Sasa iko wazi, Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama na Serikali anaonekana kutoridhishwa na watawala waliopo madarakani ambao kwa maneno yake mwenyewe anasema ni wanyonyaji kwa wakulima.
Katibu Mkuu huyo ambaye kabla ya uteuzi wake kuwa Katibu Mkuu wa serikali aliteuliwa kuwa Balozi na aliyekuwa Rais wa JMT Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameonekana akiwa kama mbogo pale anapotoa hotuba yenye mrengo wa kuhamasisha wakulima dhidi ya watawala na wale anaowaita ni Mawakala wao.
Mawakala wao haikufahamika zaidi ni watu gani lakini anasema ni wale wanaosifia serikali badala ya kudai haki zao.
Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.
La kama ni maneno tu yamemtoka kwa bahati mbaya basi ajitokeze aombe msamaha kwa Watanzania na serikali kama alivyofanya Mh Spika Ndugai.
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana.