Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,600
Ahhaaaaaa mkuu umetishaDaah mi nilitapeliwa arusha maeneo ya stendi kuu. Nikiwa zangu natembea town jamaa mmoja akaniita, nilivyoenda akanambia eti kuna ujambazi umetokea njiro usiku na wao ni mapolisi kutokea dar wamekuja kufanya upelelezi wa kuwatafuta hao majambazi wakati anaendela kunambia ivyo akapita jamaa mwingine nae akamwita na kumwambia kama alivyoniambia mimi. Akatwambia wanachofanya wao ni kukagua hela na simu za watu wanaowahisi kwenye mashine yao km ndio zilizoibiwa.
Akamwambia yule jamaa aliyemwita baada yangu ampe simu yake na waleti akazicheki kwenye mashine akazunguka kwa nyuma kidogo akaingia kwenye nyumba fulani ivi baada ya kama dakika 5 akarudi akamwambia vitu vyako vipo salama hausiki, nenda zako. Ikaja zamu yangu nikampa kisimu changu cha G Tide na buku mbili akaenda kuzicheki kwenye mashine. Nilimsubir km dakika 15 mtu akurudi ndo akili zikanirudia kuwa hapa nimeshatapeliwa. Aise nilizunguka stendi nzima kumtafuta yule jamaa adi kidogo nigongwe na gari kwa stress za kutapeliwa.
Haaahahahahaaaaa umetisha mkuu. Nakumbuka tulitoka chuo hapo tia sema kila mmoja akaingia chocho lake. Kumbe ulilizwa mbona hukusemanilitapeliwa na demu wa sudam temeke baada ya kupata boom first year 2015 nikasema ngja nikachukue mtt mzur mana wa chuo wanazingua sana basi ohh nimefika pale akanikaribisha kwa makeke tukaongea bei nikaanza kupiga miti alivyogundua na pesa nying mana nilikua na lak iv akasema amenielewa so nipige viwil vya free bas nikapiga nikachoka si nikajilaza nakuja kushtuka sina kitu kumuuliza anabisha na akasema nimpe pesa yake ohh wakanipa option mbili ya kwanza niache simu na ya pili niwanyonye K mana alimwita rafik ake basi mwanaume nikasema simu siachi nikazama chumvini ah si wakapata nyege nikatwanga kimoja afu nikasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ,sabuni ya komoaKiukweli kutapeliwa hakujawahi kwepeka hata uwe mjanja uliezaliwa katikati ya mji,utatapeliwa tu aidha kwamakusudi au bahati mbaya
Mimi Miaka ya nyuma, ubungo walishawahi niotea nikiwa na makusudi ya kutaka kuona ni jinsi gani wale vijana wanambinu kali za kugeuza simu kwenda sabuni(mfukoni)
Basi nikameet na janja mmoja akiwa na smartphone nzuri tu na ipo ON bt haina line. Akaniambia 50 me nikasema nina 20, akasema poa toa..nikampa fasta huku nikimkazia macho mfukoni asibadili gia...basi akaitoa mfuko uleule kama ilivyokua kwenye kibahasha..basi nikajua leo nimewaweza.
Alivyogeuka nikatoka mbio mpaka RIVERSIDE ili niikague...Loooh aisee nikakutana na sabuni aina ya KOMOA..doh
Aisee teknolojia ya wale viumbe niyahali ya juu.
Hebu tupe uzoefu wako katika kuingizwa Mitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh Nimewaza jinsi ulivyojisikia mpk kuzoea Hali aisee nimejisikia uchungu.Kwanza nikiri kuwa ujinga wangu na pupa yangu ndio vimechangia kwa asilimia kubwa kuingizwa mjini kiasi hicho.
Kipindi hicho ndio naanza chuo mwaka wa kwanza, nilipata boom nikiwa nimechaguliwa kusoma koz ya Afya. Boom kwa wanafunzi wa kozi za Afya ni kubwa kuliko la waafunzi wa kozi ambazo sio za afya.
Nilifanya hatua zote za usajili chuoni na kufungua account ya CHAP CHAP (NMB) kwa ajili ya kuwekewa boom. Sasa baada ya hapo nikawa nasubiri boom liingie nianze kuonja mkwanja wa serikali. Boom lilipoingia rafiki yangu akanishtua kwa simu mida ya usiku akaniambia mpunga ndani ya kikapu, moyo ukashtuka paaa!! Nikasema asubuhi nitaenda kudrawal laki 2 kwanza nikafanyie shopping na mazagazaga mengine ya chuo.
Wakati kabla nasubiri boom liingie nilijaribu kufanya practice ya kutumia ATM lakini ilikuwa ni juu sana.
Kesho yake asubuhi na mapema saa 12 kasoro mwanaume nikatinga ATM pale Ubungo Shell, nilipofika tena kwa shauku kwenye hiyo ATM ambayo ilikuwa na sehemu tatu za kutolea hela nilikuta kuna jamaa anatoa hela kwenye tundu moja lilikuwa ndani kidogo halafu mengine mawili yapo kwa mbele, mimi nikaenda kwenye haya matundu ya mbele ambapo moja lililkuwa halifanyi kazi na maelezo yalikuwa yameandikwa pale kwenye kioo kuwa haifanyi kwa muda huo.
Bila kukawiwa nikaingiza card yangu ya Chap Chap kabla sijaanza kuandika neno la siri yule jamaa ambaye alikuwa kwenye tundu la ndani akaja fasta na kubonyeza kitufe chakusitisha process za kutumia ATM halafu kadi ikarudi na akaishika huku akiniambia hii haifanyi kazi njoo huku kwenye tundu ambalo alikuwa anatolea yeye, na nikifikiria jinsi kadi ilivyorudi fasta bila kujua kuwa ndio yeye kairudisha nikaamini na akiwa ameishikilia kadi yangu tukaongozana hadi alipokuwa anatolea pesa na akaingiza card fasta bila mimi kugundua kuwa kanibadilishia kadi na kaingiza fake. Akaniambia(huku amesimama pembeni yangu kwa nyuma kidogo) weka namba ya siri. Nilipoingiza namba zikasomeka live bana tofauti na kawaida ambapo zinaonesha ****, kumbe kazikariri fasta na akabonyeza OK mashine ikaniambia weka namba ya siri ya mtu aliyekutumia pesa(hapo nikapigwa shot kwanza), akaniambia iweke sasa hiyo namba nikamwambia siijui, kumbe kitendo cha kubonyeza fasta fasta ilikuwa mbinu ya kunipoteza alipoona nishapotea halafu tayari namba ya siri kaiona kasepa na kuniacha nikiwa nang'ang'ana na mashine.
Baada ya kuona jambo limenigomea nikaamua nijaribu kuitoa kadi ikagoma, ghafla mashine ikaanza kupiga kelele, daahh! Kumbe ile kadi ambayo ilikuwa fake imeshamezwa. Nikamfuta mlinzi nje nikamueleza tatizo nikmuomba anisaidie kuitoa kadi, alipoenda kuangalia akaniambia ishamezwa hiyo, pia akaniuliza kama kuna mtu alikuwepo na amejaribu kunisaidia nikakiri nikamueleza movie ilivyokuwa. Akanishauri niende Mlimani city ifikapo saa mbili nikasaidiwe kuhusu hilo tatizo, ilipofika saa mbili tayari nilikuwa nishafika hapo Mlimani city nikawaona wahusika pale nikaeleza mkasi ulivyokuwa halafu nikawapa account namba wakacheki tukakuta jamaa kashajizolea mzigo kitambo(yaani baada ya nusu saa aliponiibia kadi) halafu kanibakishia buku 8 tu.
Sikuwa na ujanja zaidi na nguvu za kufuatilia zikawa zimeniishia nikabaki naugulia maumivu ya hatari sana maana boom limesepa lote.
Aisee huo mkasa sitausahau labda utokee mwingine wa kureplace

nyie vijana wa siku hizi mnatudharau Sana wazee...wakamwambia kama unayo Mil 10 tunaenda kukuchukulia kadi tunakuachia gari Hy hata nuksi haina.

Daah mi nilitapeliwa arusha maeneo ya stendi kuu. Nikiwa zangu natembea town jamaa mmoja akaniita, nilivyoenda akanambia eti kuna ujambazi umetokea njiro usiku na wao ni mapolisi kutokea dar wamekuja kufanya upelelezi wa kuwatafuta hao majambazi wakati anaendela kunambia ivyo akapita jamaa mwingine nae akamwita na kumwambia kama alivyoniambia mimi. Akatwambia wanachofanya wao ni kukagua hela na simu za watu wanaowahisi kwenye mashine yao km ndio zilizoibiwa.
Akamwambia yule jamaa aliyemwita baada yangu ampe simu yake na waleti akazicheki kwenye mashine akazunguka kwa nyuma kidogo akaingia kwenye nyumba fulani ivi baada ya kama dakika 5 akarudi akamwambia vitu vyako vipo salama hausiki, nenda zako. Ikaja zamu yangu nikampa kisimu changu cha G Tide na buku mbili akaenda kuzicheki kwenye mashine. Nilimsubir km dakika 15 mtu akurudi ndo akili zikanirudia kuwa hapa nimeshatapeliwa. Aise nilizunguka stendi nzima kumtafuta yule jamaa adi kidogo nigongwe na gari kwa stress za kutapeliwa.

Pole mwaya mie kwa aibu nlienda kutupa kule kimara! Ilikua palepale darajaniNiliuziwa kipande cha sabuni badala ya simu ubungo enzi nipo school.
Matapeli walaaniwe,ilikua pale ubungo darajani ndo naelekea stendi ya daladala pale Tanesco maana daladala ya mbagara ilikua kwa foleni abiria tukaona tushuke tujisogeze kwa mguu!
Baada ya mwendo wa dk3 nastukia jamaa yupo pembeni katoa simu tamu mnoo ilikua nokia Lumia(by 2012 ilikua simu ya kueleweka sana) nikadata! Shngap elfu 50 tu dogo chaap! Nkamwambia ipo 25 tu,(ilikua nauli ya bus kesho yake niende Mtwara)
Nkampa pesa akanpa simu akasema ficha ficha dogo kuna mjinga kaangusha asije kukuona....nkapuga hatua 5 nkaingza mkono nashangaa kitu hakina batan,kubinya kinazama tu aloo mwili ukasisimka ayaaaaa ndo nshapigwaaaa!!!!
Nkageuza mbio kumsaka jamaa nkamkuta pale darajani kwa chini na wavuta bange wenzie nkamtazamaa kama hanioni ila mijicho waliyokua wananitazama wale wavuta fegi!!!!!
For Good sake nkasepa na tayar ilikua saa moja usku nkapanda gar had kimara mwsho nkaangusha kile kipande cha sabuni ila hatua mbili nkarud kukiokota nawalaani sana matapeli kwa hasira zangu!!!!!!!!
NILIOGA MASAA MAWILI HADI JISABUNI LAO LIKAISHA!

wewe pumbavuuu sanaaaaMatapeli wako na akili Mingi Sana
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa naka grocery changu some where, kuna mzee mmoja alikuwa mteja wangu Sana kipindi hicho, isitoshe ndio alikuwa amekula pesa ya mafao baada ya kustaafu uwalimu. Hivyo kifedha alikuwa mtamu.
Kipindi hicho ndio Brevirs zinaingia bila Mil 13+ huwez pata, kuna majamaa walikuwa wawili walikuja na hiyo gari, chombo ilikuwa mpya...haina plate number zaidi ina chasers no. kwenye kioo ilikuwa rangi ya Silva.
Wakaja pale na story nyingi wakijifanya watu wa madini..na walikuja mjini kwa ajili ya kutumia baada ya mgodi wao kutema..hvy muda wote wanazungumza na hayo mambo wanakunywa bia za kutosha huku wanamnunulia na yule mzee.
Basi wakasema mwaka huu umekuwa wa neema kwao kwani wamepata simu mgodi umelipua Tena(umetema) hivyo hawawezi kukaa Tena mjini inabidi warudi pori.
Hivyo inabidi hilo gari wauze kwa bei ya hasara, kutokana muda wa kulitumia watakuwa hawana...ht hvy wakitoka huko watachukua chuma kingine kikali.
Mara mzee mstaafu kaingia mkenge kawauliza mnauza Tsh ngapi...wale majamaa wakacheka, wakamuuliza mzee unapesa ya kununua gari wewe?
Mzee akasema sio mojanyie vijana wa siku hizi mnatudharau Sana wazee...wakamwambia kama unayo Mil 10 tunaenda kukuchukulia kadi tunakuachia gari Hy hata nuksi haina.
Mzee akasema kama ni 7Mil Sasa hv tunaenda bank...majamaa wakaangalina wakamwambia ngoja tufanye tumekupa sadaka...wakatoka wakaenda kumpa kadi feki...baada ya mzee kuwapa fedha wakarudi baa kugonga mvinyo kwa kwakuwa mzee hajui kuendesha wakamwambia mpigie dereva aje kukuchukua wakamwachia funguo feki na kadi feki wakatoka nje wakachukua ndinga wakasepa.
Biashara ilifanyika kama masaa matano hv mzee anarudi analia amepigwa Mil 7 Kama mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza nikiri kuwa ujinga wangu na pupa yangu ndio vimechangia kwa asilimia kubwa kuingizwa mjini kiasi hicho.
Kipindi hicho ndio naanza chuo mwaka wa kwanza, nilipata boom nikiwa nimechaguliwa kusoma koz ya Afya. Boom kwa wanafunzi wa kozi za Afya ni kubwa kuliko la waafunzi wa kozi ambazo sio za afya.
Nilifanya hatua zote za usajili chuoni na kufungua account ya CHAP CHAP (NMB) kwa ajili ya kuwekewa boom. Sasa baada ya hapo nikawa nasubiri boom liingie nianze kuonja mkwanja wa serikali. Boom lilipoingia rafiki yangu akanishtua kwa simu mida ya usiku akaniambia mpunga ndani ya kikapu, moyo ukashtuka paaa!! Nikasema asubuhi nitaenda kudrawal laki 2 kwanza nikafanyie shopping na mazagazaga mengine ya chuo.
Wakati kabla nasubiri boom liingie nilijaribu kufanya practice ya kutumia ATM lakini ilikuwa ni juu sana.
Kesho yake asubuhi na mapema saa 12 kasoro mwanaume nikatinga ATM pale Ubungo Shell, nilipofika tena kwa shauku kwenye hiyo ATM ambayo ilikuwa na sehemu tatu za kutolea hela nilikuta kuna jamaa anatoa hela kwenye tundu moja lilikuwa ndani kidogo halafu mengine mawili yapo kwa mbele, mimi nikaenda kwenye haya matundu ya mbele ambapo moja lililkuwa halifanyi kazi na maelezo yalikuwa yameandikwa pale kwenye kioo kuwa haifanyi kwa muda huo.
Bila kukawiwa nikaingiza card yangu ya Chap Chap kabla sijaanza kuandika neno la siri yule jamaa ambaye alikuwa kwenye tundu la ndani akaja fasta na kubonyeza kitufe chakusitisha process za kutumia ATM halafu kadi ikarudi na akaishika huku akiniambia hii haifanyi kazi njoo huku kwenye tundu ambalo alikuwa anatolea yeye, na nikifikiria jinsi kadi ilivyorudi fasta bila kujua kuwa ndio yeye kairudisha nikaamini na akiwa ameishikilia kadi yangu tukaongozana hadi alipokuwa anatolea pesa na akaingiza card fasta bila mimi kugundua kuwa kanibadilishia kadi na kaingiza fake. Akaniambia(huku amesimama pembeni yangu kwa nyuma kidogo) weka namba ya siri. Nilipoingiza namba zikasomeka live bana tofauti na kawaida ambapo zinaonesha ****, kumbe kazikariri fasta na akabonyeza OK mashine ikaniambia weka namba ya siri ya mtu aliyekutumia pesa(hapo nikapigwa shot kwanza), akaniambia iweke sasa hiyo namba nikamwambia siijui, kumbe kitendo cha kubonyeza fasta fasta ilikuwa mbinu ya kunipoteza alipoona nishapotea halafu tayari namba ya siri kaiona kasepa na kuniacha nikiwa nang'ang'ana na mashine.
Baada ya kuona jambo limenigomea nikaamua nijaribu kuitoa kadi ikagoma, ghafla mashine ikaanza kupiga kelele, daahh! Kumbe ile kadi ambayo ilikuwa fake imeshamezwa. Nikamfuta mlinzi nje nikamueleza tatizo nikmuomba anisaidie kuitoa kadi, alipoenda kuangalia akaniambia ishamezwa hiyo, pia akaniuliza kama kuna mtu alikuwepo na amejaribu kunisaidia nikakiri nikamueleza movie ilivyokuwa. Akanishauri niende Mlimani city ifikapo saa mbili nikasaidiwe kuhusu hilo tatizo, ilipofika saa mbili tayari nilikuwa nishafika hapo Mlimani city nikawaona wahusika pale nikaeleza mkasi ulivyokuwa halafu nikawapa account namba wakacheki tukakuta jamaa kashajizolea mzigo kitambo(yaani baada ya nusu saa aliponiibia kadi) halafu kanibakishia buku 8 tu.
Sikuwa na ujanja zaidi na nguvu za kufuatilia zikawa zimeniishia nikabaki naugulia maumivu ya hatari sana maana boom limesepa lote.
Aisee huo mkasa sitausahau labda utokee mwingine wa kureplace

we fala Sana utaibiwaje kizembe hivyoChai hii kabisanilitapeliwa na demu wa sudam temeke baada ya kupata boom first year 2015 nikasema ngja nikachukue mtt mzur mana wa chuo wanazingua sana basi ohh nimefika pale akanikaribisha kwa makeke tukaongea bei nikaanza kupiga miti alivyogundua na pesa nying mana nilikua na lak iv akasema amenielewa so nipige viwil vya free bas nikapiga nikachoka si nikajilaza nakuja kushtuka sina kitu kumuuliza anabisha na akasema nimpe pesa yake ohh wakanipa option mbili ya kwanza niache simu na ya pili niwanyonye K mana alimwita rafik ake basi mwanaume nikasema simu siachi nikazama chumvini ah si wakapata nyege nikatwanga kimoja afu nikasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wangecheki kwenye camera ingeweza kusaidiaKwanza nikiri kuwa ujinga wangu na pupa yangu ndio vimechangia kwa asilimia kubwa kuingizwa mjini kiasi hicho.
Kipindi hicho ndio naanza chuo mwaka wa kwanza, nilipata boom nikiwa nimechaguliwa kusoma koz ya Afya. Boom kwa wanafunzi wa kozi za Afya ni kubwa kuliko la waafunzi wa kozi ambazo sio za afya.
Nilifanya hatua zote za usajili chuoni na kufungua account ya CHAP CHAP (NMB) kwa ajili ya kuwekewa boom. Sasa baada ya hapo nikawa nasubiri boom liingie nianze kuonja mkwanja wa serikali. Boom lilipoingia rafiki yangu akanishtua kwa simu mida ya usiku akaniambia mpunga ndani ya kikapu, moyo ukashtuka paaa!! Nikasema asubuhi nitaenda kudrawal laki 2 kwanza nikafanyie shopping na mazagazaga mengine ya chuo.
Wakati kabla nasubiri boom liingie nilijaribu kufanya practice ya kutumia ATM lakini ilikuwa ni juu sana.
Kesho yake asubuhi na mapema saa 12 kasoro mwanaume nikatinga ATM pale Ubungo Shell, nilipofika tena kwa shauku kwenye hiyo ATM ambayo ilikuwa na sehemu tatu za kutolea hela nilikuta kuna jamaa anatoa hela kwenye tundu moja lilikuwa ndani kidogo halafu mengine mawili yapo kwa mbele, mimi nikaenda kwenye haya matundu ya mbele ambapo moja lililkuwa halifanyi kazi na maelezo yalikuwa yameandikwa pale kwenye kioo kuwa haifanyi kwa muda huo.
Bila kukawiwa nikaingiza card yangu ya Chap Chap kabla sijaanza kuandika neno la siri yule jamaa ambaye alikuwa kwenye tundu la ndani akaja fasta na kubonyeza kitufe chakusitisha process za kutumia ATM halafu kadi ikarudi na akaishika huku akiniambia hii haifanyi kazi njoo huku kwenye tundu ambalo alikuwa anatolea yeye, na nikifikiria jinsi kadi ilivyorudi fasta bila kujua kuwa ndio yeye kairudisha nikaamini na akiwa ameishikilia kadi yangu tukaongozana hadi alipokuwa anatolea pesa na akaingiza card fasta bila mimi kugundua kuwa kanibadilishia kadi na kaingiza fake. Akaniambia(huku amesimama pembeni yangu kwa nyuma kidogo) weka namba ya siri. Nilipoingiza namba zikasomeka live bana tofauti na kawaida ambapo zinaonesha ****, kumbe kazikariri fasta na akabonyeza OK mashine ikaniambia weka namba ya siri ya mtu aliyekutumia pesa(hapo nikapigwa shot kwanza), akaniambia iweke sasa hiyo namba nikamwambia siijui, kumbe kitendo cha kubonyeza fasta fasta ilikuwa mbinu ya kunipoteza alipoona nishapotea halafu tayari namba ya siri kaiona kasepa na kuniacha nikiwa nang'ang'ana na mashine.
Baada ya kuona jambo limenigomea nikaamua nijaribu kuitoa kadi ikagoma, ghafla mashine ikaanza kupiga kelele, daahh! Kumbe ile kadi ambayo ilikuwa fake imeshamezwa. Nikamfuta mlinzi nje nikamueleza tatizo nikmuomba anisaidie kuitoa kadi, alipoenda kuangalia akaniambia ishamezwa hiyo, pia akaniuliza kama kuna mtu alikuwepo na amejaribu kunisaidia nikakiri nikamueleza movie ilivyokuwa. Akanishauri niende Mlimani city ifikapo saa mbili nikasaidiwe kuhusu hilo tatizo, ilipofika saa mbili tayari nilikuwa nishafika hapo Mlimani city nikawaona wahusika pale nikaeleza mkasi ulivyokuwa halafu nikawapa account namba wakacheki tukakuta jamaa kashajizolea mzigo kitambo(yaani baada ya nusu saa aliponiibia kadi) halafu kanibakishia buku 8 tu.
Sikuwa na ujanja zaidi na nguvu za kufuatilia zikawa zimeniishia nikabaki naugulia maumivu ya hatari sana maana boom limesepa lote.
Aisee huo mkasa sitausahau labda utokee mwingine wa kureplace
Mwisho wake ikawajeAcheni acheni kabisa, matapeli achana nao. Mimi nimetapeliwa mara nyingi na kwa mambo tofauti tofauti. Ikiwemo ajira, biashara, utajiri na nk. Lakini utapeli mkubwa nisioweza kuhusahau ambao ulihatarisha kuvunja ndoa yangu, ni kutapeliwa uwanja Tegeta masite. Hapo sitakuja kusahau. 2002 niliuziwa uwanja milioni 3, mbele ya wanasheria siwezi kuwaandika, maana kila walichokitaka wanasheria jamaa wali submit tena og. Yalifanyika malipo nikapewa document zote, ilikuwa offer. Sitakuja kusahau nakuambia. Nilikuwa na hamu sana kuwa na nyumba, nikaweka tofari zaidi ya elfu2, mchanga, kokoto nyie acheni tu. Ita mafundi wakafanya setting ya msingi, kazi imeanza nikapata safari ya SA, lakini huku niliacha kila kitu safi yaani nikirudi no kupaua tu. Jamani niko Durban napigiwa simu, huku balaha uwanja huu ni wa mtu. Aiseeh naumia sana, acheni tu ila Mungu anawaona.