Mshukuru sana Mungu kwa kukupa AFYA, UHAI na UZIMA.

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Ndugu yangu,

Mshukuru sana Mungu kwa kukupa AFYA NJEMA, kwa kukupa UHAI na kwa kuendelea kukupa UZIMA.

Tena mshukuru sana sana kwa jambo hilo lenye umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yako. Mengine ni matokeo tu. Na yeye pekee ndiye mgawaji wa hayo yote unayoyahitaji na kuyatamani.

Kama hakukupa jana, basi atakupa leo, na kama hajakupa leo, basi atakupa usiku huu, na kama hatakupa Usiku huu basi atakupa kesho.

"KAMWE USIKATE TAMAA NDUGU YANGU"

UMESIKIA RAFIKI?

Haya , Mungu akubariki sana na aendelee kukulinda na kukuongoza.
struggling-hospitals-could-explain-why-so-many-bl-2-1526-1623945025-46_dblbig.jpg
 
Hata ckupingi mkuu maana jana nililala na njaa Leo asubuh nimeamkaa nimekuta sms ya tgo pesa imenijulisha nimepokea mwamala kwenda bank wa pesaa kutoka Kwa tajiri yangu niliyekuwa namdai huu n mwaka Sasa unapitaa lkn kaamua kunilipa jana saa Saba ucku aiseé na vile ckuwa na mishe Leo ijumaa ,baada ya kuona Ile sms nilijikuta naagiza k vant ndogoo asubuhii nijipongezee Kwa kupataa Hela ya mtu ambayee tulizinguanaa hatarii ..alafu Hela yenyewe c ya kitoto hata kidogo...

Kiukwel MUNGU yupo....
 
Mikeka ya Mama SAMIA huwa inatolewa USIKU.

"Kama hautazipata habari usiku huu, basi ukiamka Asubuhi na kuwasha simu yako lazima utafurahia "

MUNGU FUNDI.

NI SUALA LA MUDA TU.
 
Afya ndio kila kitu asee
Afya , uhai na uzima....vyote vinategemeana. Palipo na viwili au vitatu , Mungu yupo katikati yake.

Ukiwa na afya PEKE yake....Mungu hawezi kuwa na wewe.

Unatakiwa uongeze na Uhai au Uzima au vyote uwe navyo.
 
Ndugu yangu,

Mshukuru sana Mungu kwa kukupa AFYA NJEMA, kwa kukupa UHAI na kwa kuendelea kukupa UZIMA.

Tena mshukuru sana sana kwa jambo hilo lenye umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yako. Mengine ni matokeo tu. Na yeye pekee ndiye mgawaji wa hayo yote unayoyahitaji na kuyatamani.

Kama hakukupa jana, basi atakupa leo, na kama hajakupa leo, basi atakupa usiku huu, na kama hatakupa Usiku huu basi atakupa kesho.

"KAMWE USIKATE TAMAA NDUGU YANGU"

UMESIKIA RAFIKI?

Haya , Mungu akubariki sana na aendelee kukulinda na kukuongoza. View attachment 2627699
Amina
 
Back
Top Bottom