Kama umefikia stage hii ya maisha, mshukuru Mungu

Hakika best, yaani sisi tunasindikiza wanoishi pepo ya dunia. Haiwezekani sebule ipo hivyo halafu sisi tunaishi chumba, jiko, sebule, store vyote hapo hapo.

Ndio maana huwa nasema Mungu mwenye upendo wote ajitafakari sana, sorry!!
Tunakula msoto duniani na motoni kunatuhusu
Yeleuwiiiiiiiiii
 
Mwenyewe ndio unajiona mjaaaanja ee...

Nenda kutembelee Muhimbili siku moja uone uhai na uzima unamaana gani duniani...

Mtu akisema tushukuru kwa uhai haimaanishi ni masikini, uhai ni chansi nyingine ya wewe kupambana.

Acha fikra hasi.
Unataka kutuaminisha kwamba wagonjwa hawana shukurani kwa Mungu ndiyo maana wameugua? Kwamba wewe na wote ambao siyo wagonjwa ndiyo mnamshukuru sana Mungu?

Kwa taarifa yako uhai na uzima tulio nao ni kwa NEEMA na kudra zake mwenyezi Mungu tu. Usijitie utakatifu na kudhani kwamba maombi yako ndiyo yanakuweka hai.

Kama uhai ni kazi ya Mungu kwa viumbe vyote akiwemo funza, ndiyo maana tunasema ukipata kitu extra mfano mjengo aliyo onesha mleta mada ndipo umshukuru Mungu.
 
Hii ni level ya juu kabisa katika maisha yetu hapa duniani, ukiona ndani(interior design)kupo hivyo, ujuwe exterior design ni mziki mnene pia.

Tupambane, ila wengi tupo mbali(binafsi hata sidhani na sidhani tena) kufikia hapo, its a milestone na naamini ni watanzania wachache mno wamefika hapo.

Nilienda moshi kwa jamaa mmoja anamiliki mabasi ya abiria, damn it...Ila nae bado sana kufikia hapo, huenda pia sio kipaumbele chake.
Ni yule mwenye marangu coach nni
 
Kuna watu watakuambia wapo wengi, utadhani humu akina pogba na mbape wapo wangap
Humu hakuna hata mmoja. Wenye level hizo wako bize ma mipango yao, hawana muda was kuja kutoa comments humu. Wakipata muda wa ziada wanaenda ibadani na wanafunua misahafu kumpa sifa Mungu. Maana ndiyo wanaostahili kumuabudu Mungu hao. Wengine siye ni tunapiga kelele tu makanisani na misikitini
 
Jaribu kuficha ujinga wako.kwahiyo binadamu nisawa na kuku? Au viumbe wengine?ni vizuri kushukurukufanikiwa kwa namna ya picha za mtoa mada,lakini kwa ujumla kuna vitu vya kushukuru zaidi ya kuwa na vitu kama hiyo picha inavyoonekana. Yaani ile hali ya kuepuka mabalaa ya ugonjwa mkubwa mkubwa na ulemavu,na majanga mengine ni kwa miaka mingi ni ya kushukuru sana.(ingawa mwisho upo)
Ni kweli mkuu, maskini huwa wana vijimaneno vingi vya kujipa faja. Eti mshukuru Mungu kwa uhai? Kwani funza, jongoo, nguchiro na mende hawana uhai? Mbona hawaendi nyumba za ibada kumshukuru Mungu?
 
Jaribu kuficha ujinga wako.kwahiyo binadamu nisawa na kuku? Au viumbe wengine?ni vizuri kushukurukufanikiwa kwa namna ya picha za mtoa mada,lakini kwa ujumla kuna vitu vya kushukuru zaidi ya kuwa na vitu kama hiyo picha inavyoonekana. Yaani ile hali ya kuepuka mabalaa ya ugonjwa mkubwa mkubwa na ulemavu,na majanga mengine ni kwa miaka mingi ni ya kushukuru sana.(ingawa mwisho upo)
Unataka kutuaminisha kwamba wenye hayo magonjwa na mabalaa makubwa makubwa hawakumshukuru Mungu ipasavyo ndiyo maana wakayapata?

Ndiyo kusema wewe na wengine wasio na hayo mabalaa na magonjwa makubwa ndiyo mnajua sana kumuomba Mungu?

Ndugu yangu uhai na afya njema aliyo nayo mwanadamu ni kwa NEEMA tu ya mwenyezi Mungu. Wala siyo kwa shukurani zako ambazo yawezekana ni machukizo mbele zake kwa aina ya maisha ya dhambi uliyo nayo.

Kwakuwa uhai na afya vimetolewa kama neema kwetu sisi wanadamu na viumbe wengune kama funza na inzi, ndiyo maana wajanja tunasema Mungu ashukuriwe kwa jambo extra la kupata makazi bora kama aliyo yaonesha mleta mada. Makazi hayo hawezi kuyapata funza ana inzi.
 
Yap ni extra! Si lazima.ndio maana kwenye mabano nimeandika "ingawa mwisho upo" ,nachomaaanisha ile hali ya kudumu kwa ulinzi wa mungu ukiwa na afya na bila hatari yoyote kwa muda mrefu.ndio neema,sasa kama umepewa neema na mungu kwanini usishukuru?
 
Back
Top Bottom