Kama natoka na mumeo...

Hivi nyie mnataka hao waliokosa waume waenda wapi????
Bottom line ni kwamba idadi ya waoaji ni ndogo kuliko ya wanaohitaji kuolewa!
 
haya sasa tuseme umeolewa, na mimi namchukua wako ukijua utafanyaje???
Kashasema hajaolewa. Hapa tusitafute assumptions:
Hajaolewa, kadude kanamuwasha, kadude kameumbwa kwa ajili ya waume za watu tu, Chrispin ni mume wa mtu..... Hebu soma katikati ya ile kitu yetu hapo afu nizawadie kale kakitu.
 
Hivi nyie mnataka hao waliokosa waume waenda wapi????
Bottom line ni kwamba idadi ya waoaji ni ndogo kuliko ya wanaohitaji kuolewa!

Kila siku nawaambia hawa viumbe lakini hawanielewi. Wamebakia uchoyo tu. Hawataki na wenzao wafaidi...

BTW hebu put your avatar into mine. I am........ Soma katikati ya mistari hapo.
 
Kashasema hajaolewa. Hapa tusitafute assumptions:
Hajaolewa, kadude kanamuwasha, kadude kameumbwa kwa ajili ya waume za watu tu, Chrispin ni mume wa mtu..... Hebu soma katikati ya ile kitu yetu hapo afu nizawadie kale kakitu.

sawa baba no assumptions....

atoke na wakutoka naye akitoka na wangu nikajua yeye ndo anakamua ile cream/top layer afu mi naletewa makombo hayana nguvu.................hapatatosha!!!!!
 
Mwenzenu sijaolewa sasa nikaponee wapi? Na ninahitaji mapenzi kama nyie mnavyopata.

What goes round comes round.... Unless usiolewe kabisa, lakini na wewe watamchukua tu, halafu sijui utajisikiaje
 
Yako peke yako? Thubutu! Sasa kinachomleta kwangu nini? Na wala mimi sio mwizi basi nikueleze uzuri, nimetongozwa kama wewe ulivyotongozwa.

Na mie nimetongozwa kama wewe na MO mlivyotongozwa!!!..i hope mwenzangu hili halitakushutua!..geeeeez!
 
Haaaa we Da Sophy! lazima uwe na matatizo, mme wa mtu unamng'ang'ania wa nini? kama kweli wewe ni mwanamke MASHALAA kwa nini ufanywe kitanda cha mapozeo? kwa nini usitafute kijana rijali na wewe uolewe? nyie ndo mnaoleta vurugu hapa mjini, kweli wewe hufai hata kukaribishwa mtaani kwetu!!! TAFUTA WA KWAKO BANA ALAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!
 
Kila siku nawaambia hawa viumbe lakini hawanielewi. Wamebakia uchoyo tu. Hawataki na wenzao wafaidi...

BTW hebu put your avatar into mine. I am........ Soma katikati ya mistari hapo.

Mie nikikujua unanicheat.Wivu wangu ni mbaya sana kama wa Bujibuji.
 
sawa baba no assumptions....

atoke na wakutoka naye akitoka na wangu nikajua yeye ndo anakamua ile cream/top layer afu mi naletewa makombo hayana nguvu.................hapatatosha!!!!!

Sasa ndio unapiga push ups kabisa? LOLZ!

Da Sophy kaa mbali na mamushka wangu. Am warning you!
 
BTW hebu put your avatar into mine. I am........ Soma katikati ya mistari hapo.
Nini katikati? Mi nimesoma ndani ya mistari! Appreciated, indeed.....and its almost Friday, and me is preparing myself for the Friday!
Bado nawaasa hawa kina dada waache uchoyo, wakubali kugawana kidogo kilichopo.
 
da sophy huyo wako unaejua mna share wawili ukijua kuwa katongoza na watatu jee utafanyaje?
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
Dah leo nyumba ndogo umeamua kuja live kabsaa unaua bendi mwanawane ntaanza kuchunguzwa sasa!!
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Tatizo lenu hamjui kula na kipofu. Unatemebea na mume wa mtu halafu unaanza kufanya chokochoko mpaka mkewe ajue! Halafu unasingizia eti mkewe anamchunguza!
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Wewe dada kumbuka wahenga walisema Mkuki kwa Nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu. Tafuta mume halafu atoke nje utajua tu uchungu wake!
 
Da Sophy, wapo wengi ambao hawajaoa, tafuta mmoja akuoe, siku hizi hata wanawake wanatongoza. Achana na waume za watu, utajuta siku moja mamaa!!
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Una PEPO kali sana wewe dada. Tena wewe unatakiwa mtu akipata PM kutoka kwako azime computer kabisa itakuja na virus.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom