Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

nilikuwa na jamamaaangu tumetoka kuuza tikiti iletunapita tunaskia chagua tiketi ya bahati ujishindie ,genereta,pikipiki,baiskeli n.k cheza bahati nasibu akawa amebahatisha pikipiki baada ya hapo akaambiwa alipe pesa ya lisit tsh:80000 mshikaji akalipa baada ya hapo akaambiwa kuna pikipiki zingine zipo stoo iile ni sample hawezi pewa ikabidi apewe raia wakwenda nae stoo akaambiwa abebe na lisitiyake kufika stoo Yule tapeli akamwambia subili niongee na mkulugenzi nisubili hapo nje kumbe pale hakuna office wala nini lilejumba linamilango Kibao jamaa kasubili kama masaa ma3 haoni raia ikabidi aingie ndani kuulizia jamaa wakamwambia Toka nje angalia magorofa hapa ni taun ushaibiwa jamaa ikabidi aludu kule alikopatia zawadi kufika washkaji hawamjuitena wakamuona kama chizifrani .nomakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu tapel namfahamu kabisa!!! anatumia staili iyo iyo! mitaan yake ni JR
mara ya kwanza alikuwa na swaga hizo za kuwa yeye ni polisi nikamzingua
mara ya pili nakutana naye tena akaniambie yeye ni muuza madini nikamwambia juz ww si ulisema ni polis alipata aibu sana
Inawezeka ndio huyo Lakini hii ilinitokea 2009. Jamaa yupo smart kabisa afu kashika na gazeti mkononi
 
Nilishatapeliwa stendi kuu mbeya,Ilikuwa hivi
Nimetoka zangu shule(Iyunga tech)nimechoka kinyama,pepa zote zimenibaka(PCM) nimefika stand kuu natafuta ofisi za hood hola,namuuliza utingo mmoja akanipeleka ofisi ya hood feki,tiketi feki mpaka gari feki
Mpaka kuja kushtuka nipo ndani ya MAJINJI EXPRESS naelekea dar
Hahahahah aiseee kwahiyo safari ilikua FAKE PIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kutapeliwa hakujawahi kwepeka hata uwe mjanja uliezaliwa katikati ya mji,utatapeliwa tu aidha kwamakusudi au bahati mbaya
Mimi Miaka ya nyuma, ubungo walishawahi niotea nikiwa na makusudi ya kutaka kuona ni jinsi gani wale vijana wanambinu kali za kugeuza simu kwenda sabuni(mfukoni)

Basi nikameet na janja mmoja akiwa na smartphone nzuri tu na ipo ON bt haina line. Akaniambia 50 me nikasema nina 20, akasema poa toa..nikampa fasta huku nikimkazia macho mfukoni asibadili gia...basi akaitoa mfuko uleule kama ilivyokua kwenye kibahasha..basi nikajua leo nimewaweza.

Alivyogeuka nikatoka mbio mpaka RIVERSIDE ili niikague...Loooh aisee nikakutana na sabuni aina ya KOMOA..doh
Aisee teknolojia ya wale viumbe niyahali ya juu.

Hebu tupe uzoefu wako katika kuingizwa Mitini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii story yako inanikumbusha mfano aliokuwa anautumia nyerere kuwa una dhahabu yako original alafu anakuja mjanja ana kichupa kinang'aa kama dhahabu alafu anakwambia tubadilishane we unampa dhahabu na yeye anakupa kichupa alafu unatoka mbio ukishangilia kama zuzu ha ha ha ha
 
Kiukweli kutapeliwa hakujawahi kwepeka hata uwe mjanja uliezaliwa katikati ya mji,utatapeliwa tu aidha kwamakusudi au bahati mbaya
Mimi Miaka ya nyuma, ubungo walishawahi niotea nikiwa na makusudi ya kutaka kuona ni jinsi gani wale vijana wanambinu kali za kugeuza simu kwenda sabuni(mfukoni)

Basi nikameet na janja mmoja akiwa na smartphone nzuri tu na ipo ON bt haina line. Akaniambia 50 me nikasema nina 20, akasema poa toa..nikampa fasta huku nikimkazia macho mfukoni asibadili gia...basi akaitoa mfuko uleule kama ilivyokua kwenye kibahasha..basi nikajua leo nimewaweza.

Alivyogeuka nikatoka mbio mpaka RIVERSIDE ili niikague...Loooh aisee nikakutana na sabuni aina ya KOMOA..doh
Aisee teknolojia ya wale viumbe niyahali ya juu.

Hebu tupe uzoefu wako katika kuingizwa Mitini

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umenikumbusha mbali..mwaka 2007 nikiwa natoka Mbezi high school by that time nilikua nakaa kijitonyama, sasa nikapanda gari za kuishia ubungo (from mlandizi) nilivyoshuka ubungo Maji nikasema nitembee mpaka shekilango..ile sijavuka mataa nikakutana na wadau wanauza simu kali tena tsh 60,000 Mimi nikawa na 20k mfukoni but baada ya kuwapiga sound jamaa wakakubali nikajiona nimepiga bingo....eeeh bwana baada ya kupewa kwenye bahasha nikiwa na mihemko kuvuka barabara nafika sheli nikasema niiwashie mfukoni nikaona kidole kinabonyea tu...mjini shule shamba kilimo! Ikabidi sabuni nikaogeee tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikuingizwa mkenge,lakini tulinusurika. Nakumbuka mtaa wa Congo k.koo pale,Mimi na cousin wangu tulikuwa tunatafuta simu,cousin wangu ndie aliekuwa muhitaji. Tukafika sehemu akamkuta teja anauza simu,kumuulizia akasema elfu 40,mi nikaikagua nikaikuta nzima na ni nzuri tu. Nikaishikilia Mimi, nikamwambia cousin mpe ela,akakataa akasema simu yenyewe nzuri nirudishieni mkitaka ongezeni ela,tukamuliza sh ngapi akasema apewe 60 nikaikomalia simu cousin akamuongeza ela,akaona hapa wananiweza akakataa tukachukua ela yetu tukampa simu yake tukasepa.
Mlikuwa viazi kwenda nunua Simu mtaa wa Congo kule si nguo tu Aggrey hampajui??nikisikia mtu katapeliwa Congo tena Simu naona alijitakia.
 
Daah mi nilitapeliwa arusha maeneo ya stendi kuu. Nikiwa zangu natembea town jamaa mmoja akaniita, nilivyoenda akanambia eti kuna ujambazi umetokea njiro usiku na wao ni mapolisi kutokea dar wamekuja kufanya upelelezi wa kuwatafuta hao majambazi wakati anaendela kunambia ivyo akapita jamaa mwingine nae akamwita na kumwambia kama alivyoniambia mimi. Akatwambia wanachofanya wao ni kukagua hela na simu za watu wanaowahisi kwenye mashine yao km ndio zilizoibiwa.
Akamwambia yule jamaa aliyemwita baada yangu ampe simu yake na waleti akazicheki kwenye mashine akazunguka kwa nyuma kidogo akaingia kwenye nyumba fulani ivi baada ya kama dakika 5 akarudi akamwambia vitu vyako vipo salama hausiki, nenda zako. Ikaja zamu yangu nikampa kisimu changu cha G Tide na buku mbili akaenda kuzicheki kwenye mashine. Nilimsubir km dakika 15 mtu akurudi ndo akili zikanirudia kuwa hapa nimeshatapeliwa. Aise nilizunguka stendi nzima kumtafuta yule jamaa adi kidogo nigongwe na gari kwa stress za kutapeliwa.
Sasa mkuu G-tied na buku 2 ndio kelele zote hizi ...duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D uuh kuna jirani yangu apa kawa vuz yaan no mia kisa alitaka hela ya chapchap ya freemason kaambiwa akalete hela zote za benki wazichanhanye na zakimason atapata 10billion akaenda ku droo 47m na kuuza magari na nyumba ya biashara juu na alikopa sasa hivi ninavyoandika nyumba nyumba yake iliyobaki iko chini ya bank!
Huyo jamaa ndio bwege wa mwisho
 
Mimi sikuingizwa mkenge,lakini tulinusurika. Nakumbuka mtaa wa Congo k.koo pale,Mimi na cousin wangu tulikuwa tunatafuta simu,cousin wangu ndie aliekuwa muhitaji. Tukafika sehemu akamkuta teja anauza simu,kumuulizia akasema elfu 40,mi nikaikagua nikaikuta nzima na ni nzuri tu. Nikaishikilia Mimi, nikamwambia cousin mpe ela,akakataa akasema simu yenyewe nzuri nirudishieni mkitaka ongezeni ela,tukamuliza sh ngapi akasema apewe 60 nikaikomalia simu cousin akamuongeza ela,akaona hapa wananiweza akakataa tukachukua ela yetu tukampa simu yake tukasepa.
Wondering why u call yourself maserati
Pornstar mmoja mtamu sana huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipewa buku na baba nikanunue Shati la shule. Nikafika mitumbani nikakuta wale jamaa wa Karata tatu.. Weka hapa unapata, hapa unakosa.
Nikaangaliaaa, nikaona kabisa kete ile pale.
Nikaweka ile buku.
Jamaa wakaanza kunipampu "Dogo ongeza hela ule zaidi"
Nikawaambia sina nyingine. Funua hapo nilipoweka hela yangu.
Kufunua chaliiiii.... Kete ikahamia mwanzo.
Daaah.. Nakumbuka niliporudi nyumbani baba alinichapa sana.
Hehehehe dah wale jamaa wakala sana aiseee yaan haupatiii aisee dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom