Kama unajiuliza, unashangaa na kusikitika kwanini Simba SC inakamiwa, Wachezaji wake Kuumizwa vibaya na Ahadi nyingi Kutolewa haya ndiyo Majibu

Wewe jamaa una chuki na aucho,hamna kiungo fundi kwenye ligi yetu kwa sasa kama aucho
Na aucho wanampa promo kua ni bonge la midfileder ila misimu mitatu kwenye national team hana goal, hana assist hata offtarget, ana kadi moja tu ya njano
 
Baada ya kuchambwa sana na ile I'd yako nyingine juu ya kuweka nyuzi za kipuuzi hapa majlis umeamua kuja na I'd nyingine tena kuendeleza pumba zako!!
 
Wewe jamaa una chuki na aucho,hamna kiungo fundi kwenye ligi yetu kwa sasa kama aucho
Fundi ana paua?

Mi nina chuki au ninamuelezea namna alivyo?

Haya wewe ambaye huna chuki ebu nipe comparison kati yake yeye na chama kwa statistics yupi bora zaidi ya mwenzake, maana hapo ndio tatizo lilipoanzia mpaka mimi siishi kumtaja aucho kila post

Huyo midfielder hata kwa fraga tu simuoni sa sembuse chama ambaye muanzisha mada kamfananisha naye?
 
Match 3 kwenye ligi yetu uwezo aliouonyesha ni mkubwa,halafu mimi sina ufala wa kufananisha wachezaji nitakuambia uwezo wa mchezaji,aucho ni kiungo wa kiwango cha juu na sikulazimishi amini unachokiamini
 
Utasemaje ana kiwango cha juu bila kulinganisha na wenye viwango ambavyo sio vya juu?

Unafikiaje conclusion bila kupitia observation?

Huoni kwamba huo ni ufala zaidi?
 
Azam tv commentatory,wachambuzi wa soka n.k wanaukubali uwezo wa aucho,hata humu kuna simba wenzio wala awakuungi mkono khs aucho,kwa ubishi huo itakua umepitia mgambo aisee,inavyoonyesha huko kitaani una tuzo ya ubishi
 
Ni mara ngapi humu tumekua tukijadili unazi wa hawa wachambuzi na kuwahusisha kua ni chanzo cha kudidimiza soka letu?

Hao wachambuzi wenyewe wana pingana kati ya radio moja na redio nyingine, afu wengi wanaelemea upande wa timu iliyopata matokeo

Leo nimetoa mfano kua, ikitokea hata timu ambayo imecheza kwa kiwango kizuri ila mpinzani akapata goli la penalty basi jopo kubwa la wachambuzi watakaa upande wa timu iliyofunga na kuisifia kua imecheza vizuri kuliko hiyo timu iliyofungwa

Ishu ya mwanasimba mwenzangu kumkubali aucho, dio kigezo cha kumfanya aucho awe mchezaji mzuri kwa kuwalinganisha na wake wachezaji wa simba aliowataja kua wamezidiwa na aucho

Inawezekana akawa anampenda aucho kwasababu wana shea majina au wana mahusiano yao binafsi regard kwa alivyojipambanua kua anakunwa na aucho, sasa mtu aliyefikia level hiyo anaweza akam disqualify hata ronaldo
 
Na aucho wanampa promo kua ni bonge la midfileder ila misimu mitatu kwenye national team hana goal, hana assist hata offtarget, ana kadi moja tu ya njano

Hamna Kitu pale kwa Aucho ni Kelele za Manara tu
 
...usiipake Yanga matope kiasi hiki...ligi ya msimu huu haitakuwa nyepesi kwa timu zote.
 
Na aucho wanampa promo kua ni bonge la midfileder ila misimu mitatu kwenye national team hana goal, hana assist hata offtarget, ana kadi moja tu ya njano
Sadio KANOUTE ana magoli mangapi katika timu yake ya Taifa ya Mali?
 
Mwaka huu Aucho atawatoa nyongo haki ya Mungu.

Bado Simba hatujaridhika na Kiwango chake kwani wenye Kiwango kama yeye kina Mkude na Ajib tunawaweka Bench.
Hivyo akiongeza Kiwango Simba tutamchukua na hamuna la kufanya kama tulivyofanya kwa Morisson.
 
Back
Top Bottom