Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,379
Umesema mwenyewe wanaachiwa ili kufurahisha umma, wewe unafikiri kwanini umma ufurahie kuachiwa kwao? Na hata ivo kiongozi anatakiwa afurahishe umma maana ndio anaouongoza.
Wewe uko kundi gani? La umma au viongozi?
Pambania familia yako maana hata hao watu wakinyongwa haitakusaidia chochote na afterall wapo wengi tu wanaofanya madudu ila wanakula bata mtaani.