Kama si Muungano Zanzibar ingekuwa mbali sana

Hivi kuna Mbara Atawahi kuwa Raisi wa Zanzibar. ?
Maelfu ya Wazanzibari wameajiriwa Bara.
Maelfu wanafanya Biashara Bara
Maelfu.
 
Kinachoikwamisha Zanzibar ni huu Muungano usio na faida ,unajua hata hii Mikoa kama ingeweza kujitawala yenyewe mbona kuna Mikoa ingekuwa haikamatiki kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi wake.

Ruanda Burundi ni vinchi vidogo sana pengine hata baadhi ya mikoa yetu ni mikubwa sana,leo hao wanyaruamda na waburundi ingawa kuna mpito wa shida na vifo lakini mbele yao wanaiona nuru,

Hapa tunawekwa na ahadi hewa na mikakati ya mwisho wa dunia.Tupo katika kipindi cha kukabana aka kuekana jela na vizuizini kama nchi iliyofanya Mapinduzi ,

Huyu Samia kama ni mwerevu anaweza kabisa kuipapatua Zanzibar na jinamizi hili liitwalo Muungano.

Faida ya Muungano kusema kweli sijaiona kabisa kabisa. Zaidi ya kusimika viongozi wajaza matumbo yao. Wananchi wanashida wamejaa magonjwa yasiyoelezeka ambayo serikali ingeweza kabisa kuwatibu.leo raia wema hichohicho kiduchu wanachangishana kuwapatia huduma za afya.

Kuna YouTube channel zinaumbuwa serikali zetu ,ukiangalia wananchi wanatia huruma kabisa kabisa,inaonyesha wazi kabisa kiundani uongozi na serikali haziwajali wananchi .

Ni bora ili kujipapatua Serikali itangaze matibabu bure kwa waTanzania wote,kama haina dawa japo vipimo viwe vya bure.

Zanzibar ilikuwa na elimu bure yenye tija nzuri kabisa ,halikadhalika hospitali ilikuwa bure lakini leo ndani ya Muungano kila kitu kimevurugika. Bora ya jana.
Tulishakubaliana kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika.
 
Hizo kilometer ni uzuzu km wanavojidanganya wamalawi na ziwa nyasa

Tukiwapa kizanzibar chenu tunaleta jeshi la kulinda amani huko maana infact hamjiwezi alishabab watawatesa sana
Aloo kama mnaweza hilo itakuwa mmefanya jambo la maana sana sana,msiishie hapo mrudishe na kilomita kumi za ukanda wa pwani,kudadadeki ,yaani asubuhi yake mtasikia chereko chereko ,Zanzibar hioo inapaa mnabaki midomo wazi.
 
Kanchi kenyewe kanazidi kupungua kutokana na kina cha maji kuongeze, uvunjike tu tuwarudishe kwenu wooote mliopo bara mkabanane na ardhi yenewe hakuna, tuone mtalima wapi au biashara mtauzia wapi?

wazanzibara hawataki hata kusikia muungani kuvunjika. Wapemba pale kariakoo wote tunawafukuza na wabara waliopo huko wanarudi halafu kila mtu ajitegemee, ushawahi kuwaza hilo?? Bahresa abebe malori yake aje nayo zenji.

shenzi type vunjeni muone kama tutatetereka.
Sasa nani mwenye roho mbaya ? Nafsi zenu ndani yake zimeota kutu eeei vyuma vimeota kutu..kutetereka sio tuone tayari mmeanza kutetereka ,maana kusema unafukuza watu kwa kuwa tu wametokea Zanzibar na Muungano umevunjika,hizo ni hesabu zisizo na mashiko Muungano wa kenya na au Jumuia ya Afrika Mashariki uliwahi kuvunjika sikuona watu kufukuzana.

Mbona Kigoma ilinukia kujitenga au hili hulijui ?
 
Yaani Zanzibar wamecheleweshwa sana na siasa za 'ujamaa 'za bara... Heri wajiongeze kama wanataka maendeleo yenye tija...
Zanzibar ,waulize hawa wasanii wakata viuno wanaenda kufanya nini huko Zanzibar ? Na hata wamasai wengi wamejificha Zanzibar na wanakula raha hakuna anewanyukua,ila ni kuzidisha njaa tu maana maendeleo yamekanyagwa na kudumazwa na Muungano.
 
Makusanyo yenu kwa mwezi ni shiling ngap I? kwanini kodi zenu mnashindwa hata kujenga barabara
Ukisikia Ujinga ndio huo wako wewe. Nani aliekuambia kuwa Wazanzibari hawalipi Kodi? Tena wazanzibari wanalipa kodi mara mbili. Na mukishazichukua Kodi zetu kuzirudisha inaonekana kama kwamba tunezoea kuomba. Hio ni haki yetu
 
Hizo kilometer ni uzuzu km wanavojidanganya wamalawi na ziwa nyasa

Tukiwapa kizanzibar chenu tunaleta jeshi la kulinda amani huko maana infact hamjiwezi alishabab watawatesa sana
Mara nyingi mwizi hakubali kama ameiba ila anapoenda mahakamani ndipo anapokutwa na hatia aka gaidi au vipi ?
 
Makusanyo yenu kwa mwezi ni shiling ngap I? kwanini kodi zenu mnashindwa hata kujenga barabara
Hebu Pitia data za Ukushanyaji wa Kodi, Zanziba ndio wanaolipa Pesa nyingi ukilinganisha na Idadi watu, Kuna Mikoa Bara karibuni haichangii kitu. Sisi wazanzibari tuko wawazi tunataka transparent, tujuwe Tanganyika matumizi yao ni yepi, na Muungano matumizi yake ni yepi. Yetu ya Zanzibar tunayajua. Kwanini munaikataa Tanganyika yenu?. Au ndio ule unyani alozungumzia mtikila mukamuuwa?
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa wadanganyika na wazinji kwa sasa ni mzenji, mwambieni auvunje muungano, uwezo huo na mamlaka pia anayo kama kweli tuhuma hizo ni za kweli.
 
Hoja ingekuwa Tanzania ingefuata mfumo wa majimbo ingeendelea sana ningekuelewa, Wazenji wabaguzi sana halafu hamchangii chochote kwenye serikali ya muungano

Cha ajabu zaidi mna hadi bunge lenu au mmeligeuza sehemu ya kula urojo na kukaa vikao vya umbeya baadala ya kupanga bajeti zenye tija kwa Mzanzibari mwenye kipato cha chini!
Licha ya umbeya wanayo maneno ya dharau wanavyo vijembe fulani vichafu sana. Idadi yao hawafikii hata milioni moja nchi nzima.

Yaani uchukue Dar kutoka Upanga mpaka Bunju B, idadi yetu ya watu ni kubwa kuliko wao wote.
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa wadanganyika na wazinji kwa sasa ni mzenji, mwambieni auvunje muungano, uwezo huo na mamlaka pia anayo kama kweli tuhuma hizo ni za kweli.
Nyinyi mpaka nyanya na vitunguu mnafuata huku bara hamuoni kuwa mtaumia sana kama tukimfukuza huyu Mama?.
 
Yaani Muungano nuksi tena nuksi kwelikweli na haiathiri Zanzibar pekee hata huku bara athari zake zinaonekana.

1632217438684.png

Hili sijui kama litajengwa kwa jamaa walivyo na Husda,Muungano gani usio na usawa wenye ukandamizaji wa kichinichini.
Kama si huu Muungano kutuwekea guu la kifua ikawa hatupumi mbona haya yangekuwa yeshajaa. lakini wapi watu roho zao hazina uthubutu wa kuheshimiana na kuweka haki sawa,eti kanchi kadogo sasa mlipoungana hamkulijua hilo ?
 
Mtaweza kujilinda?
Hebu Pitia data za Ukushanyaji wa Kodi, Zanziba ndio wanaolipa Pesa nyingi ukilinganisha na Idadi watu, Kuna Mikoa Bara karibuni haichangii kitu. Sisi wazanzibari tuko wawazi tunataka transparent, tujuwe Tanganyika matumizi yao ni yepi, na Muungano matumizi yake ni yepi. Yetu ya Zanzibar tunayajua. Kwanini munaikataa Tanganyika yenu?. Au ndio ule unyani alozungumzia mtikila mukamuuwa?
 
Kinachoikwamisha Zanzibar ni huu Muungano usio na faida ,unajua hata hii Mikoa kama ingeweza kujitawala yenyewe mbona kuna Mikoa ingekuwa haikamatiki kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi wake.

Ruanda Burundi ni vinchi vidogo sana pengine hata baadhi ya mikoa yetu ni mikubwa sana,leo hao wanyaruamda na waburundi ingawa kuna mpito wa shida na vifo lakini mbele yao wanaiona nuru,

Hapa tunawekwa na ahadi hewa na mikakati ya mwisho wa dunia.Tupo katika kipindi cha kukabana aka kuekana jela na vizuizini kama nchi iliyofanya Mapinduzi ,

Huyu Samia kama ni mwerevu anaweza kabisa kuipapatua Zanzibar na jinamizi hili liitwalo Muungano.

Faida ya Muungano kusema kweli sijaiona kabisa kabisa. Zaidi ya kusimika viongozi wajaza matumbo yao. Wananchi wanashida wamejaa magonjwa yasiyoelezeka ambayo serikali ingeweza kabisa kuwatibu.leo raia wema hichohicho kiduchu wanachangishana kuwapatia huduma za afya.

Kuna YouTube channel zinaumbuwa serikali zetu ,ukiangalia wananchi wanatia huruma kabisa kabisa,inaonyesha wazi kabisa kiundani uongozi na serikali haziwajali wananchi .

Ni bora ili kujipapatua Serikali itangaze matibabu bure kwa waTanzania wote,kama haina dawa japo vipimo viwe vya bure.

Zanzibar ilikuwa na elimu bure yenye tija nzuri kabisa ,halikadhalika hospitali ilikuwa bure lakini leo ndani ya Muungano kila kitu kimevurugika. Bora ya jana.
Kabla ya muungano mlikuwaje

USSR
 
Watanzania tuacheni ubaguzi, si Jambo jema, mleta huu uzi hupaswi kuchekewa, wewe ni hatari Sana katika ustawi wa Taifa hili.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom