Kama ni wewe ungeamuaje?

Kama ni wewe ungeamuaje?

Hapo kwenye nyege ya mdomoni tunafanana.....

Unaanza kunilisha, nianze kukulisha au tulishane kwa mdomo....aahahahhahahahhaaaa
Ewaaaaa,,,,, Umemaliza

Sina swali la nyongeza
 
hapana aisee,,,,nisawa na kukubali mkeo afanye uchangudoa ili mpate kuishi......Mwanaume halisi hawezi huu upuuzi...hata kama anachepuka...but sijui......nikijua .....imekwisha......ntafanya kazi kwa bidii niishi maisha niyapendayo kwa amani an utulivu....
 
Wewe unauliza tena... Kuna jamaa 1 hapa hapa nchi jirani ..Aliwahi kumuuza mkewe kwa mzungu

Jamaa alipewa tenda na mzungu ya kumtafutia mwanamke akamuambia kuwa atamlipa

Jamaa akaenda kwa mkewe akampanga akamuambia kuwa kuna mzungu anatafuta Mke wa kumuoa so kanipa tenda ya kumtafutia huyo Mke '. Hivyo basi Mke wangu kutokana na hali ngumu ya maisha nimeona niongee na wewe nikuozeshe kwakwe ili hela ya mahari nichukue Mimi halafu wewe uende kufaidi nae maisha huko mamtoni.... Mke akakubali jamaa akapiga pesa

Binafsi hata Mimi ningekubali
Maana unaweza ukakataa then mkeo akaenda kuliwa na mwanaume mwingine huko bure bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo kaka [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Dawa ni kutomfuatilia mtu.... Binadamu hachungwi. Na hata ukichapiwa kwani lile shimo linajaa?? Sasa kama halijai tabu iko wapi? Raha jipe mwenyewe.... Ukihisi unachapiwa we unauchuna tu, nawe unatafuta michepuko yako unatuliza nafsi kiroho safi kabisa...

Maisha haya kufuatanafuatana ni kujitafutia kifo. Kwanini ujitafutie kifo cha mateso wakati mdudu Corona yupo?

Baaasi... nimemaliza

Nakusalimia laazizi, mchepukaji mwenzangu, nyonga mkalia ini mahabuba wangu. Leo nakuletea limbwata unichanganyie na yale majani nipige nyungu afu tuendelee na pale tulipoishia

View attachment 1453187

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom