishe bora, wanatembea na vipande vya mifupa ya albino mifukoni 'eti ili wawe matajiri, asilimia ya wengi hawana elimu na wale wenye elimu hawana msaada kwa wenye elimu, na bado wanajiaminisha ni wajanja na wana amani na utulivu!!??? Hii hakika ni jumuia ya kima!!!
 
mtu mzima kupakazia na majungu!!! Mabomu 20 ya slaa na chadema yameishia wapi!!!!
Aaaaah mkuu wangu nipakazie vipi na inaeleweka wazi kwamba CCM hawatakubali kushindwa. Chadema wameshindwa mara ngapi na hapakuwepo na vurugu, sasa leo CCM wakishindwa kwa mara ya kwanza sijui kama patatosha...Au Umesahau mwaka 2000 huko Pemba, Zanzibar?...
 

Maneno haya yameshapitwa na wakati - eti amani na mshikamano wakati unalala njaa, kweli kuna amani hapo - wakati wengine wananeemeka kirahisi kwa ufisadi -NEVER EVER!!

Tunaichagua CHADEMA iwe fundisho kwamba uhuru wa nchi hii na vyote vilivyomo ni mali ya wananchi wote na si wa koo au kikundi cha watu wachache wanaohubiri maisha bora ya ndotoni kwa kila mtanzania.
 
Hawana lolote wanatapatapa. Wanatuonya kuwa tukichagua upinzani watavunja amani tuliyonayo, wanajidanganya hapa CCM wamechemsha!
 
Mh mh!!! maneno ya mbakaji akiwa na kisu mkononi. 'mawili amani na kubakwa au.....'
 
Kama unaipenda amani kweli chagua CCM, kwani CCM wakishindwa wataanzisha vurugu na hatutokuwa na amani. lakini tutawadhibiti tu mwishowe.
 
hizo ni sera za kuwadanganya na kuwhadaa watu wa vijiji ambao ndio wengi tanzania kwamba usipochagua CCm it means amani itatoweka kwa sisi wa mjini wenye uelewa wetu hiyo haingii akilini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom