Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

Ndio lilikuwa jaribio langu la kwanza tangu kuzaliwa toka hapo sijawahi kutapeliwa tena labda mtu kunikopa na kushindwa kunilipa!
Mwaka jana nilipita kariakoo mara akaniita mpiga viatu rangi akaniambia brother nina rangi OG ya viatu vyako vilikuwa viko poa havihitaji rangi nikaona poa ngoja nimpe avipake rangi apate naye riziki akaanza kupaka brush ya kwanza akaniambia brother hii rangi ni ya ghali sana hazipatikani hivi hivi!!! Nikamuuliza leo lini akaniambia hujuwi ata leo ni lini ! Nikamwambia sijuwi kweli akaniambia leo juma pili nikasema afadhali nilijua leo j3 nina hitajika mahakamani nina kesi ya kuuwa nimekaa ndani miaka 3 nimetoka juzi tu !!
Nikamuliza itakuwa jumla shilingi ngapi akasema kila brush moja 500 nikamuuliza ushapaka ngapi akaniambia kumi nikamuambi acha hapo hapo usije nifanya nikarudi gerezani kwa kesi nyingine inayo fanana nina buku tu hapa!! Aksema ninakudai 5,000 nikamwambia kama hujuwi kifo katizame kaburi usiongeye neno jingine huyo nikasepa zangu!!!!!
Hehehehe dah huwez amini nipo msibani but umenifanya nicheke kwa sauti dah we jamaa sio MTU nzuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishatapeliwa stendi kuu mbeya,Ilikuwa hivi
Nimetoka zangu shule(Iyunga tech)nimechoka kinyama,pepa zote zimenibaka(PCM) nimefika stand kuu natafuta ofisi za hood hola,namuuliza utingo mmoja akanipeleka ofisi ya hood feki,tiketi feki mpaka gari feki
Mpaka kuja kushtuka nipo ndani ya MAJINJI EXPRESS naelekea dar
 
Wondering why u call yourself maserati
Pornstar mmoja mtamu sana huyo
Unaweza ngono tu,hufikirii mengine...
Naona ID yako inasadifu unayoyanena. Nenda Ka google maserati utaelewa sio kila kitu ngono ngono tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa sababu hapo sijaelezea Tuka tunatoka home,mpaka tulikopita. I just jump direct kwenye tukio. Unakuja ooh aggrey,washamba. My dear,unaweza kuwa mjanja lakini wengine wakakuona mtozeni tu.
 
Nilishatapeliwa stendi kuu mbeya,Ilikuwa hivi
Nimetoka zangu shule(Iyunga tech)nimechoka kinyama,pepa zote zimenibaka(PCM) nimefika stand kuu natafuta ofisi za hood hola,namuuliza utingo mmoja akanipeleka ofisi ya hood feki,tiketi feki mpaka gari feki
Mpaka kuja kushtuka nipo ndani ya MAJINJI EXPRESS naelekea dar
Mbeya napo unatapeliwa?
 
Kwa sababu hapo sijaelezea Tuka tunatoka home,mpaka tulikopita. I just jump direct kwenye tukio. Unakuja ooh aggrey,washamba. My dear,unaweza kuwa mjanja lakini wengine wakakuona mtozeni tu.
Hili ndio povu.
 
Nimewahi kulizwa laki 7.8 kwenye ATM machine kwa kubadilishiwa ATM card na kupewa iliyo feki halafu akatokomea akaenda kuzitolea ATM nyingine

How comes unatapeliwa ATM CARD.
Anakuja mtu anakupa ATM Card yake na wewe unampa yako ama ulikabwa kibabe??
 
How comes unatapeliwa ATM CARD.
Anakuja mtu anakupa ATM Card yake na wewe unampa yako ama ulikabwa kibabe??
Stori ndefu na hilo jambo linafanyika kwa utaalamu wa hali ya juu.
Sio mimi tu, wengi wamelizwa mamilioni ukilinganisha na mimi hizo laki.
 
Nililipia haja ndogo kwa 7000/=

Nimetoka zangu kuripoti Form Five pale Ilboru Secondary nikasema ngoja nikatalii jiji la Arusha wanapaita Arachuga.

Kufika mjini nikabanwa sana na mkojo.
Nikawa naogopa kuulizia choo cha kulipia kiko wapi SABABU nishaambiwa Arachuga kuna wahuni. Basi pembeni palikua na makaburi, nikasogea kwenye mti nikaanza kukojoa.

Ile namaliza tu, jamaa wawili wamevaa makoti wakaja.
Wakanipiga sana mkwara, kuwa wao ni maafande wa mazingira. Wakasema twende kituoni nikawekwe ndani.
Nikaanza kuwabembeleza, wakasema nitoe 30,000 waniache. Daaah, mfukoni nilikua na 7000 tuu.. Nikawapa wakaniachia.

Nikashukuru sana. Nikarudi shule fasta mkojo mwingine usije kunibana nikaumbuka tena.
 
Funny....bt hapo hujatapeliwa..ulilipia Uzembe..tena ungepigwa na makofi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom