da sophy una maneno ka dada mmoja alikua anatembea na mume wangu ila cjui aliishia wapi ati aliniambia wanaenda funga ndoa UK, mume akamiss home kabla hajaenda hata Uk akanirudi na magoti chini jamani nami kwa upendo nikamnyanyua na sasa tunalea watoto wetu kwa raha mustarehe!
Hiki ndicho walichojaaliwa kinamama lakini wanaume wamenyimwa kabisa. Wanaume wanaoweza kufanya hivi kwa wake zao wajiorodheshe haa (sitashangaa asipojitokeza yeyote!). Wapo wanaodai wanaweza kusamehe, lakini inakuwa magirini tu, kila siku akiudhika anakukumbusha ulichotenda! Kwa hiyo habari ya 'raha mustarehe' bado nina mashaka nayo.