Tutazodoa tu, na akikasirika yeye akafungue kesi ya kuchafuliwa jina. Hapo ndipo tutakapotoa ushahidi tulionao ili kuthibitisha kuwa hatumsingizii.He/she who alleges must prove.
Allegations don't just prove themselves.
So did I miss the memo or something?
Nina imani wapo, lakini wanaogopa kushughulikiwa kwa nguvu ya dola.Wakwetu, mpaka sasa mlalamikaji hajulikani ni nani. Inawezekana hawampeleki mahakamani kwa vile hakuna anayefaidika au watu wanasubiri waone action za Mkuu kwa vile toka aingie alitangaza kuwashughulikia wenye vyeti fake!!
Anyway, kuna mahali nimeuliza, hivi kweli hakuna mwanachama wa JF kutoka Koromije?
Hivi kweli hakuna vijana waliosoma naye Pamba Secondary ambao ni wanachama wa JF!!?
Bahati nzuri Gwajima wanatoka kijiji kimoja ila hawakuwa wanafahamiana. Sasa tusubiri huo ushahidi wa Gwajima tuone kama ni kweli ............ tatizo hakutoa time frame ya lini atautoa kama hataombwa msamaha au kama Mh. hatawajibishwa!!
Ushahidi watawasilisha mahakamani ikkiwa wataitwa kuwa mashahidi wa upande wa Jamhuri.Oh wow!
Shukrani katheeran Bw. Wakili 'Msomi'.
Umenifunza jipya leo.
Sasa swali kwako, je kwa ufahamu wako, hao wanaodai kuwa wanao ushahidi kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite wameshawasilisha huo ushahidi wao kwenye mamlaka husika?
Achana naye huyo Makonda.Hapo niki imagine nitakuwa nabashiri, kudhani, na kuhisi tu.
Sitaki kufanya hivyo na ndo maana naomba wote wanaodai Paul Makonda si jina lake wanipe ushahidi ili niridhike halafu nianze kumshukia na yeye.
Kaka;
Naelewa hili, suala si ukuu wa mkoa, ni kuwa na watumishi waliofoji vyeti.Wanaotafutwa kazini ni kuomba kazi kwa vyeti feki. Mkuu wa mkoa hateuliwi kwa cheti. Na hata hivyo ingekuwa vizuri wenye vithibitisho watuwekee mtandaoni living certificate ya Paul na ya Daudi lazima zitakuwa na picha tuwajue ni kina nani hao.
Ahahahahaaa huna msimamo na wala usimamii unachoamini zaidi unafuata upepi tuJibu laweza kutolewa popote na kwa muda wowote. Kikubwa ni kuwa umelipata ulilolitaka
Huyu wanalazimisha kumwita msafiLazima tufike hadi mahakamani?? Yeye ni Mtumishi wa umma tuhuma zipo mezani...ajitokezi na vyeti halali afute tuhuma hizi....very simple na maisha yaendelee...!!
Unadhani aliibiwa jina na vyeti au aliuza?How can you trust, they are FAKE VYETI in the first place wakati hata vyeti vyenyewe hatujaviona - aliyeibiwa JINA na Vyeti hajazungumza chochote kama yupo - Tushaanza kuamini tu kwasababu Mange kasema
hii nayo una izungumziaje bwana Ngabu???Mke wa makonda huyu January 2016 anajiita mama daudi na hana mtoto...ushahidi upo NECTA...sie tunapiga kelele haki itendeke
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Kama vyeti aliuza, hawezi kujitokeza.Yuko wapi huyo mwenye vyeti ? - Au kafa - Hata kama hana Ndugu ?
Huwezi kutumia mazoea pale palipo na "express provisions of law" wakili msomi.Sheria si maandishi tu,ni pamoja na mazoea ya kiutendaji
Unasema niachane na Makonda kwani mimi ndo nimemganda?Achana naye huyo Makonda.
Kwani lazima umshukie?
Nina hakika unayo mengi ya kufanya zaidi ya kuhangaika kulazimisha watu wamshitaki Makonda.
Au unajitahidi kumsafisha kinyumenyume?
usiwe na shida gwajima alisema anavyo mezani anasubiri mkulu atafanya nini asipofanya lolote yeye atavitoa. Tunasubiri tamko la babaKwa nini wao nao wasilete ushahidi?
Naelewa hili, suala si ukuu wa mkoa, ni kuwa na watumishi waliofoji vyeti.
Sijui mwakilishi wa Rais anasimama wapi, sina uhakika!
Lakini kubwa zaidi ambalo nimeliongelea ni la kisiasa
Huwezi kusema una kampeni ya kuzuia kughushi ukafumbia macho jambo lile lile kwa kisingizio cha uteuzi. Hilo tu linaondoa public trust ikizingatiwa kuwa yeye ni mwakilishi wa Rais na zoezi hilo linamgusa kama kiongozi wa mkoa
Kama hatajisafisha, atasimamia vipi sheria na maagizo ya Rais akiwa hana public trust?
Hahahaaa kwani uongo....hahahaaa.Nimecheka kwanguvu mkuu,ndiyo majibu ya wengi hayo
Right on the money!Hapa Nyani Ngabu ana hoja, kuwa kughushi cheti ni kosa kisheria.
Wanaodhani alifoji wana fursa ya kumfungulia kesi kisheria kama wale wanaoghushi na kufunguliwa kesi na serikali.
''The onus is on complainant to prove guilty'' otherwise kuna presumption of innocence
Kwa upana wa suala hili, nje ya sheria lina impact kubwa sana
1. Kwamba, zoezi zima la kutafuta vyeti fake lina shaka unless uwepo ufafanuzi
2. Viongozi hawatendi wasemayo 'walk the talk'
3. Waliowajibishwa 'wameonewa' kwasababu ya double std
Hayo yote ni dhana ambayo inaweza kupata miguu kama Paul hatajitokeza ili kujitakasa au kukiri na kuwajibika. Ni suala la muda tu
Kama ulivyosema mtumiaji wa media kama yeye anapoamua kukaa kimya ni 'tacitly accepting the allegations'
Kwa hiyo unakubali hapa kikubwa kilichopo ni siasa tu, siyo?Kama kasingiziwa basi aje na uthibitisho kuwa kasingiziwa
Mambo ya "who alleges must prove" hiyo ni kanuni ya mahakamani lakini siyo katika uwanda wa siasa!.
Umma ukianza kukutuhumu, siyo suala la kusubiri mahakama ikusafishe, bali ni wewe kuja clean ili kulinda imani ya umma kwako!, kwa kuwa wewe ni mtumishi wa umma!
Otherwise kukaa kimya ni "Tacitly accepting the allegations".
Huwezi kuwa Mtumishi wa ofisi kubwa ya Umma ukaacha kujibu tuhuma nzito dhidi yako , maana umma unapoteza confidence kwako kitu ambacho kiuongozi hakikubaliki!
Twaib!Uzuri mmoja kubeba box haihitaji veti.