Kama system ingekuwa fair basi Bashe na Mtaka walipaswa kuandaliwa kwa Urais wa nchi yetu, wanafaa sana

Hata ukiwa wewe, Katiba hii itakuzuia tu kufanya ubunifu wako.

Kwa mfano Bashe ana-shine leo sababu Samia kaamua kumpa uhuru wa ku-explorer ideas zake , lakini angekuwa yule jamaa anayependa misifa yote huyu bashe leo angekuwa mtaani.
Bashe ana-shine kwenye nn? Ana maneno matamu tu, Ila kwa ground ni tofauti. Tena hopeless
Kwenye mbolea anajua alivyocompromise na kampuni za mbolea. Ila wabongo tunapenda watu wenye maneno matamu huku behind the scene wakifanya umafia.
 
Binafsi simkubali kabisa mtaka, Ila ww inawezekana sababu sio ndugu yako katika imani
Huwa sijali sana suala la imani, mtu akiwa Smart ni smart haijalishi imani yake. Kama tunachagua mtu kwa imani yake basi hii nchi haitokaa iendelee. Mtaka sioni la maana lolote kichwani mwake mtu aanze hapa kusema anafaa kuwa Rais. Labda Rais wa WCB.
 
Nimekueleza mtaka sio kiongozi mzuri hata kidogo, kwa wale wa simiyu wanaelewa alichokua akifanya kwenye miradi.

Ila ww mpaka mtu awe ndugu yako katika imani ndio unamkubali.
 
Naomba nikiri wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni mwananchi mwenye shauku ya kutaka kuiona nchi yangu inapiga hatua kubwa za kimaendeleo.

Kutokana na kwamba ili mpige hatua kubwa za kimaendeleo mnalazimika kuwa na viongozi wenye maono, wabunifu, wenye ushawishi, wasio na tamaa lakini wenye ujasiri wa kusimamia wanayoyaamini, ndipo nikaona kwa namna hawa wawili wanavyotekeleza majukumu yao wanaweza kuwa wanafaa sana kushika hiyo nafasi ya juu katika nchi yetu.

Tatizo la dunia ya siasa huwa mambo huja kiajaliajali Kwa jinsi hiyo unakuta mtu ambaye angafaa kutuongoza na kuliletea taifa maendeleo kutokana na kushika nafasi nyeti za kufanya maamuzi anaachwa pembeni, analetwa mtu Kwa maslahi ya genge fulani.

Ikiwa kuna watu wa system humu ndani naomba mnisaidie kuwapigania hawa vijana taifa letu litapiga hatua sana ikiwa mmojawapo atashika madaraka ya juu kabisa ya uongozi wa nchi.
Sasa unataka watutangazie sisi?
 
Mi naona kuwa Raisi Tanzania ni kazi kubwa kuliko kuwa hata Balozi nje ya Nchi asee
 
bila katiba mpya watanzania hamtakaa mtuboe milele - huko kwenye royal tour watu walilala hotel za mil 70 kwa siku - achilia mbali posho..
 
Bashe aisee nakubali ukweli uwe wazi, he is smart, brilliant and hard worker, at the same time hana sifa za kijinga ni mtu wa maendeleo haswa haswaa.. Issue ya Bashe itakayomuangusha kubwa ana associate na wafanya biashara wakubwa ambao sio waaminifu kabisa, wana history chafu na akipewa nchi atatafuna yote kabisa kwa akili tusijue. Hilo ni tatizo kubwa sana kwa Bashe na liko wazi.
Kwahiyo ilitakiwa awe karibu na masikini vipi miradi mikubwa mikubwa ataendesha vipi.... Project za mbolea wataongelea vipi na mambo ya irrigation tunajua fika masikini hawana hela na project zote zinahitaji hela

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Naomba nikiri wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni mwananchi mwenye shauku ya kutaka kuiona nchi yangu inapiga hatua kubwa za kimaendeleo.

Kutokana na kwamba ili mpige hatua kubwa za kimaendeleo mnalazimika kuwa na viongozi wenye maono, wabunifu, wenye ushawishi, wasio na tamaa lakini wenye ujasiri wa kusimamia wanayoyaamini, ndipo nikaona kwa namna hawa wawili wanavyotekeleza majukumu yao wanaweza kuwa wanafaa sana kushika hiyo nafasi ya juu katika nchi yetu.

Tatizo la dunia ya siasa huwa mambo huja kiajaliajali Kwa jinsi hiyo unakuta mtu ambaye angafaa kutuongoza na kuliletea taifa maendeleo kutokana na kushika nafasi nyeti za kufanya maamuzi anaachwa pembeni, analetwa mtu Kwa maslahi ya genge fulani.

Ikiwa kuna watu wa system humu ndani naomba mnisaidie kuwapigania hawa vijana taifa letu litapiga hatua sana ikiwa mmojawapo atashika madaraka ya juu kabisa ya uongozi wa nchi.
Bashe alifaa Tamisemi, yule wa Tamisemi akae benchi, Bashe ana amsha amsha ambazo ndio zinatakiwa huko, awachemshe kabisa wakurugenzi na watumishi, halafu pale wizara ya sheria naibu akae Stephen Byabato
 
Tunahitaji watu wasiokuwa na political feelings kama msukuma. Hivi lini tutajifunza? Nchi inatakiwa kuongozwa na kichwa ngumu kama Marehemu. Haya mambo ya kufata itifaki hatuwezi fika popote.
 
Na Kama system ingekua fair mtaka alichofanya simiyu kwenye miradi ilipaswa awe mahakamani.

Bashe ana maneno mengi sana matamu Ila hakuna utekelezaji wowote, kilimo kwa sasa ni kigumu sana kuliko kawaida sababu ya kushindwa kubhibiti pembejeo
Mtaka alifanyaje?
 
Bashe aisee nakubali ukweli uwe wazi, he is smart, brilliant and hard worker, at the same time hana sifa za kijinga ni mtu wa maendeleo haswa haswaa.. Issue ya Bashe itakayomuangusha kubwa ana associate na wafanya biashara wakubwa ambao sio waaminifu kabisa, wana history chafu na akipewa nchi atatafuna yote kabisa kwa akili tusijue. Hilo ni tatizo kubwa sana kwa Bashe na liko wazi.

Usisahau uraia wake ni wa makaratasi,hiyo ndio sifa kubwa itakayomsababishia hata fomu ya kugombea kunyimwa the same applied to Mr Kinana.
 
Bora madikteta wanaoletwa kwa uchaguzi huru, huyo ni gharama ndogo ya demokrasia.
Sawa👍. by the way Tunahitaji uchaguzi huru na haki ili tumchague mtu tunaeona anatufaa sisi kutuongoza kwenda nchi ya ahadi na sio vibaraka wanaopandikizwa na chama tawala

# HATUITAJI WANASIASA PANDIKIZI[VIBARAKA]/ MALAYA MALAYA
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom