NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,943
Nimewahi kulizwa laki 7.8 kwenye ATM machine kwa kubadilishiwa ATM card na kupewa iliyo feki halafu akatokomea akaenda kuzitolea ATM nyingine
Hahaha me walini beep siku na pokea mshahara wangu wa kwanza nikiwa na kabahasha kangu ka laki miaka mingi kidogo akajilengesha brother sanahani unapajua kwa mama mbaga huwa anasaidiaga watu sana ni mganga!!! Nikawangalia usoni kabla sijauuliza swali hamtaweza amini lilinitoka neno automatic mdomoni kum .......................sengerema wewe nikasikia mwenye unajiona mjanja wenzako wamelia huku akivuka bara bara taratibu me huyoooo watu wakishanga kwanini nimetukana !!!Hahah!, nimecheka kama mazuri vile haya ya mtoa mada alivyotoka mbio na sabuni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa haaaa haaaaaSawa mkuu nakubali uzembe huu ndio source yakutamka neno UTAPELI LEO HII
ila nawe mzembe usiekua na calculations... hiyo pesa ya kwenda na kurudi tena kariakoo si ungenunua mswaki kwa Mangi hapo...duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaaa huo mzunguko ungekua na zaidi ingekula kwakowakuu mimi wala sio siku nyingi ni kama mwezi umepita tangu nitapeliwe 20000....
ni hivi nilikuwa nacheki watu wanavyocheza mchezo wa kubahatisha namba na hatimaye kujishindia kifaa chochote ambacho kitakuwa na iyo namba utakayootea...
sasa baada ya kukaa kwa mda jamaa akajishindia kama elfu 18000 na kunipatia shilingi 2000 kama mgao tuu ili na mimi nicheze na mwenzangu aliye kuwa karibu...
tulilipia kisha nikapewa tiketi sita ambazo zilikuwa na namba ambazo ndizo zilikuwepo kwenye vifaa vilivyokuwepo pale ikiwepo generator,pikpik,beg radio,subwoofer,etc
baadaye kadi zangu zilikaguliwa na kati ya namba zote ilikuwapo nba ya generator...
baada ya apo nikaambiwa nilipe ela ya kuchangia ambayo ilikuwa 37000 ila mimi nilikuwa na 20000,wakati uo mwenzangu niliyelipa nae ela ya kadi akiwa ananielekeza pasipo mimi kujua kuwa yule na yeye alikuwa kampuni moja na wale matapeli
baada ya kukosa 17000 ili jumla ziwe 37000 jamaa aliniambia niazime ili niweze kukomboa generator,baada ya kuona nakaribia kunyakua generator ilinibid niweke cm bondi kwa mzee wa pembeni ananiconvice sana pasipo mimi kujua pia na yeye alikuwa ni
hatimaye nilipata 10000 kuongeza jumla ikawa 30000 nikalipa wakaniambia kwa kuwa sijalipa zote nilizotakiwa kulipa nichague kadi zangu tano pasipo kuangalia kisha niwaachie mbili ambapo mwanzo jumla zilikuwa saba
baada ya kuchagua kadi yangu iliyokuwa na namba ambayo ilikuwa ni ya generator nilitakiwa niwe nimebak nayo ila kwa kuwa nilitakiwa kuchagua kadi pasipo kuangalia sikuwa na uhakika kama nimebak nayo.....
hatimaye ulifika mda wa kuangalia kama kadi nilizo nazo kama kuna yoyote yenye namba inayofanana na kifaa chochote pale ..
niliishiwa nguvu baada ya kuambulia manyoya...
wakuu kwa kweli nilichoka ukizingatia nilikuwa nimeweka sim bondi..
tulitoka chemba na yule mzee akitaka pesa yake ili anirudshie sim yangu..
mfukoni nilikuwa nimebakiwa na 500 ikabidi sasa nianze kuonyesha sura ya huruma na kuanza kujieleza kiumaskini zaidi angalau nipewe sim
kitu kilichonijulisha kuwa yule mzee alikuwa kampuni moja na wale matapeli ni aliponishauri niende kwa yule niliyempa ela nimueleze hali halisi kama atanionea huruma na baada ya kumueleza bila hata kupoteza mda aliniuliza nimemkopa mzee sh.ngap na nikamwabia kisha akaniambia nimuite na kumwambia anipe sim yangu niondoke
mzee naye bila ata kufikiria alinipatia sim yangu nakuondoka nikiwa nishapigwa 20000 mfukoni nimebakiwa na 500
kwa kweli pale walihusika watu wengi kunitapeli akiwepo aliyenipa 2000 ya kuanzia nikiwa sina ata nia ya kucheza ila baada tuu ya kupewa ela ya bure ya kuanzia nikajikuta tayari nishaingia na kutoka siwezi
generator ikaota mbawa nikarudi nyumbani najicheka tuu mwnyw
arusha iyo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa wale wenye story nyingi na kukutapisha nywele waliniliza buku saba Dsm..Mpka leo mtu nisiyemjua akinisemesha harafu nikahisi kuwa ni tapeli atajuta kuzaliwa nimewahi kutoa kisago cha haja mtaa wa kongo Mpka leo wakiniona wananiamkiaNilipigwa buku9 masika kwa wauza madude used.yale, redio na tv za kizamani.
Nikaja kupigwa simu moshi, na wale jamaa.wenye stori nyingi na nahisi walitumia madawa wale! Wakanikoholesha nywele toka tumboni.ha ha nilipigwa simu mbili, cheni na buku5
Hasira gharama. Ya dawa ya meno hayakuwepo tena. Kikicholengwa pale sasa ilikuwa ni uchu wa kuua ama kukomesha(lust to kill), ndiyo maana sikujali tena gharama za usafiri.Sawa mkuu nakubali uzembe huu ndio source yakutamka neno UTAPELI LEO HII
ila nawe mzembe usiekua na calculations... hiyo pesa ya kwenda na kurudi tena kariakoo si ungenunua mswaki kwa Mangi hapo...duh![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefupisha sana. Hilo game la free ulilicheza?kuna manzi alikuwa ana tamaa sana afu ajifanya anajua sana gadgets, ooh mi siwezi hongwa Tocno, nikamwambia hapa kuna Iphone6 vipi unasemaje? oooh iko wapi? jibu toa vitu upate vitu.....mtu kaukeshea night till sono, kisha kapewa iphone lenye icloud akahangaike nalo.....akawa akipiga simu misonyo ya hatari ila mwisho wa siku akaja tuu na kukubali kwamba nimemuweza na kesi ikaishia hapo, na akataka tena game la free kama bonus.
Hahaha me walini beep siku na pokea mshahara wangu wa kwanza nikiwa na kabahasha kangu ka laki miaka mingi kidogo akajilengesha brother sanahani unapajua kwa mama mbaga huwa anasaidiaga watu sana ni mganga!!! Nikawangalia usoni kabla sijauuliza swali hamtaweza amini lilinitoka neno automatic mdomoni kum .......................sengerema wewe nikasikia mwenye unajiona mjanja wenzako wamelia huku akivuka bara bara taratibu me huyoooo watu wakishanga kwanini nimetukana !!!
Ndio lilikuwa jaribio langu la kwanza tangu kuzaliwa toka hapo sijawahi kutapeliwa tena labda mtu kunikopa na kushindwa kunilipa!Huh!, mwenzetu uliona maono kabla hawajakuingiza mjini?!
Ndio lilikuwa jaribio langu la kwanza tangu kuzaliwa toka hapo sijawahi kutapeliwa tena labda mtu kunikopa na kushindwa kunilipa!
Mwaka jana nilipita kariakoo mara akaniita mpiga viatu rangi akaniambia brother nina rangi OG ya viatu vyako vilikuwa viko poa havihitaji rangi nikaona poa ngoja nimpe avipake rangi apate naye riziki akaanza kupaka brush ya kwanza akaniambia brother hii rangi ni ya ghali sana hazipatikani hivi hivi!!! Nikamuuliza leo lini akaniambia hujuwi ata leo ni lini ! Nikamwambia sijuwi kweli akaniambia leo jua pili nikasema afadhali nilijua leo j3 nina hitajika mahakamani nina kesi ya kuuwa nimekaa ndani miaka 3 nimetoka juzi tu !!
Nikamuliza itakuwa jumla shilingi ngapi akasema kila brush moja 500 nikamuuliza ushapaka ngapi akaniambia kumi nikamuambi acha hapo hapo usije nifanya nikarudi gerezani kwa kesi nyingine inayo fanana nina buku tu hapa!! Aksema ninakudai 5,000 nikamwambia kama hujuwi kifo katizame kaburi usiongeye neno jingine huyo nikasepa zangu!!!!!
Huwezi amini mwenyewe nilijiapiza mtu nsiyemjua akinletea shobo njiani af aniulize kitu cha kisenge ntamtia kisago heavy mpaka ajute!Hahaaa wale wenye story nyingi na kukutapisha nywele waliniliza buku saba Dsm..Mpka leo mtu nisiyemjua akinisemesha harafu nikahisi kuwa ni tapeli atajuta kuzaliwa nimewahi kutoa kisago cha haja mtaa wa kongo Mpka leo wakiniona wananiamkia
Sent using Jamii Forums mobile app
labda wanajua mtoto wa kamanda kova ndio maana wanaogopa
Hahah we ndio umetapeliwa hasaMimi nilitapeliwa kura yangu 2015 na CCM.
Hahahakuna manzi alikuwa ana tamaa sana afu ajifanya anajua sana gadgets, ooh mi siwezi hongwa Tocno, nikamwambia hapa kuna Iphone6 vipi unasemaje? oooh iko wapi? jibu toa vitu upate vitu.....mtu kaukeshea night till sono, kisha kapewa iphone lenye icloud akahangaike nalo.....akawa akipiga simu misonyo ya hatari ila mwisho wa siku akaja tuu na kukubali kwamba nimemuweza na kesi ikaishia hapo, na akataka tena game la free kama bonus.
we jamaa...sasa wewe ndie tapeli..hapo hujatapeliwa.... hebu njoo Pm tuwe tupeane macontact tuwe tunapeana porojo maana unavitabia kama vyangu