Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,286
- 37,008
Naisoma mkuu, kwaio kwa Sasa mkoloni mweusi...anakamua Kila mahali..Na unadhani leo bila mchina kumwaga kila kitu kwa bei ya kutupa ungekuwa unavaa nini ? Sababu tukiongelea viwanda vyote vimeshakuwa magofu na bado kila kitu unalipia !!!! Tatizo huenda hata hatujui wajibu wa Mwenye Nchi na Na Serikali (Sasa hivi unakamuliwa na hakuna value for money)
Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai;
![]()
Siasa Mamboleo - Mdomo unapojaribu Kulidanganya Sikio
Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao... Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa...www.jamiiforums.com
Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ?
Sidhani, huyu jamaa field hana maamuzi, hata wale ambao hata kama akiwachagua wamuwakilishe na kumtetea (wabunge) ni kama wamekuwa watetezi na wapiga propaganda wa Serikali
Je Mwananchi ni Nguvu Kazi ?
Iwapo huyu mtu hata katika kutafuta skills (ujuzi) hapewi grants na anakopeshwa ili aje kudaiwa (na...
- Logikos
- chanzo cha mapato kazi kitega uchumi mapato mwananchi nchi nguvu serikali swali uchumi
- Replies: 1
- Forum: Jukwaa la Siasa