Kwani lazima kila mbunge aimbe pambio?Sasa iko wazi, Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama na Serikali anaonekana kutoridhishwa na watawala waliopo madarakani ambao kwa maneno yake mwenyewe anasema ni wanyonyaji kwa wakulima.
Katibu Mkuu huyo ambaye kabla ya uteuzi wake kuwa Katibu Mkuu wa serikali aliteuliwa kuwa Balozi na aliyekuwa Rais wa JMT Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameonekana akiwa kama mbogo pale anapotoa hotuba yenye mrengo wa kuhamasisha wakulima dhidi ya watawala na wale anaowaita ni Mawakala wao.
Mawakala wao haikufahamika zaidi ni watu gani lakini anasema ni wale wanaosifia serikali badala ya kudai haki zao.
Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.
La kama ni maneno tu yamemtoka kwa bahati mbaya basi ajitokeze aombe msamaha kwa Watanzania na serikali kama alivyofanya Mh Spika Ndugai.
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana.
Huyo hana tofauti na Luhaga Mpina.....sukuma gang wana hasira mpaka wanataka kupasuka 😂😂😂😂Sasa iko wazi, Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama na Serikali anaonekana kutoridhishwa na watawala waliopo madarakani ambao kwa maneno yake mwenyewe anasema ni wanyonyaji kwa wakulima.
Katibu Mkuu huyo ambaye kabla ya uteuzi wake kuwa Katibu Mkuu wa serikali aliteuliwa kuwa Balozi na aliyekuwa Rais wa JMT Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameonekana akiwa kama mbogo pale anapotoa hotuba yenye mrengo wa kuhamasisha wakulima dhidi ya watawala na wale anaowaita ni Mawakala wao.
Mawakala wao haikufahamika zaidi ni watu gani lakini anasema ni wale wanaosifia serikali badala ya kudai haki zao.
Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.
La kama ni maneno tu yamemtoka kwa bahati mbaya basi ajitokeze aombe msamaha kwa Watanzania na serikali kama alivyofanya Mh Spika Ndugai.
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana.
Bashiru huyu huyu chawa wa Magufuli leo ndio amekuwa Mzalendo?/wewe ni kichaa siyo bure.Akijiuzulu wananchi wazalendo tutaandamana.Tunataka viongozi wanaojitambua kama hawa siyo wa kusifu kila kitu hata vitu vya kipuuzi.Hata Mimi kauli ya anaupiga mwingi huwa inanikera sana.yaani umeme kutoka 27000 hadi 570000 ndani ya mita30halafu punguani mmoja wa ccm anasema bibi anaupiga mwingi?Huo ni ujinga na 2025 tuna bashiru iki aje awashughulikie hawa wanavyoibaribu nchi yetu
Bumbafu wewe kwahiyo mtu asitoe maoni? Lazima asifie serikali hatakama inakosea? Umeme shida, maji shida, chakula ghali nashida, elimu hovyo alafu tusiikosoe serikali tubaki tunaisifia daima!!! Stupid nonsense...Sasa iko wazi, Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama na Serikali anaonekana kutoridhishwa na watawala waliopo madarakani ambao kwa maneno yake mwenyewe anasema ni wanyonyaji kwa wakulima.
Katibu Mkuu huyo ambaye kabla ya uteuzi wake kuwa Katibu Mkuu wa serikali aliteuliwa kuwa Balozi na aliyekuwa Rais wa JMT Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameonekana akiwa kama mbogo pale anapotoa hotuba yenye mrengo wa kuhamasisha wakulima dhidi ya watawala na wale anaowaita ni Mawakala wao.
Mawakala wao haikufahamika zaidi ni watu gani lakini anasema ni wale wanaosifia serikali badala ya kudai haki zao.
Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.
La kama ni maneno tu yamemtoka kwa bahati mbaya basi ajitokeze aombe msamaha kwa Watanzania na serikali kama alivyofanya Mh Spika Ndugai.
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana.
Samia amefufua nini?Bashiru huyu huyu chawa wa Magufuli leo ndio amekuwa Mzalendo?/wewe ni kichaa siyo bure.
Bashiru na wapuuzi wenzake ndio wameuwa uchumi wa Tanzania na kuifikisha nchi hapa ilipo.
Hawezi kujihuzulu, per diem 250,000 + sitting 300,000 =550,000 kwa siku akiwa bungeni x 16 siku + 14 za kamati total = 16,500,000 + 12,000,000 nje na rushwa kwa mwezi 28,500,000 hiyo ni mwezi mmoja brooSasa iko wazi, Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama na Serikali anaonekana kutoridhishwa na watawala waliopo madarakani ambao kwa maneno yake mwenyewe anasema ni wanyonyaji kwa wakulima.
Katibu Mkuu huyo ambaye kabla ya uteuzi wake kuwa Katibu Mkuu wa serikali aliteuliwa kuwa Balozi na aliyekuwa Rais wa JMT Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameonekana akiwa kama mbogo pale anapotoa hotuba yenye mrengo wa kuhamasisha wakulima dhidi ya watawala na wale anaowaita ni Mawakala wao.
Mawakala wao haikufahamika zaidi ni watu gani lakini anasema ni wale wanaosifia serikali badala ya kudai haki zao.
Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.
La kama ni maneno tu yamemtoka kwa bahati mbaya basi ajitokeze aombe msamaha kwa Watanzania na serikali kama alivyofanya Mh Spika Ndugai.
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana.
Kk uzalendo au mzalendo sio lazima ukubaliane na kila matakwa ya kiongozi wako,Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.
Labda kabla hatujakimbilia aniuzu,ebu tuaangalieni hayo Maneno aliyosema yana ukweli wowote ule!? Je Nini hatima ya Taifa hili Kama hayo anayosema ni kweli!!??Kiongozi wa CCM ajiuzulu kwa kupenda mwenyewe haipo hiyo.
Waache waumbuane kutusaidia wapigakura
Unajua hata shetani anafahamu kuwa Mbinguni ni pazuri lakini anahakikisha hakuna anayekwenda huko.Labda kabla hatujakimbilia aniuzu,ebu tuaangalieni hayo Maneno aliyosema yana ukweli wowote ule!? Je Nini hatima ya Taifa hili Kama hayo anayosema ni kweli!!??
Uongozi ni pamoja na kuwaonya viongozi wenzio unapoona haulizishwi na mienendo yao. Platform aliyopo inamruhusu kufanya hayo.Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.
Apishe wenye chama chao tuongoze bila bughudhaAkijiuzulu wewe binafsi utafaidikaje?
Hana cha kuwambi watanzania wakamwelewaUnajua hata shetani anafahamu kuwa Mbinguni ni pazuri lakini anahakikisha hakuna anayekwenda huko.
Alichoongea Bashiru ni ukweli 200%. Lakini he is part of our failures
Viongozi wanaojitambua 2015-2020 kama akina Bashiru mbona walikuwa hatarini sana? Iweje leoAkijiuzulu wananchi wazalendo tutaandamana.Tunataka viongozi wanaojitambua kama hawa siyo wa kusifu kila kitu hata vitu vya kipuuzi.Hata Mimi kauli ya anaupiga mwingi huwa inanikera sana.yaani umeme kutoka 27000 hadi 570000 ndani ya mita30halafu punguani mmoja wa ccm anasema bibi anaupiga mwingi?Huo ni ujinga na 2025 tuna bashiru iki aje awashughulikie hawa wanavyoibaribu nchi yetu
Umekosa hoja JohnSasa utaumia wakati CCM fursa kibao? CCM wanachogombea ni ukubwa tu wa Keki unayomegewa lakini hakuna anayekosa
Kama unabisha muulize mwenyekiti wa Bawacha Halina Mdee na mwenyekiti wa Bavicha mh Patrobas Katambi na Makatibu Wakuu wa Chadema Taifa Dr Slaa na yule Dr mwingine mumewe Nusrat
Alichokosea ni kuhamasisha uchochezi. Eti wakulima wawatishe watawala.Mbona Kinana alishawai kuwatetea wakulima? Tuanzie hapo kwanza ,Maneno aliyoyasema bashiru kuwatetea wakulima ni ya uongo? Ni lini wakulima wa nchi hii walishafurahisha/kutendewa vyema na serikali pasipo kulalamikiwa? Kwahiyo Kinana au Bashiru akijitokeza kuwasemea ndio kusema anaisema vibaya serikali?
Kwasasa kuna mgao mkubwa wa umeme na maji ,je kiongozi wa ccm akija kusema haya utasema anaisema vibaya serikali,kwenye tatizo la maji na umeme serikali inalaumiwa kwa 100% ,maana tuna vyanzo vyote vya umeme ,makaa ya mawe ,upepo ,jua ,gesi ,nuclear ,thermal energy ,biogas etc ,serikali imejikita kwenye source moja ya maji tu.
Kama vipi kama Ndugai tuKiongozi wa CCM ajiuzulu kwa kupenda mwenyewe haipo hiyo.
Waache waumbuane kutusaidia wapigakura