Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Bashe ana-shine kwenye nn? Ana maneno matamu tu, Ila kwa ground ni tofauti. Tena hopelessHata ukiwa wewe, Katiba hii itakuzuia tu kufanya ubunifu wako.
Kwa mfano Bashe ana-shine leo sababu Samia kaamua kumpa uhuru wa ku-explorer ideas zake , lakini angekuwa yule jamaa anayependa misifa yote huyu bashe leo angekuwa mtaani.
Kwenye mbolea anajua alivyocompromise na kampuni za mbolea. Ila wabongo tunapenda watu wenye maneno matamu huku behind the scene wakifanya umafia.