Kama system ingekuwa fair basi Bashe na Mtaka walipaswa kuandaliwa kwa Urais wa nchi yetu, wanafaa sana

Taasisi za Ulaya na US huwezi kuzifananisha na zetu, huku ukiwa rais unakuwa juu ya sheria Mungu mtu unaweza kuuza hata mlima Kilimanjaro hakuna wa kukushitaki, leo Trump yuko mahakamani anajibu kesi.
Umenena !! Strong institutions ni muhimu kwanza zinazoweza kuwafunga speed governor hata akiwa nani !!
 
Tulishatawaliwa na Mrundi hapa wote mmeona matokeo yake, hatuwezi kukubali tena nafasi ya Urais kupewa mgeni yeyote achilia mbali huyu Msomali Bashe.
Aise,unaweza kutoa ushahidi kuwa mwenda zake ni Mrundi? Tuyaseme mapungufu yake,Ila sivyo. Mama yake Kikwete hakuwa Mtz,Ila hakuna aliyesema haya. Africa tumejaa upumbaf kama wako,hatuwzi kupata maendeleo kwa mawazo kama ya kwako. USA walimpa kura Obama huku wakijua Baba yake ni mkenya,waafrika,ww unaleta ubaguzi.
 
ukitaka kumjua vizuri hilo bashe nenda pale habari corporation shekilango sinza au tafuta mtu anayefanya Kazi hapo ndipo utajua huyo jamaa ni mtu wa hovyo sana
ni hivi system yetu ni ya hovyo sana kuruhusu huyu jamaa kuwa waziri
Mzee hakuna binadamu aliye mkamilifu,hata wewe kuna watu wanakuona kuwa ni mtu wa hovyo.
 
K

Kwahiyo wazawa hakuna mpaka hao unaoita wageni wapokezane tu kama nchi yao vile??
Nyerere,Kambona,Karume, wrote walikiwa na asili ya kigeni hiyo Nchi imetawaliwa na Wazalendo wenye asili ya kigeni kwasababu sisi Wagogo ni tuko bize kusaka Viwavi jeshi na mizizi pori na kuridhika.
 
Tulishatawaliwa na Mrundi hapa wote mmeona matokeo yake, hatuwezi kukubali tena nafasi ya Urais kupewa mgeni yeyote achilia mbali huyu Msomali Bashe.

Mkapa? He was ok
Inategemea kwani ubaya hauhusiani na tabaka au dini au kabila
Mbona waswahili wanachoma mwizi wa kuku?
 
Nchi haiongozwi kwa amsha amsha ikawa na maendeleo endelevu, ingekuwa ni rahisi hivyo jiwe angefanikiwa sana.
Bashe alifaa Tamisemi, yule wa Tamisemi akae benchi, Bashe ana amsha amsha ambazo ndio zinatakiwa huko, awachemshe kabisa wakurugenzi na watumishi, halafu pale wizara ya sheria naibu akae Stephen Byabato
 
Mtaka ni kiongozi wa hovyo Sana tena msije mkajaribu mtajuta , potentiality ipo Kwa Bashe
Huyo Mtaka sijui amefanya nini Cha maana, kugombanisha mawaziri na serekali Yao ndio awe hero!? My country tanzania
 
Mtaka ni kiongozi wa hovyo Sana tena msije mkajaribu mtajuta , potentiality ipo Kwa Bashe

Heri bashe mkuu! Mtaka hawezi kuwa rais wa nchii kamwe.

Watanzania wanapaswa kutokuamini kila kitu wanachoona kwenye Tv nakuogopa watu wanaopenda Publicity tuna viongozi wazuri na hawana kelele. Tusidanganywe ama kuwaamini wanasiasa wajanja wajanja !!
 
Hamisi Kigwangala ndiye Presidential Material

Ile Wizara ilimfrasturate ndio maana akawa anakwenda na Madanga kuosha Rungu huko Katavi na kula nyama za porI akiamini zinaongeza nguvu badala ya Vumbi la Kongo.
Angekuwa bonge is Raisi.
 
Marekani haina mwenyewe, na ukitafuta wenye Marekani yao ni wawindaji Wahindi wekundu kutoka Mongolia, hawa ndio binadamu wa kwanza kufika Marekani, hapakuwa na mtu.
Soma historia ya Bantu migration, hapa zilikuwa zikiishi jamii za Kihadzabe pekee.
 
Tume huru na katiba mpya inayojenga taasisi imara ndio solution ya kupata uongozi mzuri.
Mambo ya kutegemea personality ya mtu yamepitwa na wakati
Kupitia vya hivi vya siasa vilivyopo ambavyo viongozi wake ni wa hovyoooo kuliko. Harafu kupitia tume wanajipenyeza kuwa wagombea then wanakuwa watawala we are still doomed
 
Tunahitaji tume huru ya uchaguzi tumchague mtu tunaeona sisi ni bora kuongoza taifa letu
#HATUHITAJI WANASIASA MALAYA MALAYA
Utampata wapi wakati wanasiasa wa ovyo wamenunua vyama kupitia hela zao na influence? Hebu jiulize mtu kama yule wa MTAKULA BWABWA KWA KUKU, ni top leader kwenye chama, wengine wapiga deal hatari. Viongozi wazuri sio wanasiasa huwezi kuwaona ila kwenye idara zao wanatenda vzr huko ofisi za chini tu
 
Back
Top Bottom