Habari wana MMU, nataraji kuwa Arusha siku ya leo ningependa kumpata mtu mmoja wa kushiriki naye chakula cha jioni, nahitaji dada mzuri sana wa kila kitu (maadili) , au raster mwenye maadili na hitikadi za kirasi zinazokubalika katika jamii wa jinsia yoyote ambaye naweza kujadiliana naye na kushauriana naye kuhusu maisha kama vijana.
Chief sibagui sema mimi sio rasi ila nawakubali sana marasi ndio maana nimewapa kipaumbele kwa leo....ila big-up sana to all arachugasA town always tunakaa as a group, hakunaga kubaguliwa mtu mmoja mmoja kama vile simba afanyavyo anapowinda, au kama vile unafanyisha intavyuu.
Discussion nzuri sio ya kujifungia wawili, hayo unataka wewe ni kutafuta mjinga-mjinga ufanye naye Uzinzi kama si uasherati.
cc Arushaone, Preta, Blaki Womani, Mzee wa Rula Cantalisia, LiverpoolFC, Filipo, IGWE Erickb52
Chief sibagui sema mimi sio rasi ila nawakubali sana marasi ndio maana nimewapa kipaumbele kwa leo....ila big-up sana to all arachugas

A town always tunakaa as a group, hakunaga kubaguliwa mtu mmoja mmoja kama vile simba afanyavyo anapowinda, au kama vile unafanyisha intavyuu.
Discussion nzuri sio ya kujifungia wawili, hayo unataka wewe ni kutafuta mjinga-mjinga ufanye naye Uzinzi kama si uasherati.
cc Arushaone, Preta, Blaki Womani, Mzee wa Rula Cantalisia, LiverpoolFC, Filipo, IGWE Erickb52
msalimie sana jirani yangu marejesho.