Kama umefikia stage hii ya maisha, mshukuru Mungu

Sawa, tufanye iko mbezi beach na umetumia material ya kufa mtu, is it untouchable?
Kitu kimoja ninachoamini kwenye maisha dream yako kuifikia japo nusu inawezekana. Kama wewe ni mpenzi wa magari japo hutaweza kumiliki benzi japo vitz utamiliki.

Kama ni mpenzi wa nguo unaweza kumuliki mashati 300, na wala usishangae

Kama ni mpenzi wa nyumba nzuri it’s all about plans.
 
Yeah, wadau niliowanukuu waliexaggerate sana, ndio maana nikawaswalika swali. Pamoja Sky!
 
Nyumba za hivi mkiwa dining vinasikika uma na kijiko na kelele ya sahani utaskia ngaa ncchaa viii
Wakati uswahilini kwetu utaskia we joji komba tu mboga jioni utakula maskio yako
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom