Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,322
- 10,198
Natoka katavi Mjini mkuu, Njoo PM.Anhaa dah uzee huu nilishasahau bila kunikumbusha inakuwa kipengele, ulisema unatokea wapi kijana?
Kuhusu mzigo weka hapa huku ukifika ni kazi kwenda mbele hakuna huo muda wa kuchunguzana!
Kwani hapa kuna mtu unamuogopa? Au kuna mtu anakujua? We ikibidi kila kitu tumalizane hapa hapa!Natoka katavi Mjini mkuu, Njoo PM.
Hapa mashabiki wengi.
Aaaaah wakiona wengi wataanza nisumbua DM, na hii nafasi nimetoa kwa upendeleo tu kwako 😁😁.Kwani hapa kuna mtu unamuogopa? Au kuna mtu anakujua? We ikibidi kila kitu tumalizane hapa hapa!
Duhh kwahiyo unatoka katavi mpaka dar🫢
Huko katavi hakuna wamama? Mbona unachezea nauli kijana😆Aaaaah wakiona wengi wataanza nisumbua DM, na hii nafasi nimetoa kwa upendeleo tu kwako 😁😁.
Ndio katavi mjini lakini
Nani asiyetaka Kuenjoy na wamama wa Daslam 😁😁.Huko katavi hakuna wamama? Mbona unachezea nauli kijana😆
Hawawezi wengi wameshapata vijana tayari, nawasiliana nao!
Leo una daftari la umri nini wa Me wote Jf 😅 🤣Umri wako kwanza..
Pole sana Huku mambo leleleleeeNani asiyetaka Kuenjoy na wamama wa Daslam 😁😁.
Naskia huko, hamvai hata zile za ndani ni kupandisha tu na kuweka.
😳😳Wamama wa huku mpaka uikute ushachoka, Sijui sketi,gagulo, then Kaptula, Then tight, then kyupi, ndio uikute.
Hazipungi upepo hazina ladha.
Niko na kazi nao leo mkuu😅Leo una daftari la umri nini wa Me wote Jf 😅 🤣
Mmama fulani hapa hapa Katavi mjiniPole sana Huku mambo leleleleee
Siunaelewa joto!
😳😳
Ulimpekuwa nani huyo alikuwa anaficha dhahabu?
Huo mmama utakuwa na mpunga hatare🙌🏾Mmama fulani hapa hapa Katavi mjini
Bora uwe hivi maana sio yule ngumi jiwe 🤣🤣Niko na kazi nao leo mkuu😅
Nani huyo??😃Bora uwe hivi maana sio yule ngumi jiwe 🤣🤣
Iko mambo hapo.SAMAHANI! NDOA ULIYOFUNGA, UMEFUNGWA!
Cc adriz, Vincenzo Jr, Mbaga Jr.
Bora uwe hivi maana sio yule ngumi jiwe 🤣🤣Niko na kazi nao leo mkuu😅
Huyo ni mmoja ambaye ni wewe 😅Nani huyo??😃
Nmemiss hili song!Iko mambo hapo.
Sio mimi unajua😃Bora uwe hivi maana sio yule ngumi jiwe 🤣🤣
Huyo ni mmoja ambaye ni wewe 😅
Mimi najua ni wewe...tatizo mikwara yako inasababisha mbio za barazani huku nageuka nyuma naangalia unaokota nini kunipiga nacho 🤣🤣🤣Sio mimi unajua😃
Verse ya Nikki wa pili hii...😁Nmemiss hili song!
Aanh akatuma picha mrembo shatashata,
akili ikanituma kutaka kumkata, nimetuma fungu tayari kalipa,
anakuja na tax leo ataipata!
Bado hajafika jogoo ameshawikaa…🥰