Kama ni wewe ungeamuaje?

Kama ni wewe ungeamuaje?

Kwa wapenzi wa movies za Hollywood watakuwa wameiona hii movie inaitwa Indecent Proposal 1993.

Bilionea amewapa ofa ya Dola milioni 1 (zaidi shillingi Bilioni 2.2) kwa wanandoa ile alale na mke kwa usiku mmoja. Kwa kuwa walikuwa wamefulia, walikubali.

Swali ni je, ungekuwa ni wewe na mkeo au mumeo, mngekubaliana na hili?

Kabla hujatoa jibu, fikiria kwanza shillingi bilioni 2.2 zinaweza kuwasaidia kiasi gani. Kama hamna nyumba, mtajenga nyumba. Kama hamna gari, mtanunua magari. Kama ni biashara, mtaji wa kuanzisha biashara yoyote mtakuwa nao.

Je, mnaweza kuweka hisia zenu pembeni na kufanya uamuzi mgumu wa kujitoa kwenye umasikini?
Mimi sio nampa mke kwa siku moja... Nampa akaishi naye milele. Tena ili kumwondolea usumbufu, na hakikisha kabisa wife haondoki na chupi. Akitaka na nyongeza, nampa na vile vimchepuko vyangu viwili, nampa housegirl na yule binti niliyezaa na baamedi
 
Dawa ni kutomfuatilia mtu.... Binadamu hachungwi. Na hata ukichapiwa kwani lile shimo linajaa?? Sasa kama halijai tabu iko wapi? Raha jipe mwenyewe.... Ukihisi unachapiwa we unauchuna tu, nawe unatafuta michepuko yako unatuliza nafsi kiroho safi kabisa...

Maisha haya kufuatanafuatana ni kujitafutia kifo. Kwanini ujitafutie kifo cha mateso wakati mdudu Corona yupo?

Baaasi... nimemaliza

Nakusalimia laazizi, mchepukaji mwenzangu, nyonga mkalia ini mahabuba wangu. Leo nakuletea limbwata unichanganyie na yale majani nipige nyungu afu tuendelee na pale tulipoishia

View attachment 1453187

Ila Babu unapenda kunyonya khaaaaa....

Utamaliza madhiwa ya mtoto aahahahahhahaaaa

Ujue nakuoendea hapo tuu, Mahaba yako ni ya karne hakuna anayekufikia...

Malabuku zetu mara mianane sabini na kumi aahahahahahhaaa

Mmuuuaahhh!!
 
Mtoto asubiri kwanza ninyonye mimi... akizaliwa namwachia kwa muda then narudi tena kazini

Hapo kwenye unyonyaji... acha tu.

Nyonya kila pahala mpaka niachiwe ushuzi ndo akili zinarudi

Unaniharibia swaumu we msichana ujue

malabuku zako na senti hamsini na saba.....
 
Kwa wapenzi wa movies za Hollywood watakuwa wameiona hii movie inaitwa Indecent Proposal 1993.

Bilionea amewapa ofa ya Dola milioni 1 (zaidi shillingi Bilioni 2.2) kwa wanandoa ile alale na mke kwa usiku mmoja. Kwa kuwa walikuwa wamefulia, walikubali.

Swali ni je, ungekuwa ni wewe na mkeo au mumeo, mngekubaliana na hili?

Kabla hujatoa jibu, fikiria kwanza shillingi bilioni 2.2 zinaweza kuwasaidia kiasi gani. Kama hamna nyumba, mtajenga nyumba. Kama hamna gari, mtanunua magari. Kama ni biashara, mtaji wa kuanzisha biashara yoyote mtakuwa nao.

Je, mnaweza kuweka hisia zenu pembeni na kufanya uamuzi mgumu wa kujitoa kwenye umasikini?

Aweke 75% advance.. Wakati wife yupo analiwa na mimi nitakuwa nakula. Pia baada ya 2.2b kuingia nahisi mimi na wife wangu tutagundua hatuendani, tutapigana chini tutafute maisha mapya.
 
Mimi sio nampa mke kwa siku moja... Nampa akaishi naye milele. Tena ili kumwondolea usumbufu, na hakikisha kabisa wife haondoki na chupi. Akitaka na nyongeza, nampa na vile vimchepuko vyangu viwili, nampa housegirl na yule binti niliyezaa na baamedi

Shubaamiittt bin malabuku zako na michepuko yako.
 
Mtoto asubiri kwanza ninyonye mimi... akizaliwa namwachia kwa muda then narudi tena kazini

Hapo kwenye unyonyaji... acha tu.

Nyonya kila pahala mpaka niachiwe ushuzi ndo akili zinarudi

Unaniharibia swaumu we msichana ujue

malabuku zako na senti hamsini na saba.....

Aahhaahhahahahahhahaaaa usijali swaumu ikiharibika ntakutengenezea nyingine mpyaa taamuuu utakaa nayo wiki nzima, wala haitakubana maungo yako. Inaacha nafasi ya kusimama ukijinyoosha na kurejea mahala pale sawia bila shuruti aahahahhahahahaaaaa looh.

Babu niache bana kafiri ananiangalia kwenyw kamera aahahahahhhaaaa

For this hakika I miss you so much babuuu

Ule mpango vipi sasa, nna kiwi leo...
 
Mi nakula kona sijui nani kakuambia uliite li kigagula lako!
Nina wivu naweza hata jing'ata sikio..😠

Basi wee bilioni mbili haikufai aahahahahahhaa

Babu mtamu huyu wee acha tuu.

Na vitimbi vyake vyote ila simuachi, itabidi Sky anisamehe na kunivumilia tuu eehehehehe
 
Haswaaaaa wengine wote wa kuchora aahahahhahaaaa

Huyu ndo Babu big Sam orijinale.
Aahhaahhahahahahhahaaaa usijali swaumu ikiharibika ntakutengenezea nyingine mpyaa taamuuu utakaa nayo wiki nzima, wala haitakubana maungo yako. Inaacha nafasi ya kusimama ukijinyoosha na kurejea mahala pale sawia bila shuruti aahahahhahahahaaaaa looh.

Babu niache bana kafiri ananiangalia kwenyw kamera aahahahahhhaaaa

For this hakika I miss you so much babuuu

Ule mpango vipi sasa, nna kiwi leo...

Dah... Yani ushanitia nyege ya mdomoni asee
1589789721514.png

1589789895655.png

Ule mpango wetu, tatizo wewe mwoga. Unadhani ntakubaka kama siku ile? Safari hii itakuwa zamu yako kunibaka
 
Back
Top Bottom