Sijakataa hilo nasema alikua atoi credit babu zetu walijua mañeno yake nabii na jiniasi kumbe kakopi kutoka kwa watuAlikuwa anasoma vitabu ndio ujanja wenyewe
Nimekupa majina yao kawatafute acha kunisumbuaMkuu what where the actual words said by hao unaosema ili tumshike mwizi vizuri....
Angalia hapa chini jinsi Nyerere alivyoendeleza wizi wake wa kitaaluma(plagiarism) alipokuwa akizungumzia maadui watatu wa nchi 😂.Nyerere alikua mjanja mjanja sana haya ni Maneno ya john Dewey na paulo freire "education as liberation"
Angalia hapa chini jinsi Nyerere alivyoendeleza wizi wake wa kitaaluma(plagiarism) alipokuwa akizungumzia maadui watatu wa nchi 😂.
"Where justice is denied, where poverty is enforced, where ignorance prevails, and where any one class is made to feel that society is an organized conspiracy to oppress, rob and degrade them, neither persons nor property will be safe"by Frederick Douglass.
Halaf babu zetu walikua wanaona katema madini kwel kwel kumbe kakopi na kupaste.Angalia hapa chini jinsi Nyerere alivyoendeleza wizi wake wa kitaaluma(plagiarism) alipokuwa akizungumzia maadui watatu wa nchi 😂.
"Where justice is denied, where poverty is enforced, where ignorance prevails, and where any one class is made to feel that society is an organized conspiracy to oppress, rob and degrade them, neither persons nor property will be safe"by Frederick Douglass.
Nawaonea sana huruma babu zetu kwa kudanganywa kirahisi na yule bwana matata Nyerere 😂Halaf babu zetu walikua wanaona katema madini kwel kwel kumbe kakopi na kupaste.
Aliwaokota wazee wenzie au sio😄😄😀Nyerere alikua mjanja mjanja sana haya ni Maneno ya john Dewey na paulo freire "education as liberation"
HaswaAliwaokota wazee wenzie au sio😄😄😀
😁😁Mbona sijaona "Haliuzwi"?
Au jamaa katupiga, afu jamaa anatutishia wosia wakati kina Wasira ndo kwaaanza kumekucha. Sijui ana wivu na sisi watoto wa "Haliuzwi" kwa kua wao ni kizazi cha michango mpaka ya chaki?😁😁
Baada ya kuona picha hiki ndicho kilichonijia akilini pia.
Hahaha!Au jamaa katupiga, afu jamaa anatutishia wosia wakati kina Wasira ndo kwaaanza kumekucha. Sijui ana wivu na sisi watoto wa "Haliuzwi" kwa kua wao ni kizazi cha michango mpaka ya chaki?
Kwamba hizo concept alikuja nazo Fredrick Douglass kabla yake watu walikuwa hawajui impact ya poverty na kutokuwa na justice ?!!!Angalia hapa chini jinsi Nyerere alivyoendeleza wizi wake wa kitaaluma(plagiarism) alipokuwa akizungumzia maadui watatu wa nchi 😂.
"Where justice is denied, where poverty is enforced, where ignorance prevails, and where any one class is made to feel that society is an organized conspiracy to oppress, rob and degrade them, neither persons nor property will be safe"by Frederick Douglass.
Kijana hii vita huiwezi nataka nikuoneshe nani mzee wa kijiji kati yangu me na we 😅Nipo nawa zoom tu naandaa kombola nashambulia kabla haja jiandaa 😁 Harmful
Waachie hata password ya jamii forums 😅😅😅Wosia naandika, ila cha kuwaachia hao wasoma wosia ndio shughuli