Kama umefikia stage hii ya maisha, mshukuru Mungu

Hongera sana aiseee.ni miongoni mwa wachache sana
Ni ulimbukeni huo mbona wengine tumezaliwa na tukavikuta vyote hivyo na tunavimiliki but tunaona kawaida tu kikubwa ukikipata unapaswa ushukuru ni kuwa na reliable income mfano una company au kiwanda au biashara kubwa.
Sote tunapaswa tumshukuru Allah na siyo ukipata decorated house.
Ukimaka tu asubuhi sema Alhamdulillah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili ya kuishiwa Mada za kupost,... Hahahaha ni mwendo wa kugoogle na kufikirisha watu,.. Ama kweli vyuma vimekaza sana
 
Nilitaka kumsema vibaya aloanzisha huu uzi,ila baada ya kujiridhisha kuwa ni mwanamke(tena niliyekuwa namuamini kuwa kwa hapa JF nae ni mmoja kati ya tano bora humu wanaojielewa)lakini nimeamua kuyameza tu niliyotaka niyatoe,yaani anashindwa kushukuru kwa pumzi na uhai na uzima wa afya yake anakuja kusema tumshukuru mungu kwa picha za ku`download google,kweli mwanamke ni mwanamke tu..hata awe wapi au aelimike vipi bado atakuaibisha tu na kuku`disappoint kwa vitu vya kipuuzi kama hivi,no matter what!
 
Humu hakuna hata mmoja. Wenye level hizo wako bize ma mipango yao, hawana muda was kuja kutoa comments humu. Wakipata muda wa ziada wanaenda ibadani na wanafunua misahafu kumpa sifa Mungu. Maana ndiyo wanaostahili kumuabudu Mungu hao. Wengine siye ni tunapiga kelele tu makanisani na misikitini
Mkuu pamoja na Eli79, naomba msaada wenu..

Kwa heshima na taadhima, sijaona uspecial wowote kwenye hiyo nyumba, hiyo inaweza kuwa ni 'one storey' building.. na ni nyumba ya kawaida kabisa, kuna nini mlichokiona wenzangu ambacho mimi sijakiona? Hii kwa muonekano, inaweza kuwa ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Marehemu Mengi kule kijijini, au wenzangu mlipoona maflat screen makubwa makubwa mkapanic?
 
Nilitaka kumsema vibaya aloanzisha huu uzi,ila baada ya kujiridhisha kuwa ni mwanamke(tena niliyekuwa namuamini kuwa kwa hapa JF nae ni mmoja kati ya tano bora humu wanaojielewa)lakini nimeamua kuyameza tu niliyotaka niyatoe,yaani anashindwa kushukuru kwa pumzi na uhai na uzima wa afya yake anakuja kusema tumshukuru mungu kwa picha za ku`download google,kweli mwanamke ni mwanamke tu..hata awe wapi au aelimike vipi bado atakuaibisha tu na kuku`disappoint kwa vitu vya kipuuzi kama hivi,no matter what!
You have gone too far, umeenda mbali sana bila sababu za msingi, uliyozungumzia ni masuala ya imani, yeye anaamini kumshukuru Mungu baada ya mafanikio, wewe unaamini kumshukuru Mungu kwa kila jambo ili mradi tu unapumua, hiyo ni tofauti ya kiuelewa na kimtazamo tu, waombe radhi wanawake kwa kuwaonyesha dharau katika hii komenti yako.
 
Mkuu pamoja na Eli79, naomba msaada wenu..

Kwa heshima na taadhima, sijaona uspecial wowote kwenye hiyo nyumba, hiyo inaweza kuwa ni 'one storey' building.. na ni nyumba ya kawaida kabisa, kuna nini mlichokiona wenzangu ambacho mimi sijakiona? Hii kwa muonekano, inaweza kuwa ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Marehemu Mengi kule kijijini, au wenzangu mlipoona maflat screen makubwa makubwa mkapanic?
Mkuu kuna quality na quantity. Hii inaweza kuwa ni nyumba ndogo lakini ina quality.
 
Yeah, nimeiona ina quality, wamenishangaza wadau kwa kusema kuwa ni level ya juu kabisa ya maisha hapa duniani na humu JF hakuna wenye nayo, do you believe so? Ok, tuache hilo la hakuna mwenye nayo maana hatufahamiani, je ni nyumba ya ajabu sana na ya gharama kubwa mno au?
 
Gharama ya nyumba inategemea materials ulizitumia, ubunifu na pia location nyumba ilipo. Hii nyumba ikiwa Kwamtogole bei yake haiwezi kuwa sawa na nyumba kama hii ikiwa Mbezi Beach
 
You have gone too far, umeenda mbali sana bila sababu za msingi, uliyozungumzia ni masuala ya imani, yeye anaamini kumshukuru Mungu baada ya mafanikio, wewe unaamini kumshukuru Mungu kwa kila jambo ili mradi tu unapumua, hiyo ni tofauti ya kiuelewa na kimtazamo tu, waombe radhi wanawake kwa kuwaonyesha dharau katika hii komenti yako.
AM SORRY WANAWAKE WOTE,I REALLY MEAN IT SORRY!HASA HASA KWA MADAME ALIYEANZISHA HUU UZI..
 
Gharama ya nyumba inategemea materials ulizitumia, ubunifu na pia location nyumba ilipo. Hii nyumba ikiwa Kwamtogole bei yake haiwezi kuwa sawa na nyumba kama hii ikiwa Mbezi Beach
Sawa, tufanye iko mbezi beach na umetumia material ya kufa mtu, is it untouchable?
 
Back
Top Bottom