Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

Upo uhusiano mkubwa kati ya utapeli na ujinga ! Utapeli unapozidi jua na wajinga wako wengi! Hata wahenga walipata kusema " Wajinga Ndio waliwawo" na mjini Shule ! Kuzaliwa mjini ni added advantage when other things remain the same! Tapeli Siku zote ni Mtu laghai maana Yake anapoanza kuja kwako approach Yake ni kutaka umuone kuwa Mtu mwema labda ktk kukusaidia Au kukuuzia kitu Kwa bei nafuu Sawa na bure, n.k hata michezo ya kamili n.k wale wote wanaosimama na kushiriki ni wajinga wengi wakishapigwa ndo akili inaanza kuwakaa ndo anakuwa amejifunza na kuondoa ujinga! Tapeli anapokutana na Mtu ile first image tu anauwezo wa kujua huyu anaingilika Au la, mfano mjini ukakutana na Mtu (Tapeli) anaanza kukuchekea Au kutabasam halafu anakuuliza za Siku anakwambia umenisahau? Ukimkazia macho na kuwa siliasi nakwambia tayari atajua huyu siyo hathubutu kukueleza utapeli wake! Mimi Hata hiyo michezo ya Desi, upatu, D9 n.k sijawahi na sifikirii kuicheza Hata Siku moja! Maana kila nikijaribu kupiga mahesabu yanakataa mwisho naona ni utapeli mtupu! Kanuni moja hii ambayo nimekuwa nikiitumia " unapokutana na Mtu yeyote Yule Hata awe amevaa vizuri Hata na suti na tai haijalishi lazima niwe suspicious hiyo inanipa kuchukua tahadhari Kabla ya hatari! Utanunuaje simu mtaani wakati simu zinauzwa madukani?
 
nilitapeliwa na demu wa sudam temeke baada ya kupata boom first year 2015 nikasema ngja nikachukue mtt mzur mana wa chuo wanazingua sana basi ohh nimefika pale akanikaribisha kwa makeke tukaongea bei nikaanza kupiga miti alivyogundua na pesa nying mana nilikua na lak iv akasema amenielewa so nipige viwil vya free bas nikapiga nikachoka si nikajilaza nakuja kushtuka sina kitu kumuuliza anabisha na akasema nimpe pesa yake ohh wakanipa option mbili ya kwanza niache simu na ya pili niwanyonye K mana alimwita rafik ake basi mwanaume nikasema simu siachi nikazama chumvini ah si wakapata nyege nikatwanga kimoja afu nikasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinyonyaa k kahaba??
 
Hehehehe dah huwez amini nipo msibani but umenifanya nicheke kwa sauti dah we jamaa sio MTU nzuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana ndugu mungu amlaze mrehemu mahala pema peponi amin
Muombe dua njema kwa lugha yoyote mkuu nmungu ni mwema itafika !!!
Ndio hivyo mjini usipojiongeza ni hatari sana vibaka wengi sana ndugu!!
 
Upo uhusiano mkubwa kati ya utapeli na ujinga ! Utapeli unapozidi jua na wajinga wako wengi! Hata wahenga walipata kusema " Wajinga Ndio waliwawo" na mjini Shule ! Kuzaliwa mjini ni added advantage when other things remain the same! Tapeli Siku zote ni Mtu laghai maana Yake anapoanza kuja kwako approach Yake ni kutaka umuone kuwa Mtu mwema labda ktk kukusaidia Au kukuuzia kitu Kwa bei nafuu Sawa na bure, n.k hata michezo ya kamili n.k wale wote wanaosimama na kushiriki ni wajinga wengi wakishapigwa ndo akili inaanza kuwakaa ndo anakuwa amejifunza na kuondoa ujinga! Tapeli anapokutana na Mtu ile first image tu anauwezo wa kujua huyu anaingilika Au la, mfano mjini ukakutana na Mtu (Tapeli) anaanza kukuchekea Au kutabasam halafu anakuuliza za Siku anakwambia umenisahau? Ukimkazia macho na kuwa siliasi nakwambia tayari atajua huyu siyo hathubutu kukueleza utapeli wake! Mimi Hata hiyo michezo ya Desi, upatu, D9 n.k sijawahi na sifikirii kuicheza Hata Siku moja! Maana kila nikijaribu kupiga mahesabu yanakataa mwisho naona ni utapeli mtupu! Kanuni moja hii ambayo nimekuwa nikiitumia " unapokutana na Mtu yeyote Yule Hata awe amevaa vizuri Hata na suti na tai haijalishi lazima niwe suspicious hiyo inanipa kuchukua tahadhari Kabla ya hatari! Utanunuaje simu mtaani wakati simu zinauzwa madukani?
Michezo ya Kamili=michezo ya Kamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michezo ya Kamili=michezo ya Kamali

Nawe unadhihirisha ni CHAPUTA

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo inaitwa typing error ! Sitaki kuamini kama kiwango chako cha ufahamu ndiyo kimeishia hapo! Imeandikwa kimtokacho Mtu kiujazacho moyo wake kwa Hiyo inaonekana Kwa mambo hayo ya chaputa utakuwa hodari! Haiwezekani Mtu akosee ku type neno halafu mhusishe na chaputa ! Ulisoma hesabu za correlation coefficient? Jifunze kujenga hoja na kuchangia mada ili kujijenga na kusaidia wengine kadri iwezekanavyo!
 
Acha povu mkuu...mimi nilikua nakurudisha kwenye Line Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilitapeliwa na demu wa sudam temeke baada ya kupata boom first year 2015 nikasema ngja nikachukue mtt mzur mana wa chuo wanazingua sana basi ohh nimefika pale akanikaribisha kwa makeke tukaongea bei nikaanza kupiga miti alivyogundua na pesa nying mana nilikua na lak iv akasema amenielewa so nipige viwil vya free bas nikapiga nikachoka si nikajilaza nakuja kushtuka sina kitu kumuuliza anabisha na akasema nimpe pesa yake ohh wakanipa option mbili ya kwanza niache simu na ya pili niwanyonye K mana alimwita rafik ake basi mwanaume nikasema simu siachi nikazama chumvini ah si wakapata nyege nikatwanga kimoja afu nikasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo ukawagonga wote?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha ha ulijua kama ungepigwa cha ten hata nanii hutajua unakuja kushtuka imooooooooooooooooooooo
Hebu huko
Wale wanatumia mazingaombwe bwana maana hata sielewi ilikuwaje nikanunua simu nyingine wakati nilikuwa na simu.
 
Ha ha ha ha ha walikuona mshamba mshamba nn? Shida ulitaka vya bei rahisi mama siku nyengne watakupeleka Ununio.
Mie enzi hzo niko na washkaj ubungo kule nyuma ya terminal Tulimkuta Jamaa anauza simu tukamwambia ilete kwanza then Taja bei Kutaja tukataka kumpa huku tumeishika simu jamaa akakataa akasema tumrudishie simu yake hauzi tena.
 
Utapeli umeingia hadi makanisani Siku hizi na wanyonge wakubwa ni akina mama wengine walizwa hadi hati za viwanja! Ufahamu kitu kizuri sana kuwa nacho maishani
 
Ha ha ha ha ha walikuona mshamba mshamba nn? Shida ulitaka vya bei rahisi mama siku nyengne watakupeleka Ununio.
Mie enzi hzo niko na washkaj ubungo kule nyuma ya terminal Tulimkuta Jamaa anauza simu tukamwambia ilete kwanza then Taja bei Kutaja tukataka kumpa huku tumeishika simu jamaa akakataa akasema tumrudishie simu yake hauzi tena.

Maybe waliniona mshamba, ila hata sikuelewa ilikuwaje yaani hadi ninunue simu.
 
Hebu huko
Wale wanatumia mazingaombwe bwana maana hata sielewi ilikuwaje nikanunua simu nyingine wakati nilikuwa na simu.
Hata dyudyu nazo zinaliwa kimazingaombwe mkuu....unakuja kujitambua wakati ndio unavaa G-string yako
so take care

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu huko
Wale wanatumia mazingaombwe bwana maana hata sielewi ilikuwaje nikanunua simu nyingine wakati nilikuwa na simu.

Unatakiwa usimpe nafasi ya kuongea nae wala kushikana nae mkono ! Yani Wewe kuwa siriasi na kumkazia macho huku ukimwangalia usoni akiona hivyo tu anaogopa anahisi huenda Wewe ni polisi waweza mkamata, nakwambia utanuona anaondoka mara moja karibu yako!
 
Back
Top Bottom