Kama si Muungano Zanzibar ingekuwa mbali sana

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
Nyinyi mpaka nyanya na vitunguu mnafuata huku bara hamuoni kuwa mtaumia sana kama tukimfukuza huyu Mama?.
Sasa si ndio moja ya kuwa roho zenu mbaya ,nyie ni mahasidi yaani wale anaosemwa wamekuja kufisidi duniani,si unaona Utajiri wa Tanganyika sio mdogo nadhani kwa mahesabu ya nadharia ni ya pili duniani , Je ipo wapi ? Sababu ni kuwa hampo na ukweli laana ya kuikandamiza Zanzibar inawatafuna na itawatafuna mpaka muitapike Zanzibar iwe na mamlaka yake kamili na yenye kuleta maendeleo kwa wananchi wake,msiwe na wasiwsi wala shaka sisi sio nyinyi ni lazima tutawainua kihali na kimali haitowezekana tufanye mnavyofanya nyinyi,no way.
waZanzibari ni watu wa imani ila huku kukabwa koo ikawa hatuhemi ,imatuletea usumbufu muda wote tuliokuwa ndani ya Muungano.

Huyo Hapo Da Sami anawalea na mnaona roho yake hana kinyongo na mtu,ila mengine anayaepuka maana hayamhusu,yaani anawaachia wenyewe mmalizane.
 
Mtambwe

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
737
1,000
Mtaweza kujilinda?
Kujilinda na nani? Jilindeni nyinyi na Maadui zenzu, Burundi, Ruwanda, Congo ,Uganda. Zanzibar haina maadui. Kuna nchi chungumzia duniani ambazo hazina hata Jeshi na sisi hatutokua wakwanza. Sisi Budget yetu tutaelekeza kwenye Maendeleo. na kiasi kidogo cha Jeshi la Polisi na Uhamiaji tunalolihitaji
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
Kabla ya muungano mlikuwaje

USSR
Tukilala milango wazi na hukatizi nyumba ya mtu kwenda kwako kama hujakaribia na kuwekewa chakula,ukala ukashiba , Leo hii kwenye Muungano Allahu Akbaruu ,ukisikia hatua tu wasema ni vibaka hao,yaani mmewaambukiza tabia zisizo za kawaida.
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,241

Naushoga wa Asia umeutoa bara

USSR
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
Watanzania tuacheni ubaguzi, si Jambo jema, mleta huu uzi hupaswi kuchekewa, wewe ni hatari Sana katika ustawi wa Taifa hili.
Ubaguzi kudai haki unaita ubaguzi wacha UCCM, Mnabinya mnakaba deni lao hamuwalipi kisha unasema ubaguzi sasa unataka tuwaabudu ? Hata ndo ikiwa imechafuka kila mtu na zake.sasa wewe mkeo awe sadaka mitaani mwenye shida anajikimu,vipi utaendelea kuwa nae ili kuepuka ubaguzi maana hupendi atimize haja zake. Taratibu ndugu mimi natokea Mikindani Mtwara njia ya sokoni kuelekea baharini karibu na kituo cha mabasi.
 
utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
875
1,000
Km hamna adui wa nje nyie mlivyo na matatizo mtaanza kutwangana nyie kwa nyie
Nakuambia ako kakisiwa mkijitenga haushi mwaka pemba ijitenge hauishi mwaka magaidi ya kisomali yawe yanawachezea sharubu
Kujilinda na nani? Jilindeni nyinyi na Maadui zenzu, Burundi, Ruwanda, Congo ,Uganda. Zanzibar haina maadui. Kuna nchi chungumzia duniani ambazo hazina hata Jeshi na sisi hatutokua wakwanza. Sisi Budget yetu tutaelekeza kwenye Maendeleo. na kiasi kidogo cha Jeshi la Polisi na Uhamiaji tunalolihitaji
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
Naushoga wa Asia umeutoa bara

USSR
Hayo sasa sio niliyoyakusudia ,utanifanya nikuulize ya Zonga yule na yule ni Wazanzibari ?achana na tabia wewe una yako mimi nina yangu tunakutana kwenye maslahi ya nchi tuzungumze kinchi.
Ikiwa zanzibar hawafiki milioni moja na nuwsu ,hapa Tanganyika yakaribia 55milioni ,ikiwa malaya ,wasagaji,mashoga marafiki ndugu kila kila kitu mtakuwa wengi.

Muungano huitwa jinamizi kule Zanzibar kwa maana umewakalia kifuani hawahemi hawapumui, ingekuwa ipo mbali sana sana ni zaidi ya Singapore. Muungano ni nuksi halafu umekaa kama donda ndugu.
 
Mtambwe

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
737
1,000
Km hamna adui wa nje nyie mlivyo na matatizo mtaanza kutwangana nyie kwa nyie
Nakuambia ako kakisiwa mkijitenga haushi mwaka pemba ijitenge hauishi mwaka magaidi ya kisomali yawe yanawachezea sharubu
Alimuradi musitengane nyinyi tu. Sisi ya kwetu tunayaweza. Mkataa kwao Mtumwa. Rudisheni Tanganyika yenu kwanza
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
Km hamna adui wa nje nyie mlivyo na matatizo mtaanza kutwangana nyie kwa nyie
Nakuambia ako kakisiwa mkijitenga haushi mwaka pemba ijitenge hauishi mwaka magaidi ya kisomali yawe yanawachezea sharubu
Hapo sawa ni bora iwe hivyo maana msemo wa kiswahili unasema .....Jini likujualo halikuli likakwisha...ila wenzetu hamtujui mmetumaliza.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,707
2,000
Ubaguzi kudai haki unaita ubaguzi wacha UCCM, Mnabinya mnakaba deni lao hamuwalipi kisha unasema ubaguzi sasa unataka tuwaabudu ? Hata ndo ikiwa imechafuka kila mtu na zake.sasa wewe mkeo awe sadaka mitaani mwenye shida anajikimu,vipi utaendelea kuwa nae ili kuepuka ubaguzi maana hupendi atimize haja zake. Taratibu ndugu mimi natokea Mikindani Mtwara njia ya sokoni kuelekea baharini karibu na kituo cha mabasi.
Wazanzibari adui yenu ni CCM. Mambo yenu yote yanaamuliwa Dodoma. Kama mlimuondoa Mwarabu mnashindwa vipi kuiondoa CCM?
 
Janja weed

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
1,202
2,000
Mimi pia nilishawahi kuwaza kuwa haka kanchi kangekua na utawala wake chenyewe kangekua kama ushelisheli au madagascar ama zaidi nadhani siasa hizi za maji taka zimefanya hata wanaotaka kuwasaidaia kusitasita, kuna potential kubwa sana kule kama waneitumia kwa maendeleo yao wenyewe
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,043
2,000
Bila Muungano mmengeuana kama kuku na akili zenu za sisi Wapemba wao Waunguja.
Mabaguzi sana nyie mijitu.
Kwani wakiuana yanakuhusu nini ?!. Mbona visiwa vingine hawauani ?!.

Tanganyika hatuna vipaumbele. Tunaing'ang'ania Zanzibar bila faida yoyote. Sema huku kwetu wazo la Nyerere ni kama msahafu
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,241
2,000
Hayo sasa sio niliyoyakusudia ,utanifanya nikuulize ya Zonga yule na yule ni Wazanzibari ?achana na tabia wewe una yako mimi nina yangu tunakutana kwenye maslahi ya nchi tuzungumze kinchi.
Ikiwa zanzibar hawafiki milioni moja na nuwsu ,hapa Tanganyika yakaribia 55milioni ,ikiwa malaya ,wasagaji,mashoga marafiki ndugu kila kila kitu mtakuwa wengi.

Muungano huitwa jinamizi kule Zanzibar kwa maana umewakalia kifuani hawahemi hawapumui, ingekuwa ipo mbali sana sana ni zaidi ya Singapore. Muungano ni nuksi halafu umekaa kama donda ndugu.
80% ya makosa ya jinai Zanzibar ni ubakaji na ulawiti kwa mujibu wa rais mwinyi , kwenye nchi yenye waislam 97 %hii ni fedheha

USSR
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
80% ya makosa ya jinai Zanzibar ni ubakaji na ulawiti kwa mujibu wa rais mwinyi , kwenye nchi yenye waislam 97 %hii ni fedheha

USSR
Ulitegemea Mwinyi aseme nini ? Na sababu ya yote ni Muungano au hukumsikia kusema hivyo ? Msikilize vizuri Ka Husein anaposema ,halafu taratibu ,usifananishe Islam na waislam ni mambo mawili tofauti kabsaa.
Waislamu ni kama wakiristo ni kama wahindu nikama wapagani kwa ufupi ni binadamu na huko unakopeleka kunasemwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe ,sasa hata nchi nzima iwe mumeiambukiza kukata viuno bado Muungano utakuwa ndio sababu ya yote hayo.

Kama ni kesi wahusika ni wa hukumu na vielelezo ni polisi na mahakama ,wenye vielelezo ni polisi ambao ni wa Muungano hivi unategemea nini kutoka kwao ?
 
utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
875
1,000
Mkuu mimi siupendi kabisa huu muungano kwasababu hauna faida kwa sasa zaidi ya kuwahudumia watu wavivu wa visiwani tu ila km kweli nyie hamtaki muungano onyesheni kwa vitendo sio maneno
Hapo sawa ni bora iwe hivyo maana msemo wa kiswahili unasema .....Jini likujualo halikuli likakwisha...ila wenzetu hamtujui mmetumaliza.
 
Baraka21

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,093
2,000
Wewe mleta uzi ngoja tukuripoti kwa vyombo vya Dola wakakuminye kende maana ni mchochezi.
USSD kuna mtuhumiwa huku
 
Hercule Poirot

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,644
2,000
Zanzibar bana, viongozi kibao, rais, makamo wawili, mawaziri, katibu wakuu, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi, mbunge, mwakilishi, diwani, sheha

Gharama kuubwa , mapato madogo nchi ndogo. Uchapaji kazi ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom