Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
211
Reaction score
229
Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania.

Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea

Japani hali ya ubaguzi kwa
Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine.

Visa ya Kufika Japani ni rahisi sana, kuliko wengi wanavyofikilia.

NB: Kama kazi unayoifanya inakuingizia TZS 5mill kwa mwezi, basi Japan hapakufai, baki huko huko, ila kama below, unaweza ukaja kujaribu bahatinyako huku.
 
Japan wameinuliwa na falsafa zao kuhusu maisha. Ndio utagundua kuwa maendeleo yaa watu na ya Taifa huanzia akilini.

Mfano: Itadakimasu - mtu anaposhukuru kwa kila kitu hadi wahusika wadoooogo kabisa katika kuleta msosi inaonesha falsafa flani hivi
 
Kuna ukweli kuhusu ajira huko, Wajaps hawazaliani sana , hii imepelekea kuwa na uhaba mkubwa wa nguvu kazi,

Kuhusu ustaarabu kwa kweli kiuhalisia toka moyoni mjeps sio mstaarabu , unachokiona ni waliamua watie mpira kwapani baada ya kuangushiwa jumba bovu na Mmarekani kipindi cha ww2

China ndio nchi inawajua vema sana hao watu
 
Japan ilikuwa miaka ya 1980 na 1990 na early 2000s labda kama unaenda kwa ajili ya sex tourism. Tokyo is the next Pattaya
 
Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania.

Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea

Japani hali ya ubaguzi kwa
Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine.

Visa ya Kufika Japani ni rahisi sana, kuliko wengi wanavyofikilia.

NB: Kama kazi unayoifanya inakuingizia TZS 5mill kwa mwezi, basi Japan hapakufai, baki huko huko, ila kama below, unaweza ukaja kujaribu bahatinyako huku.
Vipi upatikanaji wa mbususu za kijapan?
 
Japan wameinuliwa na falsafa zao kuhusu maisha. Ndio utagundua kuwa maendeleo yaa watu na ya Taifa huanzia akilini.

Mfano: Itadakimasu - mtu anaposhukuru kwa kila kitu hadi wahusika wadoooogo kabisa katika kuleta msosi inaonesha falsafa flani hivi
Ni sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom