Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,584
- 99,262
Barikiwa 😊Hii ndio avatar yangu original mkuu, hadi nikaitwa Shwazniga😅 ila kwa upendo mkubwa nitairudisha😅😅
Barikiwa 😊Hii ndio avatar yangu original mkuu, hadi nikaitwa Shwazniga😅 ila kwa upendo mkubwa nitairudisha😅😅
Na wewe usiwe unanikwoti 😒Ona hapa ulivyompa ushauri mzuri Becky, hawa wanawake wanatutenga sana wazee siku hizi. Mi nawaangalia tuðŸ˜
Hujamuelewa, amemisi dudu la kijana wa miaka 24, kwasababu kibabu chake utakuta hakidindishi vizuri, na yeye kwasasa ni mshangazi, akienda kwa boy wa 24 yrs, boy atamkataa.Binafsi sidhani kama ulikua na mtu anakufanya ' at least' happy at 24 years ndio guarantee utakua happy maisha yako yote....labda muoane ...napo haiko certain
Unaweza kuwa nayo ulivyokuwa miaka 23 ila happiness inaweza kuja again ukiwa 60 huko...na kuna periods katikati hapo smbazo zina experiences tofauti; hurt, confused,etc yote ni maisha,
Kama una mbabu sasa hivi sio kwamba unamiss kitu huko nje ...I'm sure kuna mazuri yake yaliyokufanya ukawa nae ambayo yanafidia mapungufu yake ...si kweli kuwa na vijana wadogo ndio raha, immaturity yao inaweza kuku cost, ukiachana nako katajitahidi kakuumize hisia..emotional blackmail...etc
Nachotaka kusema usidhanie umemiss ulivyokuwa 24 years old, inawezekana ungemdate mkaka kijana na angekuchanganya..
Date at 24 the same as date at 50 , zote ni experiences tu have fun, don't regret anything
Mwanamke swafii kabisaSwali: Huo muda wa kuenjoy unatakiwa uanzie wapi na uishie wapi???
Miaka 7-22 hapa ni shule (Kwa yule aliyefuata mtiririko vizuri) Huyu huko msingi, sekondari mpaka chuo kuna kitu atakuwa ameenjoy!
Miaka 23-40 hapa ni kujiandaa kuwa mama (Mungu akikupa huo uwezo (Hata kama hutaki kuolewa) Maandalizi yanaanzia kwenye suala zima la kutafuta utulivu kwa maana ya kazi, biashara, mahusiano,ujasiriamali n.k.
Miaka 40s na 50s ni umri wa kutulia na siyo kuhangaika na dunia coz hamna ambacho hujakiona kwenye ujana wako.
Hapa namaanisha kuiva kiakili hasa na kuwa mtu mzima na siyo mtu mzima ovyo.
Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu kwani ndiyo asili ipo hivyo.Hicho ambacho ulikitaka na hukukipata kubali kuwa haikuwa riziki yako na usiumize sana kichwa.
Unatakiwa ufurahie hata kwa vile vidogo ambavyo muumba amekujalia.Kosa kubwa ni kujilinganisha na wengine!!!!!!!!Maana halisi ya maisha ni wewe mwenyewe kuyapa maana!
Nb: Ni mtazamo wangu!