Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
- Thread starter
- #101
Kitu kimoja ninachoamini kwenye maisha dream yako kuifikia japo nusu inawezekana. Kama wewe ni mpenzi wa magari japo hutaweza kumiliki benzi japo vitz utamiliki.Sawa, tufanye iko mbezi beach na umetumia material ya kufa mtu, is it untouchable?
Kama ni mpenzi wa nguo unaweza kumuliki mashati 300, na wala usishangae
Kama ni mpenzi wa nyumba nzuri it’s all about plans.