Kama una uwezo huu usikimbilie Majuu!

Kama una uwezo huu usikimbilie Majuu!

Mkuu acha hizo, per day unaweza make up to 120 USD, na wanaposema wanalipa kwa lisali usidhani wanahesabiwa kwa masaa nane ina depend unapiga mchongo gani kuna wanaofanya data entry, wanaoosha vyombo, kuna wanaosafisha masehemu , mfano nakumbuka nje ya kazi yangu ya kuajiliwa nilipata kikazi cha kuwa naenda kusafisha sehem ambapo wanapaki magari, watu walikuwa wanavuta sigara wanaweka vipece vibaya , kazi hii niliifanya kila baada ya kutoka kazin kwangu, na ilikuwa 60 USD per hour nafanya 1 hour daily​
Part time job nyingine ilikuwa kusambaza business cards na kila cars 1 ni 0.5 USD, hivo nikisambaza 200 kwa siku nina 100 USD, japo nilikuwa sivisambazi ukweli nilikuwa naweka kwenye dustbin naenda kudai mpunga, hahaha wabongo tumelogwa​
hahaaa inamaana haukuwa na supervisor " wakukusimamia ili kuweza kujua kama umevisambaza au " la"?? ...hao waajiri wako itakuwa wamerogwa
 
kila mtu anawazo yake lakini kwa upande mwingine mtu anapohama sehemu moja kwenda nyingine hukutana na changamoto tofauti na alikotoka na maranyingi hizi changamoto huwa jenga wengi kufikia malengo muhimu kimaisha,nje ya Tz kunachangamoto nyingi sana za kimaisha hasa ulaya na marekani lakini wana wide opportunities za kumuinua mtu regedless elimu aliyo nayo kushinda hapa TZ
exactly mkuu
 
Mkuu acha hizo, per day unaweza make up to 120 USD, na wanaposema wanalipa kwa lisali usidhani wanahesabiwa kwa masaa nane ina depend unapiga mchongo gani kuna wanaofanya data entry, wanaoosha vyombo, kuna wanaosafisha masehemu , mfano nakumbuka nje ya kazi yangu ya kuajiliwa nilipata kikazi cha kuwa naenda kusafisha sehem ambapo wanapaki magari, watu walikuwa wanavuta sigara wanaweka vipece vibaya , kazi hii niliifanya kila baada ya kutoka kazin kwangu, na ilikuwa 60 USD per hour nafanya 1 hour daily​
Part time job nyingine ilikuwa kusambaza business cards na kila cars 1 ni 0.5 USD, hivo nikisambaza 200 kwa siku nina 100 USD, japo nilikuwa sivisambazi ukweli nilikuwa naweka kwenye dustbin naenda kudai mpunga, hahaha wabongo tumelogwa​
daaahh huko patamu mkuu "... hiyo ni nchi gani aisee na mimi nije
 
Ujue uongo mwngi sana humu ulaya ulinganishe na bongo mm binafsi kama nikipata kazi ulaya hata kwa bure nafanya kazi .co huku tupo tu bahati mbaya hmna kitu apa tunadanganywa tu ili ufanikiwe tz lazma ufanye biashara zinazozuiliwa na selikal bila hvo ngum sana.
 
Kuwa ughaibuni sio tiketi ya kutajirika,utajiri unatafutwa haijalishi uko wapi,namfahamu mbongo aliyetajirikia somalia,tena sio somaliland au puntland bali somalia ya mogadishu yenye fujo kila leo,na nawafahamu jamaa tena wakaribu walioko marekani na ulaya ambao kila leo wanatupiga vizinga sie tulio bongo.

Kwahyo watu wanaamua kwenda kuishi ughaibuni kwa sababu mbalimbali sio kutajirika tu,wapo wanaokimbia madeni,wapo wanaokimbia kesi na majanga,wapo wanaotaka kubadilisha mazingira,kutafuta unafuu wa maisha(sio utajiri),wapo wanaokimbia stress za familia na walimwengu etc.Mimi kw upande wangu niliamuaga kuhama bongo kwaajili ya kwenda kubadilisha mazingira na kupunguza stress nilizokuwa nazo wakati huo,sikwenda nikiwa na ndoto za kitajirika.
 
Sasa

Mkuu nipe joint hata ya somalia me niende huko hapa upande wng hal ngum sana
 
Mkuu sio mimi ni baba wa rafiki yangu ndie aliyetajirikia huko,inaelekea bado hujaelewa point yangu,nje unaenda kitafuta fursa sio kutajirika,kutajirika ni juhudi binafsi na majaaliwa ya mungu ndio maana hata hapa bongo watu wanatajirika tu pamoja na hali ya hivi sasa kuwa ngumu.
 
Mkuu acha hizo, per day unaweza make up to 120 USD, na wanaposema wanalipa kwa lisali usidhani wanahesabiwa kwa masaa nane ina depend unapiga mchongo gani kuna wanaofanya data entry, wanaoosha vyombo, kuna wanaosafisha masehemu , mfano nakumbuka nje ya kazi yangu ya kuajiliwa nilipata kikazi cha kuwa naenda kusafisha sehem ambapo wanapaki magari, watu walikuwa wanavuta sigara wanaweka vipece vibaya , kazi hii niliifanya kila baada ya kutoka kazin kwangu, na ilikuwa 60 USD per hour nafanya 1 hour daily​
Part time job nyingine ilikuwa kusambaza business cards na kila cars 1 ni 0.5 USD, hivo nikisambaza 200 kwa siku nina 100 USD, japo nilikuwa sivisambazi ukweli nilikuwa naweka kwenye dustbin naenda kudai mpunga, hahaha wabongo tumelogwa​
Dah umenfanya ncheke ndugu yangu tena kwa sauti tuhadithie kidogo bas mkuu
 
Katika harakati za maisha Mara nyingi kila mtu anaona bora nchi hii ama ile!ndio maana utakuta wachina wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia China,Wakenya wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia Kenya!

Ili mradi kila mtu ameona nikienda sehemu Fulani basi naweza kufanikiwa.

Lakini Leo kwa ushauri tu wa bure kama unaweza kumake 1milion tsh kwa mwenzi ukishaondoa matumizi yako na elimu yako ni ya kawaida ama huna kabisa trust me Ulaya kama hujaenda shule ni kazi bure!

USD 10 kwa saa inaonekana kubwa lakini kiuhalisia ni kupaka rangi upepo
Shida moja mkuu, upataji wa hela hiyo hapa Tz ni wa kimagumashi tupu!! Nina Mkinga jirani yangu alinishauri nianze duka la hardwares kama yeye. Alisema linalipa sana. Tukafikia hatua nikitaka anionyeshe cash flow yake na logistics za kodi nk. Duuh, tulianza kuwa maadui kuanzia hapo.. Baadae, nikapata story zake,nilichoka!
Mtz akikuambia biashara hii inalipa,usiparamie,au ukikaa Tz inalipa kuliko nje, jiridhishe kwanza.
 
hahaaa inamaana haukuwa na supervisor " wakukusimamia ili kuweza kujua kama umevisambaza au " la"?? ...hao waajiri wako itakuwa wamerogwa
Hapana wao wanakupa kwa kukuamini , week ya kwanza nilisambaza vizuri lakin ya pili aaa wapi haha
 
Back
Top Bottom