Kama ni wewe ungeamuaje?

Kama ni wewe ungeamuaje?

Kumbe wewe sio mvumilivu kabisa, siku moja tuu inakushinda... looh aahahahhahaaaaa.
Kuvumilia kuchapiwa unafikiri ni jambo jepesi..?
Hujui kwetu sisi wanaume tunataka cha kwetu peke yetu,sisi ni watawala Sasa jimbo limeliwa na ninajua si itakuwa tabu hiyo na mlivyo nazarau sipati picha michambo yake...
 
Wee dawa yako ukorogewe na kunyweshwa nshutama. Wivu wote unakuisha aahahahahaaa.

Muulize Babu Asprin anawezaje kuvumilia...
 
Sasa huyo babu Mimi kijana huoni vitu viwili tofauti hapo..?
Mi siwezi vumilia hata nibaki kizee cha miaka ya mapengo..😜
 
Aahahahahaa basi ujiandae kukosa kula mema ya nchi, na kuufikia uzee itakuwa kwa mbinde.

"Imeandikwa, kwa Mtini mjifunze......"

Umenifanya nikumbuke msemo wa "watch out" aahahahahhaaa.

Uko poa lakini?

Nikutakie wiki njema yenye ufanisi.
 
Mi niko poa na si tu unitakie ufanisi Bali ufanisi wenye umaridadi ndani yake...😉
 
Naongezea na juhudi na bidii na kujituma teleee.

Na kila asomaye aseme Aaameeen!!
 
Siku nikikamatwa ntakutaja ukiwa kama mchochezi wangu namba moja.. we subiri kwa spidi hii huu mwaka sidhani kama utaisha bila kumtia mwanafunzi mimba..😅
 
Shindwaaaaaaaaaa

Huyo mwanafunzi ujue ni mdogo wako ambae hujatambulushwa kwa mama mwingine..... Shauri yako...

Siiimooooooooo...
 
Kama bilioni 1 kwa matumizi ya laki kila siku unaishi nayo miaka 27 naachaje..
Akikaa nae mwezi mzima atanipa bei gani?
 
Shindwaaaaaaaaaa

Huyo mwanafunzi ujue ni mdogo wako ambae hujatambulushwa kwa mama mwingine..... Shauri yako...

Siiimooooooooo...
Potelea mbali!
Wanasema binamu nyama ya hamu..😂
 
Wee dawa yako ukorogewe na kunyweshwa nshutama. Wivu wote unakuisha aahahahahaaa.

Muulize Babu Asprin anawezaje kuvumilia...
Dawa ni kutomfuatilia mtu.... Binadamu hachungwi. Na hata ukichapiwa kwani lile shimo linajaa?? Sasa kama halijai tabu iko wapi? Raha jipe mwenyewe.... Ukihisi unachapiwa we unauchuna tu, nawe unatafuta michepuko yako unatuliza nafsi kiroho safi kabisa...

Maisha haya kufuatanafuatana ni kujitafutia kifo. Kwanini ujitafutie kifo cha mateso wakati mdudu Corona yupo?

Baaasi... nimemaliza

Nakusalimia laazizi, mchepukaji mwenzangu, nyonga mkalia ini mahabuba wangu. Leo nakuletea limbwata unichanganyie na yale majani nipige nyungu afu tuendelee na pale tulipoishia

1589787988176.png
 
Khaaaaa..... hufai wewe kulumangia kwa ugali wala kachumbari aahahhahaaa.

Hizo nyama pambana nazo mwenyewe...
Hayo maneno yalitoka kwa wahenga wenzako Sasa nashangaa huyataki kwani walikosea wapi..??😅
 
Dawa ni kutomfuatilia mtu.... Binadamu hachungwi. Na hata ukichapiwa kwani lile shimo linajaa?? Sasa kama halijai tabu iko wapi? Raha jipe mwenyewe.... Ukihisi unachapiwa we unauchuna tu, nawe unatafuta michepuko yako unatuliza nafsi kiroho safi kabisa...

Maisha haya kufuatanafuatana ni kujitafutia kifo. Kwanini ujitafutie kifo cha mateso wakati mdudu Corona yupo?

Baaasi... nimemaliza

Nakusalimia laazizi, mchepukaji mwenzangu, nyonga mkalia ini mahabuba wangu. Leo nakuletea limbwata unichanganyie na yale majani nipige nyungu afu tuendelee na pale tulipoishia

View attachment 1453187
Kasie huyu ndo BABU..?????
 
Back
Top Bottom