- Thread starter
- #41
Sasa si ndio moja ya kuwa roho zenu mbaya ,nyie ni mahasidi yaani wale anaosemwa wamekuja kufisidi duniani,si unaona Utajiri wa Tanganyika sio mdogo nadhani kwa mahesabu ya nadharia ni ya pili duniani , Je ipo wapi ? Sababu ni kuwa hampo na ukweli laana ya kuikandamiza Zanzibar inawatafuna na itawatafuna mpaka muitapike Zanzibar iwe na mamlaka yake kamili na yenye kuleta maendeleo kwa wananchi wake,msiwe na wasiwsi wala shaka sisi sio nyinyi ni lazima tutawainua kihali na kimali haitowezekana tufanye mnavyofanya nyinyi,no way.Nyinyi mpaka nyanya na vitunguu mnafuata huku bara hamuoni kuwa mtaumia sana kama tukimfukuza huyu Mama?.
waZanzibari ni watu wa imani ila huku kukabwa koo ikawa hatuhemi ,imatuletea usumbufu muda wote tuliokuwa ndani ya Muungano.
Huyo Hapo Da Sami anawalea na mnaona roho yake hana kinyongo na mtu,ila mengine anayaepuka maana hayamhusu,yaani anawaachia wenyewe mmalizane.