Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

I also concur mkulu De Novo,

Sasa hebu wafuatao

Chrispin (Pako)
Bigirita
Nguli and co
Fidel80

Tuijadili hii contextually..hii kitu imekaaje? Tumweke da Sophy pembeni kwanza
hehehehe!hao watu wana kesi za kujibu
 
Server not found

Firefox can't find the server at www.da-sophy vs mwanajamii.com.

* Check the address for typing errors such as
ww.example.com instead of
www.example.com

* If you are unable to load any pages, check your computer's network
connection.

* If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure
that Firefox is permitted to access the Web.

sasa mpwa uwe unaangalia wengine haturuhusiwi kucheka kwa sauti hivi...dah hii kitu balaa sana hii
 
Uko sahihi kabisa Kaizer,

ila tatizo langu ni namna mtu alivyoleta mada... Mara nyingi approach ya hapa jamvini inakuja kama third party, na hii huleta staha na majadiliano mazuri, ila huyu kaja na shari tayari; akijigamba huku lengo lake ni kumuumiza mhusika tena ambaye anajua ni mwanajamii

if we were to discuss this contextually, then ingekuja kwa namna hiyo... HUU NI UDAKU PERIOD!

aaah ati bro!!!!

ngoja nimsubiri ajilete sasa
 
kuna uwezekano mkubwa nikawa sielewi vitu vingi sana kuhusu da-sophy na mwanajamii

AU NISEME HII SREDI SIJAIELEWA IN TOTAL
Heeee jamani mmefika huko? Hapana msipotoke mie nilikuwa nachangia hoja kama mchangiaji mwengine yeyote na wala post zangu hazihusiani na maisha yangu asilia so Geof relax- You know me now bro. If no tas my Babu X-Pin. As for now I dont have a man that can be shared to the extent ya mimi kuja kulumbana na Da Sophy. Not a chance my dia
 
tatizo nimekumiss....na vile naishi MBAGALA...sijui kama nitatoka?
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Hii inaonekana wazi iko addressed to a certain 2nd person, huyo anayeibiwa mume. Lakini kwa jinsi ilivyosomwa na kuchangiwa na wengi (mimi nimeweza tu kusoma pages mbili za mwisho niko kibaruani na bosi mkali!), inaonekana ni mada inayogusa wengi, ni kama kuchoma chumba kimoja kwenye nyumba ya ghorofa hata 10, jengo zima watahaha.

Pengine is it something we are unable to control, kwamba iwe isiwe lazima wawepo watu wasio waaminifu katika ndoa zao? Labda japo measures za impact mitigation if we can't prevent it? Hizo pages 3 nilizosoma sijaona dalili kama anatumia condom huyu dada.

Issue nyingine ni huyu aliyeelekezewa kombora hili, nadhani inafaa kufundishana pia jinsi ya ku-react to such incidents. Pengine tutoe michango ya kwamba kwa mwanamke aliyeolewa akikumbana na mtu wa Da Sophy type, ni hatua gani muafaka za kuchukua.
 
Uko sahihi kabisa Kaizer,

ila tatizo langu ni namna mtu alivyoleta mada... Mara nyingi approach ya hapa jamvini inakuja kama third party, na hii huleta staha na majadiliano mazuri, ila huyu kaja na shari tayari; akijigamba huku lengo lake ni kumuumiza mhusika tena ambaye anajua ni mwanajamii

if we were to discuss this contextually, then ingekuja kwa namna hiyo... HUU NI UDAKU PERIOD!

We we we we ..hivi mhusika ni mwanajamii ..pls confirm ili tuanze mashambulizi upya ..sijui anamchukua mzee wa BHT ,FL1,CARMEL,nyamayao,Preta,Gaijin,Fixed Point..MJ1,napata picha kama ni wa WOS au BelindaJacob ...
Aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mamushika No Thank you
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Hii inaonekana wazi iko addressed to a certain 2nd person, huyo anayeibiwa mume. Lakini kwa jinsi ilivyosomwa na kuchangiwa na wengi (mimi nimeweza tu kusoma pages mbili za mwisho niko kibaruani na bosi mkali!), inaonekana ni mada inayogusa wengi, ni kama kuchoma chumba kimoja kwenye nyumba ya ghorofa hata 10, jengo zima watahaha.

Pengine is it something we are unable to control, kwamba iwe isiwe lazima wawepo watu wasio waaminifu katika ndoa zao? Labda japo measures za impact mitigation if we can't prevent it? Hizo pages 3 nilizosoma sijaona dalili kama anatumia condom huyu dada.

Issue nyingine ni huyu aliyeelekezewa kombora hili, nadhani inafaa kufundishana pia jinsi ya ku-react to such incidents. Pengine tutoe michango ya kwamba kwa mwanamke aliyeolewa akikumbana na mtu wa Da Sophy type, ni hatua gani muafaka za kuchukua.
 
Hii inaonekana wazi iko addressed to a certain 2nd person, huyo anayeibiwa mume. Lakini kwa jinsi ilivyosomwa na kuchangiwa na wengi (mimi nimeweza tu kusoma pages mbili za mwisho niko kibaruani na bosi mkali!), inaonekana ni mada inayogusa wengi, ni kama kuchoma chumba kimoja kwenye nyumba ya ghorofa hata 10, jengo zima watahaha.

Pengine is it something we are unable to control, kwamba iwe isiwe lazima wawepo watu wasio waaminifu katika ndoa zao? Labda japo measures za impact mitigation if we can't prevent it? Hizo pages 3 nilizosoma sijaona dalili kama anatumia condom huyu dada.

Issue nyingine ni huyu aliyeelekezewa kombora hili, nadhani inafaa kufundishana pia jinsi ya ku-react to such incidents. Pengine tutoe michango ya kwamba kwa mwanamke aliyeolewa akikumbana na mtu wa Da Sophy type, ni hatua gani muafaka za kuchukua
.

Mtu B kwa ushauri wangu mimi kama mwanajamiiOne sidhani kama kuna haja ya mke kupoteza muda wake kumfuatilia kimada wa mumewe!! Adeal na mume tu. Na magonjwa haya ya siku hizi yalivyo nje nje!! Ah mie ntamtafuna live mume huyo na wala kimada hataisikia sauti yangu!
 
We we we we ..hivi mhusika ni mwanajamii ..pls confirm ili tuanze mashambulizi upya ..sijui anamchukua mzee wa BHT ,FL1,CARMEL,nyamayao,Preta,Gaijin,Fixed Point..MJ1,napata picha kama ni wa WOS au BelindaJacob ...
Aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mamushika No Thank you
JAMANI FIRST LADY ngoja niongee kwa sauti JAMANI MADA HII HAINIHUSU MIMI. MIMI NILIKUWA NACHANGIA TU KAMA MWANAJAMII WA JAMII FORUM na pengine nilokuwa nayasema yamemchoma ndo maana akaelekeza mashambulio kwangu but ah si mimi mwibiwa kwanza sina wa kuibiwa jamani au mnataka nitangaze Call for Proposals???
 
hahaaaa FL1 nilikuwa nimejiandaa vilivyo hapa

btw huyu dada amenifanya niote ndoto mbaya sana last nite!!! niliposikia tena inamuhusu MJ1 nikasema leo nakufa n ahuyu da sophy hapa hapa lol!!
 
Mtu B kwa ushauri wangu mimi kama mwanajamiiOne sidhani kama kuna haja ya mke kupoteza muda wake kumfuatilia kimada wa mumewe!! Adeal na mume tu. Na magonjwa haya ya siku hizi yalivyo nje nje!! Ah mie ntamtafuna live mume huyo na wala kimada hataisikia sauti yangu!

ewaa, pole pole sasa tunaanza kujua tuanzie wapi hapa......
 
JAMANI FIRST LADY ngoja niongee kwa sauti JAMANI MADA HII HAINIHUSU MIMI. MIMI NILIKUWA NACHANGIA TU KAMA MWANAJAMII WA JAMII FORUM na pengine nilokuwa nayasema yamemchoma ndo maana akaelekeza mashambulio kwangu but ah si mimi mwibiwa kwanza sina wa kuibiwa jamani au mnataka nitangaze Call for Proposals???

Sema Su! (wajasiriamali bana na terminologies zao)
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
babu weee tafuta mume wako ndio utajua uchungu wake...
unataka kusambaza ujinga hapa ati tuanza kuembrace u-kimada eeh???nyooko
labda km ulizaliwa na kimada na wewe,sababu mamayo hakuwa na morals hivyo hakukufundisha any!.....and cycle ya ujinga wenu inataka kuendelea......

Any woman with self respect wont be kimada to anyone.....

Lastly kimada will baki kimada,and nothing else!! huwezi chukua status yangu kama mwanamke anayeshimika ktk jamii,never!!na nyie mnajua hilo ndio maana wengi wenu mko after money na sio lingine and ofcoz nitamchunguza mme wangu nikiona maslahi yetu na watoto wetu yametishiwa amani!!!be it money-wise ama mie nafasi yangu nikiona inawindwa....

babu wee mume mtamu tafuta wako ndio ujue!
 
hahaaaa FL1 nilikuwa nimejiandaa vilivyo hapa

btw huyu dada amenifanya niote ndoto mbaya sana last nite!!! niliposikia tena inamuhusu MJ1 nikasema leo nakufa n ahuyu da sophy hapa hapa lol!!

we B wewe...nimeshasema ya Ikwiriri utajiju kama ndo ivi...yaani unataka kupigana na wewe upo kwen nyumba ya kioo?
 
wewe ni malaya hata ujiteteee vipi

****** zako
 
babu weee tafuta mume wako ndio utajua uchungu wake...
unataka kusambaza ujinga hapa ati tuanza kuembrace u-kimada eeh???nyooko
labda km ulizaliwa na kimada na wewe,sababu mamayo hakuwa na morals hivyo hakukufundisha any!.....and cycle ya ujinga wenu inataka kuendelea......

Any woman with self respect wont be kimada to anyone.....

Lastly kimada will baki kimada,and nothing else!! huwezi chukua status yangu kama mwanamke anayeshimika ktk jamii,never!!na nyie mnajua hilo ndio maana wengi wenu mko after money na sio lingine and ofcoz nitamchunguza mme wangu nikiona maslahi yetu na watoto wetu yametishiwa amani!!!be it money-wise ama mie nafasi yangu nikiona inawindwa....

babu wee mume mtamu tafuta wako ndio ujue!

haya...utamu wa mume ni nini......
 
we B wewe...nimeshasema ya Ikwiriri utajiju kama ndo ivi...yaani unataka kupigana na wewe upo kwen nyumba ya kioo?

aaah potelea mbali mi ningezipiga tu na huyu!! wa ukweli huyu dada ana nyodo duh!!! dizaini wa buguruni kwa mnyamani huyu!!

afu B ikwiriri mi ndo nshajiandaa mwezi mmoja kabla, just waiting for my SM hahahaaalol!! nimefika point of no return wewe subiri feed back tu!!!!
 
Back
Top Bottom