Baba yako akija nyumbani kwako nani mkuu wa kaya?Nani mkuu wa dola la Tanzania? Mamlaka yake yana ukomo?
Baba yako akija nyumbani kwako nani mkuu wa kaya?Nani mkuu wa dola la Tanzania? Mamlaka yake yana ukomo?
Jiulize mwenyewe hizi ni sherehe za mapinduzi ya nchi gani? Sijui lini watanganyika mtafahamu kuwa katika huu muungano Zanzibar bado imebaki kama ni nchi kamili. Hizi ni sherehe za uhuru wa nchi ya zanzibar, Rais wa tanzania amealikwa tu! Hizi sio sherehe za Taifa la tanzania bali taifa la Zanzibar! Kwa nini unauliza suali hili hivi sasa, ilhali hata wakati wa Nyerere na Aboud Jumbe kuingia na kutoka kwao kulikuwa ni hivi hivi?Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Thank you! watu wengine hutafuta kila sababu ili kuleta utatanishi usio na kichwa wala miguu!Sababu ni sherehe yao...
hahahaha! Anzeni kwa kudai nchi yenu! Watanganyika hamna nchi kwa sasa!ajabu sana sahv watanganyika ndo tunalalamikia muungano hahaaha..
Umeyataka mwenyewe umiza kichwa kufuatilia , watu wameingiza posho wewe upo unaumiza kichwaInafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Kama ni hivyo ni kwa nini wadanganyika bado mnasisitiza kuwepo kwa muungano? Kwa nini viongozi wenu na makada wa CCM hawataki kuuvunja muungano huu ilhali wazanzibar (ambao unasema wanainyonya tanganyika) wamekuwa wakidai hilo kwa miaka mingi sasa? By the way hii nchi ya Tanganyika iko wapi hasa? Nani rais wa Tanganyika na liko wapi bunge la tanganyika?Hiki kisiwa ni kero tu kwa kweli kimeinyonya sana Tanganyika
Hayo ni mambo ya Zanzibar. Wana uhuru wao katika kufaya mambo yao. Rais wa JMT hayamhusu kabisa, ni mgeni kama mgeni mwingine tuInafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
haya mambo yanachekesha sana mkuu, yaani toka mwaka 1964 wazanzibar wanalia kila siku lakini upepo umegeuka sasa haahahahaha..hahahaha! Anzeni kwa kudai nchi yenu! Watanganyika hamna nchi kwa sasa!
Kiprotokali alikuwa ndiye mgeni rasimi Rais wa Zenji, Rais wa Tanzania alikuwa mgeni mwalikwa tu angeweza hata kupotezea au kumtuma Makamu wake.Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Tokea zamani marais wote wa muungano wakienda kwenye sherehe za mapinduzi Zanzibar hali imekuwa hivyo.Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
State ipi unaongelea?Who is the head of state?
Viongoz wa Tanzania wanaongoza maiti tulishaambiwa na wakenya.Wanajiamlia tuwapendavyo.Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Somo la Civics (Elimu ya Uraia) kuna nyakati linabadilika ndio maana leo mmeona,..Kumbe ile "F" ya Civics hukuipata kwa bahati mbaya