Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

kAIZER IS A HAPPILY MARRIED MAN WITH A HAPPY FAMILY!!!

NOTED!!!!thanks!
 
mbona sasa dada Bht kashaanza kuchunguza,kwani nimemvunjia heshima?..LOL
hahaaaa Fab cheza kwa step.....
hata penalti mimi hukaba sina utani!!
@B 'changu ni changu'
 
mbona sasa dada Bht kashaanza kuchunguza,kwani nimemvunjia heshima?..LOL

huyo ni dada binamu uchunguzi wake hauna madhara Fab......si wajua tena mabinamu!:A S-baby::israel:
 
hii ndo issue mkulu Roya Roya.,,,....

wera weraaaaaaaaaaaaaa (baba hapendi!)
Conclusion: Akili zako changanya na za kuambiwa.....no no..
AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA ZAKO.
 
bora tuanzishe ya kwenda kuanza everning somewhere watu wachangie wapi panafaa

Mi napendekeza Marangu pale Kimara bucha..if u know war am sain? wapi bigirit? geoff? xpin? Fide?
 
Hats off cousin!

@Da Sophy weye kweli ni chiboko! Nyumba ndogo unakula 100% asa miaka yote hiyo jamaa anasubiri nini kugeuza matokeo ya mechi?

listredi linakimbia sana.......kaizer na bht ndo wame-take off!!

mkuu, watu kibao wanaoa bila kukonsider dhamiri za ndoa. Lakini pia, mademu wengi sana wanang'ang'aniaga kuolewa........matokeo yake ni lazima jamaa atakuwa anapakua mchele kwenye majiko mengine.

Kwenye hili nina experience, wala usiniulize!!
 
kAIZER IS A HAPPILY MARRIED MAN WITH A HAPPY FAMILY!!!

NOTED!!!!thanks!

Noted without thanks (kale kabatan hivi umekaona Fab? Afu usitishike maji ya moto hayachomi nyumba)
 
JAMANI FIRST LADY ngoja niongee kwa sauti JAMANI MADA HII HAINIHUSU MIMI. MIMI NILIKUWA NACHANGIA TU KAMA MWANAJAMII WA JAMII FORUM na pengine nilokuwa nayasema yamemchoma ndo maana akaelekeza mashambulio kwangu but ah si mimi mwibiwa kwanza sina wa kuibiwa jamani au mnataka nitangaze Call for Proposals???

Msiniambie mmefika huku..........

Mhudumuuuu! Hebu lete serengeti baridi hapo, afu niitie mtu wa jikoni mara moja.
 
Mi napendekeza Marangu pale Kimara bucha..if u know war am sain? wapi bigirit? geoff? xpin? Fide?

kwanza nimekugongea kale kakitu! hakuna haja ya kuanzisha sredi nyingine ya kuchangia,..........tumeshapata pa kukutania!!
 
listredi linakimbia sana.......kaizer na bht ndo wame-take off!!

mkuu, watu kibao wanaoa bila kukonsider dhamiri za ndoa. Lakini pia, mademu wengi sana wanang'ang'aniaga kuolewa........matokeo yake ni lazima jamaa atakuwa anapakua mchele kwenye majiko mengine.

Kwenye hili nina experience, wala usiniulize!!

eeka meku....kosa la da Sophy hapo ni kuutangazia umma ama ni kusema sema ovyo mkulu?
 
Unamaanisha Changudoa ni changudoa ama cha kwako ni cha kwako??:confused3:

Huyo anamaanisha 'chako ni chako'...and that has a long history mkuu kati ya mi na bht (ila anakaba kweli kweli duh)
 
listredi linakimbia sana.......kaizer na bht ndo ( wame-take off their pants and under.....s!!))

mkuu, watu kibao wanaoa bila kukonsider dhamiri za ndoa. Lakini pia, mademu wengi sana wanang'ang'aniaga kuolewa........matokeo yake ni lazima jamaa atakuwa anapakua mchele kwenye majiko mengine.

Kwenye hili nina experience, wala usiniulize!!

tehe tehe!!!!! check kwenye chaki sasa!!! nimefikiria vyema.
 
Kuna mtu kazungumzia Marangu pale Kimara bucha??? Na mwingine Korogwe???
 
Unamaanisha Changudoa ni changudoa ama cha kwako ni cha kwako??:confused3:

jibu umepewa hapa kw achini kidogo
alafu na wewe tabia za usungura sungura na kuwa sllipery umezitoa wapi??

Huyo anamaanisha 'chako ni chako'...and that has a long history mkuu kati ya mi na bht (ila anakaba kweli kweli duh)

kukapa ni fani yangu nlosomea pale magogoni kwa miaka minne!!! nina kadigirii
 
JAmani hivi ni kweli utamu wa mume ni hilo mlilotaja?

Mimi nina mtazamo tofauti. Utamu wa mume/mke for that matter ni ile package yake nzima- Kwangu nitaumia kama ule ucheshi, matani, urafiki na upendo alionao utapotea au kuhamia kwa hawara than kunyimwa dudu. Kwa sababu hata awe anakuja na kujilazimisha achomeke kila siku kama ile hali ya uyeye yaani package yake kama yeye haipo tena hakuna cha utamu hapo.

Ni kweli usemayo..mambo ya kumegeana upendo si mema kabisa ..leo anakuja amenuna kumbe small house kamnyima unyumba kaambiwa mpaka anunue kabati ya mbeho.. hasira zinaishia kwa maza house wa ukwel.
Penzi haligawanyiki
 
Kuna mtu kazungumzia Marangu pale Kimara bucha??? Na mwingine Korogwe???

Ya marangu inasimama..of course korogwe ni 5 minitues (kuna watu wanataka ku do ze nidiful kitimoto):drum:
 
Back
Top Bottom