Kama ni wewe ungeamuaje?

Kama ni wewe ungeamuaje?

Mimi sio nampa mke kwa siku moja... Nampa akaishi naye milele. Tena ili kumwondolea usumbufu, na hakikisha kabisa wife haondoki na chupi. Akitaka na nyongeza, nampa na vile vimchepuko vyangu viwili, nampa housegirl na yule binti niliyezaa na baamedi
Akulipe bilioni 500 kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana aisee,,,,nisawa na kukubali mkeo afanye uchangudoa ili mpate kuishi......Mwanaume halisi hawezi huu upuuzi...hata kama anachepuka...but sijui......nikijua .....imekwisha......ntafanya kazi kwa bidii niishi maisha niyapendayo kwa amani an utulivu....
Mara moja tu sio uchangudoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wanawake wa bongo ata ukikataa ataliwa tu , tena ukiwa mbishi pesa haupati ya yy haumpat pia
 
Leo anakuomba mke unakubali na mkeo anakubali sababu mwanaume kaleta dau mezani na wote mngependa kuhongwa.
Kesho anarudi na maombi mengine na dau kubwa zaidi. Utaona ona aibu na kujifanya hutaki ila mkeo atakushawishi mtakubali tu maana mnapenda kitonga.
 
Hiyo pesa itakuwa sio halali afu utakuwa unalaum nafsi yako maisha yako yote mimi siwez kukubali


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ngoja ukatae ukute kainamishwa na muuza mkaa kwenye guest ya buku nne
 
no stylish hyo brother ni ngumu mzee lbda nisijue mkuu kama kapata hzo pesa na mm na huwezo nazo kupata lbda wife haweke tamaa zake na hakikubali asiludi mzee ni dharau mbaya sana kwa maisha yako hata ukifa mungu akuachi salama kwa hlo
 
Back
Top Bottom