Kama una mchumba/mke amekuja kuanza chuo Dodoma

Kama una mchumba/mke amekuja kuanza chuo Dodoma

Mbona mabinti wa vyuo ni kawaida yao kujiuza. ukiona ameenda huko wewe jiandae kwa mambo matatu.
1.uwe ----- hadi amalize masomo.

2.ujiandae kufa na ukimwi.

3.ujiandae kulea mtoto wa mwanaume mwenzako.
 
hongereni kwa kuchaguliwa udom .ila jiandaeni kukabiliana na udini na ukabila....
 
Inawezekana ulikuwa na nia nzuri tu kutupa taarifa lakini mrejesho au mapokeo yetu yamekuwa tofauti kidogo mkuu.
pole sana kwa cheche ulizorushiwa na ikibidi uachane na kuwafatilia hao wadada na ukazane kwenye masomo yako.
 
kwaio umeshawajua 1st yr wote! hongera kwa ilo ila inaonesha unajua mama yako amevaa pichu rangi gan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom